Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Viungo leo watatu kwenye 3-5-2

1647461097713.png
 
Kugusa mpira faulu, Chalobah anapata yello karibu na eneo la penalti

Sasa Chalobah huku nyuma ni liability
 
Mwamba umeshaanza kulalamika hata mechi yenyewe bado ujaiyona
Match ya Viungo watatu ilishakuwa failure kwetu.

Lille wanamtarget sana Joginho na amekuwa akifanya makosa toka match inaanza.

Bora hata Half time tunaenda 1-1 ila hawa jamaa wametukaba sana shingo.
 
Match ya Viungo watatu ilishakuwa failure kwetu.

Lille wanamtarget sana Joginho na amekuwa akifanya makosa toka match inaanza.

Bora hata Half time tunaenda 1-1 ila hawa jamaa wametukaba sana shingo.
TT kakusikia, kamuondoa Kovaci na kumuingiza Mount, nadhani sasa watacheza 3-4-2-1
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom