juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Kwa hali tuliyokuwepo sasa, ya kuhitaj mmiliki mpya wa haraka,
Saudi angefanikiwa ingechukua mda mrefu kuja kumiliki n hii ingetufanya baadhi ya mambo ya siende sawa tungejikuta tuko kwenye administration, ukiangalia wamiliki wa newcastle iliwachukua miezi ili kumiliki newacastle