Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Mkuu hatujakataa. Sisi ni Underdog.
Tuna UEFA Cup 2
Tuna UEFA Super Cup 1
Tuna Club World Cup 1.
Man City anazo ngapi?. Badala ya kutumia nguvu nyingi kukaza vuvu hapa kwa next level bor ukomae upate walau kombe moja hapo juu.
Wewe level zako ni kina QPR, Sheffield United, Bournemouth n.k
Pamoja na yote odds zinaonesha wewe ni underdog kwenye huu msafara...hata sijui kwanini mzee hata Mimi nashangaa pamoja na mafanikio yenu yote Bado nyie mnaonekana team ya ki local tu 😅😅😅😅....! Hamna nyota hata mchukue kombe la dunia mzee yaani team lenu ni majanga ,no mizuka ,no vibe ,no shamra shamra ,....!

