Asisomeke wakati mnatembezewa fimbo huko? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kocha naona leo kapanga mfumo wa mabeki wanne ili asisomeke na wale Madrid
Chelsea wamepotea kwenye uzi wao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]OllaChuga Oc mtu wangu come on niwapa kwenye mkeka[emoji16][emoji16]
Wasije wakasema refa ni wa NATO.Kremlin crumbles 1-3
Kama Arsenal na nyinyi mnawaza kwamba mtashinda kwa the blues leteni kitimu chenu.
Mutajua hamjui.,