Kwani Mendy alicheza pekeyake?Mendy katufungisha leo

Lazima mkapindue meza hiyo wiki ijayoMsimu wetu ndo umeisha hapa tukaze tubaki top 4 pia labda kombe la fa tunaweza kujifaliji nalo
Tofauti na hapo hakuna maajabu mengine timu ipo hovyo tena sana tujipange na msimu ujao
Tangu mechi na Brentford mendy hayupo sawa pia huwa anafanya sana haya mokosa ktk baadhi ya mechiMendy katufungisha leo
Siyo Rudiger?Mendy katufungisha leo
HahahaJamani popote ukimuona shabiki wa chelsea usikubari akae peke yake wanaweza fanya jambo baya lolote okoa maisha ya the blues fans.View attachment 2178511
Kwa hali ilivyo sio kirahisiLazima mkapindue meza hiyo wiki ijayo
Tuwe wakweli mpira gani madrid wamecheza kiufupi makosa ya mendy imetugharibu teamNa leo wamekubali kufungwa 3 darajani ili watunze nguvu za kumfunga Madrid nyumbani kwao.
Si unaona hata wachezaji hawajaumizwa na matokeo?
Hii sio timu ni genge tu la kutakatisha pesa.
Mmeanza kusingizia swala la mgogoro,Wakati mwanzoni mlikuwa mkitamba kuwa licha ya mgogoro MNAPATA matokeo mazuri.Ilikuwa ni swala la mda tu kuanza kupata matokeo mabaya kutokana na majanga yaliyotokea ndani ya timu tuombe tubaki kwenye ubora wetu kama tutapata tajiri atayewekeza sana
Kama una hesabu ball possession pole sana! Kwa hatua kama hiyo technique ndiyo silaha kuliko ufundi.Tuwe wakweli mpira gani madrid wamecheza kiufupi makosa ya mendy imetugharibu team
Kisingizio wapi wakati ndo uhalisia weyewe timu haipo kwenye hali iliyozoeleka hilo lipo waziMmeanza kusingizia swala la mgogoro,Wakati mwanzoni mlikuwa mkitamba kuwa licha ya mgogoro MNAPATA matokeo mazuri.
#KILA KITU KINATOKEA KWA SABABU. stop blaming!!
Hicho ni kisingizio baada ya kupata matokeo mabaya.Kisingizio wapi wakati ndo uhalisia weyewe timu haipo kwenye hali iliyozoeleka hilo lipo wazi