Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tony majeruhi, hajulikani atarudi lini bado anafanyiwa uchunguzi
Groin/Hip/Pelvic Injury
 
Ingekuwa hapo ni Lukaku au Alonso, ingekuwa hivyo
1650479573128.png
 
If Mason Mount plays, it will be his 100th EPL appearance for Chelsea

With 23 goals and 18 assists, he’s been involved in more goals than any other English player in their first 100 PL matches for the Blues (41)
1650479690852.png
 
Nyie tatakata yani leo nawaombea ushindi mnacheza ujinga kweli cheltako ni cheltako tu.
 
Chelsea wapigwe tu maaana ni walevi wamewela ulanzi kocha wao nae mviziaji tu malang na Christmas lukaku hovyo kabisa
 
Sijui kwa nini katika game ambazo zinaonekana nyepes ndio tunahangaika. Na hii sio mara ya kwanza tunafanya hivi ni mda sasa

Tunamfanya nketiah aonekane kama lewamdoski hiv
 
Mentality ya kushinda leo sioni. Too mucha errors and mistakes
 
Kwa huu ukuta wa mabua TT alioupanga leo lazima Arse88 watuadhibu. Sijui huwa anabet huyu kocha.
 
Kocha afanye mabadiliko HT
Kwa sababu Arsenal akipeleka mpira kwetu inakuwa hatari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom