Mervin
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 1,916
- 2,638
Alonso siku akiamua huwa anaupiga mwingi sasa siku akiamka vibya unataman asiwepo,Yeah kipo poa...maana kumtegemea Alonso na spidi z Wale vijana itakuwa kasheshe sema sarr naye anacheza nguvu nyingi Sana si bure akaishia na kadi
Hawez kuja huko MKUU....NAONA ZILE NNE BADO ZIPO KWA KICHWASalah to Chelsea
Tutamleta kwa Paundi mil 100
Imagine unastruggle kupata goal vile kwa atletico madrid.Sisi tushampelekea moto atletico Madrid kazi kwenu kwa real Madrid...!
Imagine unastruggle kupata goal vile kwa atletico madrid.
Nilisikitika sana.
Hahaha alikuwa anakuwinda. Angepata kigoli kimoja ndio ungejua haujui.Ukuta wa watu 10 unafikili ni mchezo... Simeon Hana mbinu kabisa tofauti na kupaki bus![]()
Imagine unastruggle kupata goal vile kwa atletico madrid.
Nilisikitika sana.
Hahaha alikuwa anakuwinda. Angepata kigoli kimoja ndio ungejua haujui.
Shity football
Mimi ni mpenzi wa El Cholo sana ila aache mpira wake wa kizamani, zama zinabadilika.
Mmiliki mpya hatujapa bado sasa hapo Nani anasajili?Salah to Chelsea
Tutamleta kwa Paundi mil 100
Usije ukakimbia uzi baadaeBaada ya kipigo timu haina confidence kabisa ,sitashangaa Leo mkipoteana mbele ya Madrid...!
We umejuaje timu haina confidence ukiwa nyuma ya keyboard....uliwaona Cobham wakati wanatrain?Baada ya kipigo timu haina confidence kabisa ,sitashangaa Leo mkipoteana mbele ya Madrid...!

Hata madrid nao walipokea nne bila wakiwa nyumbani....Baada ya kipigo timu haina confidence kabisa ,sitashangaa Leo mkipoteana mbele ya Madrid...!
Ebu tulieni mbona mnashobo na mambo ya wengineNawasalimu kwa Jina la Ricketts family.
Yes hicho ni kikosi ni mchakamchaka tu mwanzo mwisho....Vs Madrid
------------ PULISIC - KAI - MOUNT ----------
ALONSO - KOVACIC - KANTE - JAMES
--- RUDGER - THIAGO - CHRISTENSEN --
Kovacic & Kante wakiwa kwenye ubora wao, mechi tunaimaliza Stanford Bridge.