Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,935
- 27,196
Its Match Day. Karibuni tuichambue
Snura majanga mbona jina zuri sana, inabidi uendelee kuitwa allypipi-msambwandaChelsea akipita leo mniite SNura majanga.
Tulia ufurahie show kubwa kutoka chelsea.Madrid kumtoa Chelsea kesho Wala sio habari ,lakin kesho Chelsea akimtoa Madrid itakuwa headline kwenye magazeti yote ulaya ..na itakuwa moment mojawapo za CL ambazo tulikuwa tumezimiss
Kazi kwenu
Chelsea akipita leo mniite SNura majanga.
Leo ndo ile siku ambayo mashabiki wa kongolo fc watalia na kusaga meno.
Mtalia sana leo najua mnawaza kwamba mtapindua meza ila naona mkiongezwa zingine
Ndondo cup ya shafii DaudaUnatia aibu unavyokuja kwenye Nyuzi za wanaume wanaoshiriki UEFA kila mwaka badala upambane timu yako ishiriki hata carling cup wewe kutwa kuja hapa. Ivi man u yupo kwenye mashindano gani vile?
Acha kuleta vitisho vya kishamba wewe utabuibukia Nani kwa mfanoHili ni Parody langu huwa silitumiagi sana subiri akaunti yangu halisi imalize Ban uone nitakavyowaibukia.
Ila wazee leo naona bahati iko upande wetu, naona tukimtoa Madrid baada ya aggregate kuwa 3-3.
The BLUES ile ninayoifahamu ya kila mchezaji yuko kwenye ubora wake. Ulinzi shirikishi, ushambualiaji kila upande.
Tunamtoa Madrid. Believe that
Na Madrid akitolewa pia jiandae kutokimbia uziNna Akaunti moja tu halisi tazama Avatar yake utakuta imekula Ban Ndiyomana nimeingia kwa hili Parody langu kwa ajili ya game ya leo nisiwakose kabisa kabisa.
Acha kuleta vitisho vya kishamba wewe utabuibukia Nani kwa mfano
Mtego wetu upo kwza Benzema tu, akikabwa kisawasawa RM hawana wafungaji wa kutisha kivile. Na hiyo kazi tunaweza kuifanyaWewe ni Kichaa kabisa yani nakushauri hebu Tikisa hilo Bichwa lako uhakikishe kama kweli Mungu kukuwekea akili.
Rudiger yuko kwa mkopo, akili yake imeshahamia kule BarcaHaya mambo sijui yanakuwaje. Wakati tulikua tunahangaika foward line haitimizi majukumu yake backline(mabeki) walikua wanazuia mpaka baadhi ya wachambuzi wakawa wanasema timu nyingine zichukulie darasa la namna ya kuzuia kutoka kwetu. Sasa washambuliaji wameanza kufanya vizuri naona backline inaanza kutoboka tena.
Kwani hivi vitu haviwezi kwenda sawa? Tatizo liko wapi?
-Tunashambulia sana tunajisahau kulinda(counter attacks)
-Uzembe kwenye kuziba nafasi(open play)
-Kutegeana kwa kudhani jukumu la ulinzi ni la mabeki pekee?
Mechi mbili zilizopita tuliruhusu magoli saba kabla ya hii ya Southampton. Shida nini
Miminadhani kuepuka hayo ni kheri tuanze na Kante na Kovacic ili kusaidia ulinzi halafu Mount asogee mbele zaidi karibu na washambuliaji wanakua wanne inaweza kusaidia kupata chochote kitu kuliko kuanza na midfield ya Kante na Jorginho tunapoteza sana ufanisiRudiger yuko kwa mkopo, akili yake imeshahamia kule Barca
Christansen yuko kwa mkopo akili yake Barca
James fitness bado
Chalobah kadrop form
Silva kwa sababu ya umri saa nyingine anachoka
Leo natumaini fitness itakuwepo na morale juu
Mkuu mi hata sielewi ni kwanini ilakwa hii Chelsea yangu bado sijaikatia tamaa.Huu ndio utabiri wangu kwa hatua hizi zilizobakiView attachment 2185099