Hizo ni bei hewa, mimi nasema ajitokeze mtu ainunue Liver kwa Paundi bn 3 kama watajitokeza achilia mbali BN5Sio kujitetea lakini katika Timu kubwa Man United, Liverpool na Chelsea basi Chelsea ndiyo Timu yenye thamani ndogo kuliko Liverpool na Manchester United.
Chelsea anauza Timu nzima na kila Kitu chake kwa £3B wakati Liverpool ameuza hisa zake kwa RedBird asilimia 10% tu kwa £533M sawa na takriban $735M tena akapewa na Masharti ya kuboresha uwanja juu ya kutoa hela zote hizo.
Sasa kama asilimia 10% tu zina thamani ya £533M je asilimia zote 100% kama munavyouza nyinyi zitakuwa ngapi? Jibu thamani ya Liverpool kwa sasa ikuzwa hisa zake zote ni £5.33B.
View attachment 2168847![]()
Liverpool boost as owners confirm $735m RedBird deal for stake in FSG
Liverpool’s owners have confirmed a deal that will enable the club to continue with plans to redevelop Anfield and invest in player recruitment at pre-pandemic levelsamp.theguardian.com
View attachment 2168853![]()
Liverpool owners FSG 'set to sell 10% stake worth £540m' to investment firm
The stake will reportedly cost RedBird Capital around $750million (£537m), with the deal valuing FSG, who own Liverpool Football Club, at more than $7billion (£5bn)www.mirror.co.uk
Na kuhusu hako kajipound cha 3B Liverpool walishakikataa kwa dharau kabisa na kuita ni hela ya mbogamboga.
View attachment 2168844
Ajabu leo Timu kama Chelsea inajisifia kuuzwa kwa £3B hela ya mbogamboga! Muko serious kweli? Hiyo ni Mentality ya Timu kufika £3B wanaona kitu kikubwa na cha ajabu sana.
Huwa ninawambia maranyingi kuwa Muna mengi ya kujifunza kutoka kwa waliowazidi lakini cha ajabu munakimbikia kupost tu bila kuhakiki munavyovipost.
Na hata wewe umeangukia katika uropokaji wa watoto kama Ollachuga na yule mwenye ID ya 42774277.
Mukiwa Watulivu basi tutawafundisha mambo mengi sana.
Shangaa wewe, istoshe hapo alipo yuko kwa Shemeji na hana hata 100Yani £3B ni hela ya mboga mboga? hauko serious mkuu matajiri wenyewe wa ulaya hawafikii utajiri huo halafu kumbuka chelsea inapigwa mnada na serikali ya UK sio kwamba inajiuza yenyewe kitu ambacho ingezidi thamani ya hiyo hela

AyseeeKo wanalazimisha ya kiswahili badala ya ile ya english ya Co ikiwa na maana ya The company of, au umoja wa.. nk.
ikiwekwa Ko maana yake ni Knockout. sasa watu wanazichanganya bila kujua


🤣🤣🤣🤣Shangaa wewe, istoshe hapo alipo yuko kwa Shemeji na hana hata 100![]()
Makombe Gani ..carabao nalo kombe ?Uwe unatuita jina letu jipya
‘Team Quadruple’
Hayo ya thamani ni yako,sisi tunakusanya tu makombe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyu takataka was liverkuku aanasema ,£3BIL ni ela ya mboga? Huyu takataka anajua timu yakee Ina thamani Gani Hadi Sasa sokoni? Hii liverkuku ikiwekwa sokoni Leo sidhani kama Kuna tajiri yeyote atajisumbua kuinunua.
Uwanja huu wa kizamani?Uwanja tu wa Liverpool thamani yake inainunua Timu nzima ya Chelsea kwa hivyo vijisenti vya £3B.
Liverpool TV tu ya Liverpool thamani yake inaweza kuinunua Timu yenu ya Wanawake na Timu zenu zote za Academy.
Timu ya wanawake wa Chelsea ni sawasawa ukichukua timu yenu ya wanawake+ vijana + uwanja.Timu ya wanawake wa Chelsea ni Tumu ambayo inamafanikio kuliko zingineUwanja tu wa Liverpool thamani yake inainunua Timu nzima ya Chelsea kwa hivyo vijisenti vya £3B.
Liverpool TV tu ya Liverpool thamani yake inaweza kuinunua Timu yenu ya Wanawake na Timu zenu zote za Academy.
£3B nadhani ukiambiwa uandike kwa tarakimu huweziUwanja tu wa Liverpool thamani yake inainunua Timu nzima ya Chelsea kwa hivyo vijisenti vya £3B.
LCTV tu ya Liverpool thamani yake inaweza kuinunua Timu yenu ya Wanawake na Timu zenu zote za Academy.
Hata alishajisemea ataondoka.Timu ikishauzwa kuna mtu pale atakosa ajira na wa kwanza ni Marina, kwa ukaribu wake na Abramovich iko wazi kuwa ajira yake itaisha pale tu mmiliki mpya atapewa timu
Bei ndg huwa ziko fluid, changing according to current market value. Wee ona dhamani ya Manure kule kwenye masoko ya hisa tofauti na ulivyoiremba, so do Liverpool. Nikisema that value of 7bn or 5bn is a blogger value ninamaanisha kama ifuatavyoEndelea kufumba macho na kujifanya huoni.
Yani Liverpool kuuza Hisa 10% kwa £533M jamaa unaita hewa.
FSG kukataa offer ya RedBird ya £3B unaita bei hewa.
Source nilizokuekea sijui nazo utaifa source hewa?
Ebu kuwa serious £3B inakuaje mdogo?Chelsea inauzwa only £3B?
Bei ya £3B tulitarajia iuzwe Timu kama Man City lakini sio Chelsea.
Hii Timu imeuzwa kwa hela ya Mbogamboga tuseme tu ukweli.
Waje na watu wao ila cha muhim wamsupport Tuchel tu, Huyu ndie mtu muhim kwa sasa.Timu ikishauzwa kuna mtu pale atakosa ajira na wa kwanza ni Marina, kwa ukaribu wake na Abramovich iko wazi kuwa ajira yake itaisha pale tu mmiliki mpya atapewa timu
Ndio Maana Ricket Family wamemuahidi ajira akaamua kuwapigia debeWaje na watu wao ila cha muhim wamsupport Tuchel tu, Huyu ndie mtu muhim kwa sasa.
Marina na Bruce Buck naona wako 50/50
Wivu itawala hadi mpate magonjwa ya kujitakiaChelsea inauzwa only £3B?
Bei ya £3B tulitarajia iuzwe Timu kama Man City lakini sio Chelsea.
Hii Timu imeuzwa kwa hela ya Mbogamboga tuseme tu ukweli.