Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Rent boys mmekalia Dudu la Karim Benzema safi sana....munatakiwa mutoke top 3 na mbakie na hako kakombe chenu cha world cup
 
Mpira unashangaza
20220407_145643.jpg
 
Niliwahi kusema hii timu ikitoka international break inakuwaga inacheza hovyo hata mwaka jana walikuwa hivi hivi sijui wanendaga beach kujiachia na malaya au?
 
Hii shuhuli haijaisha, wacha watu wajipitishe tu na videra vyao hapa. Madrid hakuna mpira wowote waliocheza wa kushtua, wamekuta mendy siku yake haikua poa wakamuotea.
Madrid wabovu tu, hakuna mpira wowote madrid wanacheza ni bahat tu ilikua yao. Narudia tena hii shuhuli haijaisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom