Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kante leo[emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20220407-001032.jpg
 
Jamani popote ukimuona shabiki wa chelsea usikubari akae peke yake wanaweza fanya jambo baya lolote okoa maisha ya the blues fans.
funny-memes-from-chelsea-and-barca-match-will-make-you-roll-on-the-floor-photos-11.jpg
 
OllaChuga Oc [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] popote ulipo please usijinyonge tunakutegemea kuchangamsha jukwaa
funny-memes-from-chelsea-and-barca-match-will-make-you-roll-on-the-floor-photos-4.jpg
 
Oya hatutaki mamluki kila mtu aende kwenye uzi wake sisi chelsea tunataka tuanze kulaumiana
Unamaanisha zile Crystal Palace3 - 0 Arse8 bado hazijafutika mioyoni mwa Mashabiki maandazi hadi wajazane humu ndani kujipiga makofi vifuani mara 3 wakipaza sauti kuwa wao ni wajinga [emoji848][emoji28]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom