Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

InShot_20220325_184344440.jpg
 
Tunahitaj kusajil wachezaj watakaondan na tuchel na kufany big signing halaf wanaishia kuflop

Usajil tunaohitaj sasa ni wachezaj watakaoendan na mfumo wa tuchel hata wakiwa ni wawil ilimrad impact yao inaonekana uwanjan
Na mfano mzuri ni usajili wanaofanya Liverpool, nasikia wako katika hatua za mwisho kumsajili Aurelien Tchouameni
 
Na mfano mzuri ni usajili wanaofanya Liverpool, nasikia wako katika hatua za mwisho kumsajili Aurelien Tchouameni
Hamna hiyo habari,

Tim nyingi kubwa zinamtaka huyu n hakuna tim iliyoanza mazungumzo na wakala or tim yake.

Msim uliopita tulikuwa na chance kubwa ya kumsajil kwa dau dogo chini ya 40, tukazembea now inabid tujiandae sababu tim kubwa zinamtaka akiwemo madrid

Kikubwa sasa tunahitaj kufanya usajil bases on data kama liverpool wanavyofanya na naona hiyo ndio vision ya Boehly

Sio kutoa 100M kwa mchezaj wa miaka 29 n haendan na mfumo wa tuchel

Yani now tunahitaj kufanya sajil kwa makini na kusajil mchezaj akawa flop

Roman alikuwa hajali hilo n ndio maana akawa anasajil hata mchezaj akiflop atasaji ila kwa sasa zama hizo zimeisha tusitegemee kama hawa matajir wetu watakuwa wanafanya big signing kila msim,

Cha msingi, wahakikishe tuchel awepo n wampe wachezaj anaowahitaj n watakaoendana na mfumo wake + wampe rudiger mkataba mpya
 
Raine’s 4 Man Shortlist revealed.

- Todd Boehly’s consortium

- The Ricketts Family

- Sir Martin Broughton Consortium

- Stephen Pagliuca

@TheAthleticUK

An 'auction' style process will now begin for #Chelsea after Raine confirmed the shortlist of four. A new owner is expected by the end of April.

[via @JacobsBen]

BBC nao wanasema shortlist inawajumuisha watu wa 5, ila huyu wa 5 bado hawajua ninani
 
Huu mchakato unaenda taratibu sana mpaka una kera yani mpaka huyo mmiliki aje apewe timu tutakuwa ktk hali mbaya
 
Raine’s 4 Man Shortlist revealed.

- Todd Boehly’s consortium

- The Ricketts Family

- Sir Martin Broughton Consortium

- Stephen Pagliuca

@TheAthleticUK

An 'auction' style process will now begin for #Chelsea after Raine confirmed the shortlist of four. A new owner is expected by the end of April.

[via @JacobsBen]

BBC nao wanasema shortlist inawajumuisha watu wa 5, ila huyu wa 5 bado hawajua ninani
Nasikia bado Nick Candy anapambana naye arudishwe kwenye shortlist, Ricket Family naona wamepambana ila hawana support ya mashabiki wengi
 
The four remaining contenders to buy Chelsea Football Club are being told they must commit at least £1bn to future investment in the Blues' stadium and squad as part of binding offers that will need to be submitted by the middle of April.
 
Naona mwisho was Chelsea mazee..
Tukifanya utani hapa timu yetu itateketea.
#CFC😭😭😭
 
Kwaulize Arsenal na Spurs baada ya kujenga uwanja mpya nini kiliwatokea?
Sasa hao Matajiri wanaotangaza project ya kujenga Uwanja mpya watakapouziwa Timu watakuja kuwatoa machozi.

  • Watoe £3B kununua Timu.
  • Project ya new Stadium ni more than £1B+.
  • Ongeza na migogoro ya Chelsea Pitch owner (Stanford Bridge) hawatokubali mutumie jina lao la Chelsea, kuna uwezekano wa kuitwa Fulham City.
Hata ikiitwa hivyo, jina tu ndilo litabadilika ila ubabe utakuwa palepale
 
Kwaulize Arsenal na Spurs baada ya kujenga uwanja mpya nini kiliwatokea?
Sasa hao Matajiri wanaotangaza project ya kujenga Uwanja mpya watakapouziwa Timu watakuja kuwatoa machozi.

  • Watoe £3B kununua Timu.
  • Project ya new Stadium ni more than £1B+.
  • Ongeza na migogoro ya Chelsea Pitch owner (Stanford Bridge) hawatokubali mutumie jina lao la Chelsea, kuna uwezekano wa kuitwa Fulham City.
Hata kama Chelsea isiposajili na kujikita zaidi kwenye project ya uwanja still ni Jambo zuri coz klabu kubwa km hyo yenye fanbase kubwa inahitaji kuwa na uwanja wenye kuingiza watizamaji wengi ili kuongeza mapato ya uwanjani hata Mimi nilikuwa natamani Sana tuongeze ukubwa WA uwanja....na kuhusu swala la kupotea uwanjani sahauni coz tuna jivunia Cobham ..na Kwa pale EPL Sisi NI unmatched Kabisa Kwa kuzalisha talent z vijana....hapo tuna option z kuwarudisha Armando broja, Gallagher, tuna mabeki km kina Levi colwill, Lewis hall na czan km tutashindwa Fanya hata sajili moja...jumlisha na wasasa ..pia tunaye coach ambaye ameonyesha uwezo WA kuutilize vijana vzuri kaonyesha hilo swala alipokuwa dortmund
 
Kwaulize Arsenal na Spurs baada ya kujenga uwanja mpya nini kiliwatokea?
Sasa hao Matajiri wanaotangaza project ya kujenga Uwanja mpya watakapouziwa Timu watakuja kuwatoa machozi.

  • Watoe £3B kununua Timu.
  • Project ya new Stadium ni more than £1B+.
  • Ongeza na migogoro ya Chelsea Pitch owner (Stanford Bridge) hawatokubali mutumie jina lao la Chelsea, kuna uwezekano wa kuitwa Fulham City.
Mkuu, kila bidders alitoa vision yake, wapo waliotaka kujenga new stadium na wapo waliotaka kuredevelop sb
Mfano Toddy Boehy ye plan yake ni kuongeza seat kwa awamu.

Na katika kutaka kuinunua part ya kujenga uwanja/ kuuboresha ilikuwa katika vipengele vinavyotakiwa n roman kwa yeyote atakaetak kuinunua

N now kwa yeyote yule atakaefanikiwa lazima akubal kuweka 3•5BN
Kwa ajili ya uwanja na Investment ya squad

The Bidding could go over £2.5BN with Chelsea wanting an extra £1BN + guaranteed in a binding agreement for investment into Stamford Bridge and the squad to keep them competitive in the league and Champions league. ( @Matt_Law_DT @TeleFootball )

Wacha tusubiri na tuone.

Lakini nawakumbusha tu kuwa mengi munayopost humu hayana uhalisia ni Copy and paste kutoka kwa Waandishi mbalimbali ambao na wao wanatafuta Rumors huko Uengereza ili watengeneze headlines.

Issues kama:
  • Abramovic atamuuzia mtu Timu yule ambaye atakubali masharti yake ya namna atakavyoiboresha, hii sio kweli kama munavyoaminishana. Abramovic bado anaplay part katika mauzo lakini hana upper hand ya kutoa conditions hizo.
  • Mnunuzi wa Timu kupangiwa namna ya kuiendesha Timu hicho kitu hakuna: Mamlaka yote yanabaki kwa mmiliki kuendesha kulingana na Plan & Annual budget na sio maagizo kutoka kwa aliyeuza, atakayenunua ni Mfanya biashara na sio Kibaraka.
  • Tajiri wa PSG, Man City na Chelsea ya mwaka 2004 wamemwaga hela nyingi kwasababu ya Status ya Timu zao walizozikuta wakati wananunua. Timu hazikuwa na Status ya Big Teams na wala hazikua Top in Europe na wala hazikuwa na Global Fanbase na wala hazikuwa na thamani kama sasa ya kuwa Top 7 ya Timu tajiri. Hivyo walimwaga hela kuvutia Big names and talented players kwenye Timu hizo mpaka zikafika hapo zilipo zina kila Kitu.

SASA ATAKAYEINUNUA CHELSEA AMBAYO KWASASA NI READY MADE INA KILA KITU UNADHANI ANAHITAJI KUFANYA KAMA ALIVYOFANYA ABRAMOVIC 2005 HAIKUWA NA CHOCHOTE?

Kwasasa Chelsea imeshakuwa Brand ya Kibiashara tofauti na alivyoikuta Abramovic hivyo Mnunuzi aninunua kwa ajili ya Kibiashara tu na si jengine! Mfano Mdogo matajiri wa Arsenal, Man United na Liverpool wamezikuta Timu tayari zina kila kitu hivyo wanafanya kile wanachojisikia wao kwani hata Mashabiki wakilia basi Brand ya Timu inalipa.

TIME WILL TELL TUPO HAPA NDUGU TUTAKUJA KUKUMBUSHA NA.
Ni kweli unachokiongea,

Kila tajiri na vision yake, kama anataka tim yake iwe inashindana kutwaa mataji investment huwa haikwepeki ila kama unataka tim ndio ijiendeshe or ifate kama fsg wanavyovyafanya unahiyaj uwe na watu kama kina michael edward, wenye jicho la kujua vipaji based on data,

Ngoja tuone hali itakavyokuwa, Muhim Allah atujalie pumzi na afya njema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom