Points zote uko sawa lakini two points you are wrongWacha tusubiri na tuone.
Lakini nawakumbusha tu kuwa mengi munayopost humu hayana uhalisia ni Copy and paste kutoka kwa Waandishi mbalimbali ambao na wao wanatafuta Rumors huko Uengereza ili watengeneze headlines.
Issues kama:
- Abramovic atamuuzia mtu Timu yule ambaye atakubali masharti yake ya namna atakavyoiboresha, hii sio kweli kama munavyoaminishana. Abramovic bado anaplay part katika mauzo lakini hana upper hand ya kutoa conditions hizo.
- Mnunuzi wa Timu kupangiwa namna ya kuiendesha Timu hicho kitu hakuna: Mamlaka yote yanabaki kwa mmiliki kuendesha kulingana na Plan & Annual budget na sio maagizo kutoka kwa aliyeuza, atakayenunua ni Mfanya biashara na sio Kibaraka.
- Tajiri wa PSG, Man City na Chelsea ya mwaka 2004 wamemwaga hela nyingi kwasababu ya Status ya Timu zao walizozikuta wakati wananunua. Timu hazikuwa na Status ya Big Teams na wala hazikua Top in Europe na wala hazikuwa na Global Fanbase na wala hazikuwa na thamani kama sasa ya kuwa Top 7 ya Timu tajiri. Hivyo walimwaga hela kuvutia Big names and talented players kwenye Timu hizo mpaka zikafika hapo zilipo zina kila Kitu.
SASA ATAKAYEINUNUA CHELSEA AMBAYO KWASASA NI READY MADE INA KILA KITU UNADHANI ANAHITAJI KUFANYA KAMA ALIVYOFANYA ABRAMOVIC 2005 HAIKUWA NA CHOCHOTE?
Kwasasa Chelsea imeshakuwa Brand ya Kibiashara tofauti na alivyoikuta Abramovic hivyo Mnunuzi aninunua kwa ajili ya Kibiashara tu na si jengine! Mfano Mdogo matajiri wa Arsenal, Man United na Liverpool wamezikuta Timu tayari zina kila kitu hivyo wanafanya kile wanachojisikia wao kwani hata Mashabiki wakilia basi Brand ya Timu inalipa.
TIME WILL TELL TUPO HAPA NDUGU TUTAKUJA KUKUMBUSHA NA.
Usije ukawa surprised maana wazungu huwa wanafki, utaambiwa wanaotaka sio Joe/Pete Rickett ,Katika ngwe ya pili ya ununuzi wa Chelsea uala la mashabiki limeingizwa na sioni Ricket Family wakipenyeza hapo
Mkuu kila kitu ni mkataba na lazima usain, ukisain lazima utekelez haijalishi itakuwa lini.Matajiri wote walioingia kwenye shortlist wamepanga kununua timu kwa mkopo.
Hakuna atakayetoa cash.
Na hiyo $1B ya uwanja, wachezaji na maendeleo ni commitment ya maneno sio cash
Kwenye kununua timu ni cash, kutoka kwenye cashflow yao labda commitment zingineMatajiri wote walioingia kwenye shortlist wamepanga kununua timu kwa mkopo.
Hakuna atakayetoa cash.
Na hiyo $1B ya uwanja, wachezaji na maendeleo ni commitment ya maneno sio cash
Ingekuwa hivyo isingewekewa vikazwa. Timu bado ni ya Abramovich na ndio maana imewekewa vikwazo. Kama ni kuchukua isingeitwa sanction au vikwazo ingeitwa kutaifisha. Probably ingefuata kutaifisha ila bafo wako kwenye sanction. Maana ya sanction ni kuzuia baadhi ya operation zenye faida kwa bosi ili asiendelee kufaidika hadi taratibu zingine zitakapofuata ikiwemo aidha kuondoa sanction au kutaifishaSamahani wajuzi hebu nipitisheni kidogo hapa .
1. Tuliambiwa timu ya Chelsea imechukuliwa na serikali , sasa Abromovic anahusukaje katka kuuza timu ?
2. Hivi vikwazo vya hawa matajiri wa kirusi na kukamatwa mali zao hatma yake ni nini?, je baada ya vita kuisha watarudishiwa Mali zao ?
Natanguliza shukrani lembu, mart66
asante mkuu. Kama nimekuelewa ni kuwa anaeuza ni Abramovich na pesa inaenda kwa serikali ya UK. Sasa ikitokea Abramovich akagoma kuhusika kuuza je nini kitatokea?.Ingekuwa hivyo isingewekewa vikazwa. Timu bado ni ya Abramovich na ndio maana imewekewa vikwazo. Kama ni kuchukua isingeitwa sanction au vikwazo ingeitwa kutaifisha. Probably ingefuata kutaifisha ila bafo wako kwenye sanction. Maana ya sanction ni kuzuia baadhi ya operation zenye faida kwa bosi ili asiendelee kufaidika hadi taratibu zingine zitakapofuata ikiwemo aidha kuondoa sanction au kutaifisha
Saction inalenda zaidi
1) Kuondoa haki ya kuingia UK
2) Kusimamisha leseni ya zamani na kutoa leseni mpya yenye vikwazo na masharti
3) Kuzuia bank account zisiruhusiwe kutoa pesa au kufroze kabisa
4) kumzuia mlengwa kuwa na madaraka ya kiutendaji kwenye timu
5) Mashauri yake lazima yapitiwe na UK Gov kuona kama yanafuata masharti ya leseni mpya
Nk
Abramovich anauza kwa makubaliano na Serikali kuwa pesa haziendi kwenye mfuko wake. Pesa haziendi serikalini pia kwa sababu Chelsea siyo ya serikaliasante mkuu. Kama nimekuelewa ni kuwa anaeuza ni Abramovich na pesa inaenda kwa serikali ya UK. Sasa ikitokea Abramovich akagoma kuhusika kuuza je nini kitatokea?.
Yaani namaanisha ni kitu gani kutoka kwa Chelsea ambacho tajiri huyu amekibakiza?.
Naona mwisho was Chelsea mazee..
Tukifanya utani hapa timu yetu itateketea.
#CFC![]()

Unateseka ukiwa wapi?Kwaulize Arsenal na Spurs baada ya kujenga uwanja mpya nini kiliwatokea?
Sasa hao Matajiri wanaotangaza project ya kujenga Uwanja mpya watakapouziwa Timu watakuja kuwatoa machozi.
- Watoe £3B kununua Timu.
- Project ya new Stadium ni more than £1B+.
- Ongeza na migogoro ya Chelsea Pitch owner (Stanford Bridge) hawatokubali mutumie jina lao la Chelsea, kuna uwezekano wa kuitwa Fulham City.
Mbona kama unataka kulia hivi?Wacha tusubiri na tuone.
Lakini nawakumbusha tu kuwa mengi munayopost humu hayana uhalisia ni Copy and paste kutoka kwa Waandishi mbalimbali ambao na wao wanatafuta Rumors huko Uengereza ili watengeneze headlines.
Issues kama:
- Abramovic atamuuzia mtu Timu yule ambaye atakubali masharti yake ya namna atakavyoiboresha, hii sio kweli kama munavyoaminishana. Abramovic bado anaplay part katika mauzo lakini hana upper hand ya kutoa conditions hizo.
- Mnunuzi wa Timu kupangiwa namna ya kuiendesha Timu hicho kitu hakuna: Mamlaka yote yanabaki kwa mmiliki kuendesha kulingana na Plan & Annual budget na sio maagizo kutoka kwa aliyeuza, atakayenunua ni Mfanya biashara na sio Kibaraka.
- Tajiri wa PSG, Man City na Chelsea ya mwaka 2004 wamemwaga hela nyingi kwasababu ya Status ya Timu zao walizozikuta wakati wananunua. Timu hazikuwa na Status ya Big Teams na wala hazikua Top in Europe na wala hazikuwa na Global Fanbase na wala hazikuwa na thamani kama sasa ya kuwa Top 7 ya Timu tajiri. Hivyo walimwaga hela kuvutia Big names and talented players kwenye Timu hizo mpaka zikafika hapo zilipo zina kila Kitu.
SASA ATAKAYEINUNUA CHELSEA AMBAYO KWASASA NI READY MADE INA KILA KITU UNADHANI ANAHITAJI KUFANYA KAMA ALIVYOFANYA ABRAMOVIC 2005 HAIKUWA NA CHOCHOTE?
Kwasasa Chelsea imeshakuwa Brand ya Kibiashara tofauti na alivyoikuta Abramovic hivyo Mnunuzi aninunua kwa ajili ya Kibiashara tu na si jengine! Mfano Mdogo matajiri wa Arsenal, Man United na Liverpool wamezikuta Timu tayari zina kila kitu hivyo wanafanya kile wanachojisikia wao kwani hata Mashabiki wakilia basi Brand ya Timu inalipa.
TIME WILL TELL TUPO HAPA NDUGU TUTAKUJA KUKUMBUSHA NA.
One side gamePamoja na vikwazo vyote still mabinti bado wanapambana. View attachment 2166305
Hahahah yaani Liverkuku unateseka kuliko mimi the Blues mwenyewe...Mpaka muda huu ulipaswa kuwa umeshafikia Maturity Status na sio kubaki kwenye adolescent status
Roman kuchukua uraia wa Israel sio kitu cha ajabu kwasababu anaasiri ya Israel mababu zake walitokea huko.Nje ya Serikali mtu ambaye yupo Karibu na Putin kuliko Mtu yeyote yule hata baadhi ya Mawaziri wa Russia basi ni Abramovic, Hivyo usijehata ukashangaa kuja kusikia Abramovic ni Jasusi undercover aliyebobea.
Imagine Abramovic alichukua Uraia wa Israel mtoto pendwa wa Marekani na adui mkubwa wa Russia na bado akawa rafiki wa Putin anayeingia Ikulu ya Russia kama Nyumbani kwake.
Inakuwaje sasa kidogo ahudhuriwe kwa sumu, yeye na wenzake wanaotafuta suluhu ya amani.Nje ya Serikali mtu ambaye yupo Karibu na Putin kuliko Mtu yeyote yule hata baadhi ya Mawaziri wa Russia basi ni Abramovic, Hivyo usijehata ukashangaa kuja kusikia Abramovic ni Jasusi undercover aliyebobea.
Imagine Abramovic alichukua Uraia wa Israel mtoto pendwa wa Marekani na adui mkubwa wa Russia na bado akawa rafiki wa Putin anayeingia Ikulu ya Russia kama Nyumbani kwake.
symptoms were due to "environmental" factors, not poisoning.Inakuwaje sasa kidogo ahudhuriwe kwa sumu, yeye na wenzake wanaotafuta suluhu ya amani.
BREAKING : Roman Abramovich is suffering symptoms of suspected poisoning.
3 members attending peace talks between 3rd - 4th March suffered symptoms consistent with poisoning with chemical weapons, one of the victims was Roman Abramovich.