Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naona kinga ya tatu imeshavaliwa huko, packet imeisha.

Packet ya pili itafunguliwa? Stay tune kupata majibu.
 
Cheki hii mitakataka kuwa amini kwote kule mnipigie hawa watoto mmelishwa maharage yana watesa matumbo.
20220420_231115.jpg
 
Penalt ya kijinga sana hii, azplicueta mjinga sana,

Magoal yote leo tuliyofungwa ni ya kijinga sana ukitoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom