Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Marcos Alonso The Great Leftback na Left Wing-back asiyejitambua, amekuwa na nafasi ya kuwa World most wanted left back lakini kwa uzembe akazembea
1648715524555.png
 
Paul Canovile - first Chelsea black player in history
1648715773728.png

1648715888143.png
 
Nje ya Serikali mtu ambaye yupo Karibu na Putin kuliko Mtu yeyote yule hata baadhi ya Mawaziri wa Russia basi ni Abramovic, Hivyo usijehata ukashangaa kuja kusikia Abramovic ni Jasusi undercover aliyebobea.
Imagine Abramovic alichukua Uraia wa Israel mtoto pendwa wa Marekani na adui mkubwa wa Russia na bado akawa rafiki wa Putin anayeingia Ikulu ya Russia kama Nyumbani kwake.
Wafanyabiashara wengi wakubwa duniani ni majasusi au Mafioso flani. Makampuni mengi makubwa ni frontend ya mashirika ya kijasusi.

Wafanyabiashara wakubwa ambao sio majasusi wala mafioso ni wachache sana. No wonder Yesu alisema ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia ufalme wa Mungu
 
Ndio Maana Ricket Family wamemuahidi ajira akaamua kuwapigia debe
Hivi ubaya wa Ricket Family ni Nini .?? .tusijekuta Tunafuata mkumbo Kuwachukia bila ya sababu...

Kwa Maana ukichunguza sana wazungu sababu za Kuichukia Ricket Family..utashangaa wanakuambia..

sijui Alialiwahi kuwasema vibaya wapenzi wa Jinsia Moja...

Wengine Watakuambia ....alichangia Kampeni Za trump

Yaani Mambo ambayo hayana Kichwa wala Miguu na sisi mashabiki hasa wa Africa Tunafuata Mkumbo Kujenga Chuki bila sababu...

Labda Nitolee mfano Klabu ya Arsenal....

Kuna kipindi Vyombo vya Habari vya Uingereza vilianza kusambaza habari mbaya na za Chuki na kuiaminisha Dunia kwamba Andy Arshavin ambaye Alikuwa Ndiye mchezaji Ghali zaidi wa Arsenal kwa wakati huo kwamba Ameshuka kiwango na hawezi kuichezea arsenal....story ya arshavin ikaishia hapo....

Lakini..wachunguzi wa Mambo wanasema Kuondoka kwa Arshavin Arsenal ni Chuki ya Waingereza waliyo nayo Dhini ya Warusi..

Kitu ambacho pia amefanyiwa Bosi wetu MR Roman...

Kwa Hiyo Tusikurupuke Kujenga Chuki bila kujua kiini cha Chuki hiyo ni nini...

Mashabiki wengi utakuta Wanasambaza Hashtag ya #NoToRickets....

Ukimuuliza Kwanini NoToRickets Hana jibu...

Ukimuuliza hebu nielezee lipi baya la Rickets Family anabaki kujiumauma

Unakuja kujikuta kwamba wengi tunafuata mkumbo Bila kujua Chanzo cha chuki.....
 
Wakati unauliza ubaya wa Ricket Famility mwaga hapa uzuri wao kuanzia uendeshaji wa Chicago Cubs baseball team kinachopigiwa kelele kila kukicha na mashabiki wake. Waje kumanage Chelsea wataipeleka Championship.
 
Chelsea inauzwa only £3B?
Bei ya £3B tulitarajia iuzwe Timu kama Man City lakini sio Chelsea.

Hii Timu imeuzwa kwa hela ya Mbogamboga tuseme tu ukweli.
Kwani wewe inakuuma nini iliuzwa ivo? Timu yenyewe ipo uingereza ambapo ufahamiki hata kwa tone lakini wivu na roho za husda zimekukaa kweli kweli. Acha rohho mbaya mkuu waachie wazungu wanufaike na Jasho la Mrusi. Wewe hutaambulia chachote hata ikiuzwa 1.5b.
 
Endelea kufumba macho na kujifanya huoni.

Yani Liverpool kuuza Hisa 10% kwa £533M jamaa unaita hewa.

FSG kukataa offer ya RedBird ya £3B unaita bei hewa.

Source nilizokuekea sijui nazo utaifa source hewa?
😂😂Kwan bila suction roman angeuza ata kwa ingekua n Tano?
 
Hivi ubaya wa Ricket Family ni Nini .?? .tusijekuta Tunafuata mkumbo Kuwachukia bila ya sababu...

Kwa Maana ukichunguza sana wazungu sababu za Kuichukia Ricket Family..utashangaa wanakuambia..

sijui Alialiwahi kuwasema vibaya wapenzi wa Jinsia Moja...

Wengine Watakuambia ....alichangia Kampeni Za trump

Yaani Mambo ambayo hayana Kichwa wala Miguu na sisi mashabiki hasa wa Africa Tunafuata Mkumbo Kujenga Chuki bila sababu...

Labda Nitolee mfano Klabu ya Arsenal....

Kuna kipindi Vyombo vya Habari vya Uingereza vilianza kusambaza habari mbaya na za Chuki na kuiaminisha Dunia kwamba Andy Arshavin ambaye Alikuwa Ndiye mchezaji Ghali zaidi wa Arsenal kwa wakati huo kwamba Ameshuka kiwango na hawezi kuichezea arsenal....story ya arshavin ikaishia hapo....

Lakini..wachunguzi wa Mambo wanasema Kuondoka kwa Arshavin Arsenal ni Chuki ya Waingereza waliyo nayo Dhini ya Warusi..

Kitu ambacho pia amefanyiwa Bosi wetu MR Roman...

Kwa Hiyo Tusikurupuke Kujenga Chuki bila kujua kiini cha Chuki hiyo ni nini...

Mashabiki wengi utakuta Wanasambaza Hashtag ya #NoToRickets....

Ukimuuliza Kwanini NoToRickets Hana jibu...

Ukimuuliza hebu nielezee lipi baya la Rickets Family anabaki kujiumauma

Unakuja kujikuta kwamba wengi tunafuata mkumbo Bila kujua Chanzo cha chuki.....
Nilisoma mahali kuwa aliwahi kusema maneno ya chukizo kwa waislamu baada ya meseji yake ya email kuvuja akiwataja waislamu NI adui zake wakubwa......,wamewahi kuhusishwa na matendo ya ubaguzi WA rangi Kwa watu weusi, ukiacha hayo yote inasemekana hata mashabiki wa hyo timu ya baseball ya marekani wanayomiliki hawawapendi na wanataka waachie ngazi, ....pia kitu kingine ambacho kinatia mashaka moja ya ahadi Yao waliyoweka pindi wakiichukua club ya Chelsea .ni watafanya investment Kwa timu huku wakiwa na uhakika WA kupata faida mbeleni kutokana na uwekezaji huo....wasiwasi wangu wasije ifanya timu ikawa ya kibiashara sasa tukawa another borrusia Dortmund in england
 
Huko nyuma mwanzoni mwa kutangaza nia ya kununua Chelsea nilipinpoint kuna mzee wao mmoja wa zaidi ya miaka 80 aliwahi kuwaita waislamu adui kupitia email yake, kumbe pia ni mbaguzi wa watu weusi. Akipewa Chelsea tutegemee wachezaji weusi hawatadhaminiwa kule. Pia ile timu yao ya baseball wameshindwa kabisa kuisimamia halafu wonder gani watakuja kufanya huku darajani?
 
Wafanyabiashara wengi wakubwa duniani ni majasusi au Mafioso flani. Makampuni mengi makubwa ni frontend ya mashirika ya kijasusi.

Wafanyabiashara wakubwa ambao sio majasusi wala mafioso ni wachache sana. No wonder Yesu alisema ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia ufalme wa Mungu
kama amekuelewa utanitag
 
Nchi za EU wanatumia gas kutoka Russia kwa 40%, Putin amedai malipo ya gas lazima yapitie kwenye mabenki ya Russia na kuanzia tarehe 1 Aprili 2022 malipo hayakufanyika, gas itafungwa. EU hawataweza kununua gas kutoka US (alternative pekee iliyobaki) kwa sababu ni ghali sana
  • JINO KWA JINO
  • SANCTION KWA SANCTIONS
  • MGUU KWA MGUU
1648742819238.png

Vladimir Putin has indicated that Russia could rip up contracts to supply gas to Europe unless “unfriendly” states drop their refusal to start paying for gas in roubles from Friday.

“To buy Russian gas, they need to open rouble accounts in Russian banks,” Putin said in a televised appearance.

“It is from those accounts that gas will be paid for, starting 1 April. If such payments aren’t made, we will consider this a failure by the client to comply with its obligations.”

According to an order signed by Putin, gas buyers should open accounts with the state-controlled Gazprombank to facilitate currency exchange on purchases.

The G7 group of advance economies – the US, UK, France, Germany, Italy, Japan and Canada – has so far refused to countenance meeting his demand for rouble payments.

However, one gas analyst said the use of Gazprombank as an intermediary may allow western economies to drop their opposition. He said market prices for gas, which have risen slightly today, did not indicate fears of an imminent big supply disruption.

The impasse has already led to Germany and Austria making preparations for potential gas rationing, activating an emergency plan designed to help it cope with any disruption in supplies from Russia.
 
Hivi ubaya wa Ricket Family ni Nini .?? .tusijekuta Tunafuata mkumbo Kuwachukia bila ya sababu...

Kwa Maana ukichunguza sana wazungu sababu za Kuichukia Ricket Family..utashangaa wanakuambia..

sijui Alialiwahi kuwasema vibaya wapenzi wa Jinsia Moja...

Wengine Watakuambia ....alichangia Kampeni Za trump

Yaani Mambo ambayo hayana Kichwa wala Miguu na sisi mashabiki hasa wa Africa Tunafuata Mkumbo Kujenga Chuki bila sababu...

Labda Nitolee mfano Klabu ya Arsenal....

Kuna kipindi Vyombo vya Habari vya Uingereza vilianza kusambaza habari mbaya na za Chuki na kuiaminisha Dunia kwamba Andy Arshavin ambaye Alikuwa Ndiye mchezaji Ghali zaidi wa Arsenal kwa wakati huo kwamba Ameshuka kiwango na hawezi kuichezea arsenal....story ya arshavin ikaishia hapo....

Lakini..wachunguzi wa Mambo wanasema Kuondoka kwa Arshavin Arsenal ni Chuki ya Waingereza waliyo nayo Dhini ya Warusi..

Kitu ambacho pia amefanyiwa Bosi wetu MR Roman...

Kwa Hiyo Tusikurupuke Kujenga Chuki bila kujua kiini cha Chuki hiyo ni nini...

Mashabiki wengi utakuta Wanasambaza Hashtag ya #NoToRickets....

Ukimuuliza Kwanini NoToRickets Hana jibu...

Ukimuuliza hebu nielezee lipi baya la Rickets Family anabaki kujiumauma

Unakuja kujikuta kwamba wengi tunafuata mkumbo Bila kujua Chanzo cha chuki.....
Kitu wanachopingwa ni juu ya email iliyoliki ikionesha Todd Rickett akisema Muslim are my enemy, huku wengine katika familia ya rickett wakijihusisha na maswala ya ubaguzi kwa namna moja or nyingine
 
Hii issue ya Rickett family inanipa mashaka,
Huenda Roman ndie anawataka hawa waje wanunue, maana ukiangalia hizi kashfa zilizotoka zilitoka hata kabla ya mchujo lakim bado wakapita kwenye mchujo

Sababu ni katika wote waliopita ni hawa tu ndio wenye pesa
Wangine wote mikopo lazima iusike,,

Tho sources zingine zinasema Ken griffin ndie atakuwa anamamlaka makubwa, the rickett family wamekaa kama kivuli,

Utajir wa ken griffin unakadiriwa ni $28BN huku ricket family wakiwa na utajir wa $5BN.

Napata hisia huenda Roman/Uongozi wa chelsea ulikuwa unawataka hawa, kama ni kweli je kulikuwa na haja gani ya kukaribisha bid zingine?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom