computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Ntakuwa hapa siku ya Alhamisi nkitupa mabomuArsenal sio Chelsea ukilijua Hili wala usingeangaika kuandika hiyo comment yako
Ntakuwa hapa siku ya Alhamisi nkitupa mabomuArsenal sio Chelsea ukilijua Hili wala usingeangaika kuandika hiyo comment yako
Sisi ikifika j5 muwe mmetengeneza.majukwaa mengine ya kukaa.Alhamisi tutakuwa kwenye huu uzi tukitupa Makombora
Baada ya kuwafunga goli 9 - 0 mlichukua kombe gani katika msimu huoNyie takataka wenzenu tuli piga goal 9 hao nanyie vigoli 6 mmeviona vingi kweli kweli subirini tu mpapaso wenu toka kwa Madrid.View attachment 2182477


Hata hii mwenyewe naona anaweza Tuchel akaitumia ..hapo Reece James anaweza akacheza as a RCB ili aweze kumdhibiti vini jr. Kwa maana hyo benzema asipate supply toka kwake...hapo Kwa rwb cjui atamuingiza babu azpi maana taarifa huko vipimo vya covid ana negative so kajiunga na kikosi .. Ila cheek game ya Southampton alicheza vzuri Sana as rwb anayeoperate centrally ...tuone itakavyokuwa vijana naiman watapambanaVs Madrid twende na ulinzi shirikishi.
------- WERNER ------ KAI ----- MOUNT ------
ALONSO---- JOG --- KANTE ----- CHEEK
--- RUDGER --- SILVA ----- JAMES ---------
Juzi Madrid walitumia advantage ya gap kubwa kati Silva na Christensen kutufunga magoli 2 ya mwanzo.
James na Rudger wakati wanapanda kushambulia juu walikuwa wanachelewa sana kurudi kukaba.
Upande wa James ukajeuka kuwa lango la walanguzi. This time apambane na yule Vinicius asifurukute, huyu dogo Vinicius hatare sana akipata space kubwa.
Werner, Kai, Mount wakianza pale mbele na imani watawasha moto wa mashambulizi 1st half tunaweza pata goli mbili chap chap.
Werner aanze tuu ile kasi yake na movement zake hatare + zile konga mwamba anaweza kuwavuruga beki ya Madrid, akawasaidia Mount na Kai wakapata nafasi za kufunga Kirahisi.
Alonso pia aanze akiwaga kwenye siku zake ni hatare atashambulia na kufunga anavyotaka. Kocha ampe nafasi.
Naamini wachezaji wakiamua kufungua lile file la UEFA msimu uliopita, tunaweza kupata goli 2 pale Santiago chap chap mzigo ukawa mzito kwa Madrid.
Ila sijawahi kumuona Jorginho akipress mbali na uwezo wake wa kuchezesha wenzake kwa pasi fupi fupi, Jo ni liability tukikutana na mpinzani anayepress sana. Anakuwa na errors nyingi kwenye defensive phase na hivyoi kuwa chanzo cha mabeki kuwa overloadedKuwachezesha JOG & KANTE au KANTE & KOVACIC inategemeana na aina ya mpinzani tunayecheza naye. (nguvu yake, kasi yake na ubunifu wa viungo wake)
Kante & Kovacic wanatembea na mpira tofauti na Jog anatulia kati kati anatawala dimba.
Kuwapanga KANTE & KOVACIC, pale katikati panabaki wazi, ukicheza na mpinzani mwenye viungo wabunifu wanatumia huo uwazi katikati kutumaliza kwa maana mabeki wetu watakuwa kwenye matatizo.
Faida ya KANTE & KOVACIC kucheza pamoja ni kutembea na mpira kila mahali, wanapora mipira, wanakaba, wanapress na kushashumbulia kwa kasi.
Na ndio maana hawa jamaa KANTE & KOVACIC wakicheza kwa pamoja itamlazimu mabeki wetu kusogea juu kidogo kukabia juu ili kuziba gap.
Mi naona ni BORA JOG acheze na KANTE ila Kante awe kwenye ubora wake wa kutembea na mpira, JOG afanye kazi ya kucontrol uchezaji wa timu.
Au wacheze wote KOVACIC, JOG & KANTE, jog abaki nyuma kidogo kuwalinda wake back 3. Nadhani marudiano na Madrid kocha anaweza kupanga wote waanze
Sasa mkuu ikatokea Chelsea imemtoa Madrid utajisikiaje? Au Madrid kumtoa Chelsea utafaidika na nini?Usikute Jitu limeamka kwa Shemeji yake linajikuna Kende linaweza kuwatoa Mdrid! Hii Timu ina mijitu mijinga kweli
Swali zuri akikujibu nitagSasa mkuu ikatokea Chelsea imemtoa Madrid utajisikiaje? Au Madrid kumtoa Chelsea utafaidika na nini?
Una ID ngapi?, mainatin one IDUsikute Jitu limeamka kwa Shemeji yake linajikuna Kende linaweza kuwatoa Mdrid! Hii Timu ina mijitu mijinga kweli
Hahaa.. salaleeehWewe pipi hadi tuje kula kipipi hicho ndio utakuwa na heshima![]()


Mwaka juzi, na mwaka huu mmewapiga ngapi?Nyie takataka wenzenu tuli piga goal 9 hao nanyie vigoli 6 mmeviona vingi kweli kweli subirini tu mpapaso wenu toka kwa Madrid.View attachment 2182477
Malizana na Madrid kwanza kongolo fcMwaka juzi, na mwaka huu mmewapiga ngapi?
Hata Soton ulisimama naye, kwa hiyo wewe kila mwanaume unasimama naye??Nasimama na Madrid zidisheni maombiView attachment 2184856