Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

2019/20 - Kante and Kepa mistakes.
2020/21 - Jorginho mistake
2021/22 - Christensen, Sarr and Azpicueta mistakes.

Why are we always so unserious against Arsenal at the Bridge?
 
Stress mbaya sana, inaonekana hili Jamaa lilikuwa limekaribia kujinyonga leo hii ikiwa Arse8 asingeshinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie cheltako a.k.a chelwowo ni makenge kweli wapuuzi watupu

Mnapita mbele za wanaume na khanga moja imelowa maji ndembendembe huku mkitikisa wowowo
 
Kuna kinega kimoja hua kinarandaranda nyuzi za watu kutukana.
 
pole sana
 
Ukiachana na sisi Mashabiki wa Chelsea kuumia kwa Matokeo ya Jana wengine walioumia sana ni Wale wa Kubet, maana hadi mashabiki wa Arsenal walibet timu yao ifungwe ivyo wameuimia sana.

Poleni sana Nyoote mlioumia Huo ndo mpira ulivyo
 
Huyu Nketiah alikuwa ni academy wa Chelsea tangu akiwa na miaka 8 Chelsea wakamuachia aondoke akiwa ba miaka 16 bure bure labda Chelsea hawakuona viable talent kwake. Sasa wachezaji kama hawa wakija darajani watahitaji kuprove kuwa wanaweza na hawakutendewa haki huko nyuma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…