Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Beki zimekufa hata kiungo naona nako kuko hoi bin taaabaniKocha afanye mabadiliko HT
Kwa sababu Arsenal akipeleka mpira kwetu inakuwa hatari.
Beki zimekufa hata kiungo naona nako kuko hoi bin taaabaniKocha afanye mabadiliko HT
Kwa sababu Arsenal akipeleka mpira kwetu inakuwa hatari.
We ina gundu jamaa.
Ona tunahangaika kuchomoa

Kweli mkuuu inatuogofyaKo ile timu ya kuogofya watu inawaogofya ninyi wenyewe?
![]()
Atakwambia anafanya rotation, ukimuuliza rotation ya nn wakati ameshatilewa karibia mashindano yote. Anabet huyu fala.Nahis ana bet mshamba sana TT kam namuona mviziaji hiv