GwamahalaJR
JF-Expert Member
- Jul 18, 2019
- 414
- 769
Ha ha ha ha ha ha ha...Kama Arsenal na nyinyi mnawaza kwamba mtashinda kwa the blues leteni kitimu chenu.
Mutajua hamjui.,
Ha ha ha ha ha ha ha...Kama Arsenal na nyinyi mnawaza kwamba mtashinda kwa the blues leteni kitimu chenu.
Mutajua hamjui.,
Hii match nishafungwa and I'm okay.Maliza kwanza hii, nguruwe wewe
Madrid leo anatuma salamu uangalie mechi uone balaa mtakalokutana nalo Ze BlauzHii match nishafungwa and I'm okay.
Ila tukutane j5 nyinyi vishabiki uchwara vya real madrid.

kipaketi cha condom kimeshaisha hukoHii match nishafungwa and I'm okay.
Ila tukutane j5 nyinyi vishabiki uchwara vya real madrid.
Na mimi nakwambia hivi. Kama madrid anahisi match itakuwa mtelezo atajuta.Madrid leo anatuma salamu uangalie mechi uone balaa mtakalokutana nalo Ze Blauz
Leo nipo humu ndani bampa tu bampa na nyinyi mashabiki wa mkopo.
88' cha 4Kabrentford kamekojoa cha tatu swaaafi
Weww umechukua point ngapi,kwa hiyo timu?Imagine Rent Boys wanajazana ujinga eti hii ndiyo Timu ambayo kila Mtu anaogopa Kuchezanayo.
Cha ajabu anatahiriwa ndani ya Darajani bila ya ganzi tena na Kibonde.
Wewe Liverpuru ukae kwa kutulia. Maana mziki wa the blues unaujua fika.