Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kesho ndio mwisho wa kusubmit bid kwa wote wanaotaka kununua chelsea.

Mchuano ukiwa mkali, watakwa wengine na kubakiwa na majina matatu yanaotaka then watasubmit bid zao tena,

Mpaka mwishon wa mwezi huu mshindi atakuwa ashapatikana,
Mpaka aje kumiliki tim itakuwa ni mwez wa 4.

Wanaopewa chapuo
Boehly-Wyss Consortium
Saudi media group inayoongozwa Mohamed melkherijil
Rickett Family + Griefin- Hapa ni watoto katika familia ya rickett na Griefin
Woody Johnson


Nick Candy mpk sasa bado hajasubmit bid yake
 
uefa.png
 
Chelsea sale checklist
  1. Offer
  2. Supply a proof of funds letter
  3. A full list of advisers
  4. A business plan
  5. A timescale for completion
 
Haya the blues wajipange vita ndo inaanza upya kutetea kombe
Screenshot_20220317-184453_Facebook.jpg
 
Katika mechi 13 zilziopita ilizocheza Chelsea, 6 za ligi na 7 nje ya ligi
Hii inaonyesha timu ilivyo bussy
 
Sema pamoja na kuwa underdog Chelsea Mimi bado naiweka kwenye list ya kuchukua CL ...

Ni vile mnacheza mpira mbaya ,rafu football ,hamna mpangilio wowote ,yaani hakuna uhondo Wala maujuzi kwenye game zenu ,ni kubutua butua [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ...kwenye knock out stage inawafaa ...
 
Ranking ya timu zilizovuzu kwa ubora kwa maoni ya pundits wengi
  1. Liverpool
  2. Man city
  3. Bayern Munich
  4. Chelsea
  5. Real madrid
  6. Atl madrid
  7. Villareal
  8. Benfica
My take
watakaoisumbua Chelsea ni liver na city tu
 
Gianluca Vialli (Muitaliano) anamsuport Nick Candy kwenye kuinunua Chelsea, alishawahi kuichezea Chelsea kama na 9 na pia kuwa meneja wa timu. Baada ya kustaafu soka mwaka uliofuatia yaani 99/00 alikuwa rasmi manager wa Chelsea na alishinda FA Cup, League Cup, UEFA Cup Winners Cup and UEFA Super Cup

1647576299705.png
 
Ranking ya timu zilizovuzu kwa ubora kwa maoni ya pundits wengi
  1. Liverpool
  2. Man city
  3. Bayern Munich
  4. Chelsea
  5. Real madrid
  6. Atl madrid
  7. Villareal
  8. Benfica
My take
watakaoisumbua Chelsea ni liver na city tu
Liverpool huyo tunaweza kumfunga. Match ya Carabao tuwaste sana chances ndo maana hatukushinda.

Man city tunaweza kumfunga, Alitufunga match ya kwanza kwa sababu ya approach mbovu ya kocha na match ya pili sababu ya majeruhi na covid.

Bayern anaweza kuwa tough opponent.

Hao walio chini ya chelsea, Opponent wa kutisha hapo ni Villareal.

Hao the rest ni mwendo wa kuwapasua tu
 
Serious buyers hadi sasa leo ni deadline

1) Ricketts Family - £2.3 bid

Katika individuals walioomba kuinunua Chelsea Ken Griffin kutoka Ricketts Family ndie bilionea tajiri kuliko wote walioomba. Ana utajiri unaomzidi Abramovich mara 3

2) Sir Martin Broughton
Huyu amekuwa long term supporter wa Chelsea

3) Nick Candy - £2.0 bid
Naye ni supporter wa muda mrefu wa Chelsea akipewa suport na Gianluca Vialli ambaye aliwahi kuwa mchezaji no 9 na pia meneja wa Chelsea katika miaka ya 90's mwishoni

4) Boehly-Wyss-Goldstein-Finkelstein consortium - £2.5 bid

5) Aethel Partners - £2.0 bid

6) Saudi Media Group £2.7 bid

7) Woody Johnson - still puting together a consortium - £2.0 bid

Raine Group wanasema inawezekana wa mwisho akainunua Chelsea kulingana na uharaka wa mauzo unavyotegemewa kuwa

Inasemekana baada ya leo tarehe 18, zoezi la mauzo litakwenda kwa kasi na baada ya wiki hivi mnunuzi atakuwa amejulikana ili michakato mingine ifuate mkondfo wake
 
Ratiba kamili ya robo, nusu na finali za UEFA Champ

Quarter-finals
First legs: 5/6 April
Second legs: 12/13 April

Semi-finals
First legs: 26/27 April
Second legs: 3/4 May

Final
Saturday 28 May (Stade de France, Paris)

Droo ya leo inajumuisha na nusu finali

1647596106782.png
 
Bado nasubiria hiyo droo


Chelsea
UEFA ranking:
4
European Cup best: winners (2011/12, 2020/21)
Last season: winners (W 1-0 vs Man. City)
This season
Record:
W6 D1 L1 F17 A5
Top scorer: Timo Werner (3)
Round of 16: 4-1 agg vs LOSC
Group H: runners-up
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom