Sio kujitetea lakini katika Timu kubwa Man United, Liverpool na Chelsea basi Chelsea ndiyo Timu yenye thamani ndogo kuliko Liverpool na Manchester United.
Chelsea anauza Timu nzima na kila Kitu chake kwa £3B wakati Liverpool ameuza hisa zake kwa RedBird asilimia 10% tu kwa £533M sawa na takriban $735M tena akapewa na Masharti ya kuboresha uwanja juu ya kutoa hela zote hizo.
Sasa kama asilimia 10% tu zina thamani ya £533M je asilimia zote 100% kama munavyouza nyinyi zitakuwa ngapi? Jibu thamani ya Liverpool kwa sasa ikuzwa hisa zake zote ni £5.33B.
Liverpool’s owners have confirmed a deal that will enable the club to continue with plans to redevelop Anfield and invest in player recruitment at pre-pandemic levels
amp.theguardian.com
View attachment 2168847
The stake will reportedly cost RedBird Capital around $750million (£537m), with the deal valuing FSG, who own Liverpool Football Club, at more than $7billion (£5bn)
www.mirror.co.uk
View attachment 2168853
Na kuhusu hako kajipound cha 3B Liverpool walishakikataa kwa dharau kabisa na kuita ni hela ya mbogamboga.
View attachment 2168844
Ajabu leo Timu kama Chelsea inajisifia kuuzwa kwa £3B hela ya mbogamboga! Muko serious kweli? Hiyo ni Mentality ya Timu kufika £3B wanaona kitu kikubwa na cha ajabu sana.
Huwa ninawambia maranyingi kuwa Muna mengi ya kujifunza kutoka kwa waliowazidi lakini cha ajabu munakimbikia kupost tu bila kuhakiki munavyovipost.
Na hata wewe umeangukia katika uropokaji wa watoto kama Ollachuga na yule mwenye ID ya 42774277.
Mukiwa Watulivu basi tutawafundisha mambo mengi sana.