Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Westham anaenda kuwapanua nje ndani
By nature Jamaa ni midfielder lakini alipangwa nafasi ya wingback ni kwasababu hiyo nafasi kuna vilaza wengi na ndio nafasi ambayo ipo wazi na ndio ina mapungufu na Jamaa kaitendea haki,hiyo nafasi unayotaka acheze ina watu kwahiyo hawezi kupata hiyo nafasi kabisaLEWIS HALL
Ningependa Lewis acheze kiungo kwa sababu ni mzuri sana kwenye kuanzisha goal build up kama viungo wa Liverpool
Pass zake zinaweza kufikia za Fabregas anapozidi kucheza. Kuprove hii, debut yake alimpa Lukaku assist tulipocheza na Chesterfield na p[ia kwenye hiyo mechi alipewa MOTM
View attachment 2197567
Timu inacheza kichovu Sana kama vile inaongoza goal 5 kwa bilaTumalize tuu msimu, timu imekuwa mbovu sana.
Acheni woga, mko safe side. Hiyo nafasi ya 3 naamini ni yenu tu.Hii mechi tukidroo au kufungwa posibility ya kunyang'anywa no. 3 ni dhahiri na no.4 tutabanana sana
Hiyo ndio shida yetu kubwa hatuna kikosi kipana kama Cha man city wachezaji wetu wabenchi ukiwatoa Pulisic na Ziyech wote wanaobaki ni takatakaChelsea hii wachezaji wakipata majeraha kidogo tu basi inasuasua.
Kwa kiwango tunachocheza plus majeruhi sioni tukoboresha kitu. Kupata points kwa kiwango hichi ni kubahatisha sanaAcheni woga, mko safe side. Hiyo nafasi ya 3 naamini ni yenu tu.