Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kati ya wanunuzi walipo sasa, Ratcliffe ni shabiki wa kuifia Manure
 
Hii issue ya saudi media group ni ngumu sana,

Wakipewa italeta maswali vile vile wakinyimwa huku bid yao ikiwa kubwa kuliko za wengine italeta maswal mengi,

Kwanini wakatae bid kubwa kiasi hicho huku Walikubal newcastle wamilikiwe na wasaudia,

Ukishaingiza politics kwenye soccer ndio madhara yake haya,

Hapa naona tukiangukia kwa boehy-wyss consortium au kwa Nicky Candy
Kuna uwezekano mkubwa akapewa Nick Candy na mwenzake Sir Martin Broughton kwa kuwa bidi yao nayo ni kubwa (£2.7bn)
 
Nick Candy offering to provide short-term funding to Chelsea if it faces cash crunch because of government-imposed restrictions; Candy also pledges fans' seat on board if his bid for Chelsea is successful as the bank handling the sale of the club ask for best bids to be submitted by Friday

Swahili
  1. Timu ikipitia hali ngumu ya kifedha kwa sababu za serikali kweka vikwazo yeye atatoa pesa za kusaidia timu kupita kipindi cha mpito
  2. Pia kasema bid yake ikifanikiwa atawaweka wawakilishi wa mashabiki kwenye bodi
Apewe timu asipewe?
Anaonekana ana Nia ya dhati kuiona Chelsea ikiwa juu zaidi...shida mashabiki wengi wanataka Wale WA Saudi... na tumeshaona uwekezaji wa waarabu kwenye timu wanazozimiliki. Km Newcastle, psg, city
 
Anaonekana ana Nia ya dhati kuiona Chelsea ikiwa juu zaidi...shida mashabiki wengi wanataka Wale WA Saudi... na tumeshaona uwekezaji wa waarabu kwenye timu wanazozimiliki. Km Newcastle, psg, city
Hawa waingereza/wamarekan sio wakuwaamini ni kama wana siasa tu, ukishawapa tim wanachoangalia ni kuwa ndan ya top 4 tu na sikuchukua ubingwa.

Ukiamuangalia hata Toddy Boehly ambaye pia ni mmoja wa wamililiki wa LA dodger unaona kabisa kule anamafanikio na hata ukiskia interview yake anamaoni mazuri, huyu anaweza kuwa mzuri kwetu shida inakuja

Maana kule kwa LA dodger ni moja ya tim bora kweny mlb wanashindana kisawasa

Issue ya wasaudia iko complicated sana,
Ngoja tuone hali itakavyokuwa
 
Chelsea's successes is a product of corrupt practices by his owner - connected with acquisition and sales of two Russian oil companies (SIBNEFT and SLAVNEFT).
Huwezi tofauti mafanikio ya Chelsea na msabwanda wa Makonda ambao ni matokeo ya vitendo vya unyanganyi na ujambazi
Huna tofauti na mwanamke aliyeachwa. Kila anapoona mafanikio ya mumewe aliyemuacha. Anaweweseka na kuropoka ovyo ovyo kutafuta huruma kwa majirani[emoji2957]

Chelsea inawatesa san wengi kwa sababu....
Chelsea ina UEFA Cup Arsenal hawana.
Chelsea ina UEFA Super Cup Arsenal hawana
Chelsea ina Club World Cup Arsenal hawana.
Chelsea ina Europa Cup Arsenal hawana.

Hapa lazima uteseke tu. Hakuna namna
 
Roman Abramovich

Kama hizi taarifa ni za kweli, basi hana tofauti na hawa matajiri wetu uchwara wahindi koko

""The Chelsea owner is reported to have made billions by buying an oil company from the Russian government in a rigged auction in the 90s.

Mr Abramovich paid around $250million for company Sibneft - but later sold it back to the Russian government for $13billion in 2005.""
 
Utajiri wa watu ukisema uanze kufatilia kuanzia mwanzo watu watashkana mashati

Ila haya yote leo ndio yanazuka ila before russia-ukraine kulikuwa kimya hata baada ya mgogoro wa uk n russia stil hawakuongea. Smtime media za uk zinapenda kumchafua mtu n ziko bias wanaamua taarifa ipi waiweke ipi wasiiweke
 
Inakuhusu nini akimaliza nafasi ya Saba?

Chelsea imechukua UEFA championship Cup msimu ulioisha

Chelsea imechukua UEFA Super Cup mwezi uliopita

Chelsea imechukua Club World Cup mwezi ulioisha

Chelse anacheza UEFA mpka sasa.

Chelsea yupo nafasi ya tatu pamoja na change changamoto anayopitia kwa sasa lakini bado yupo imara.

Ebu twambie Arsenal yupo wapi? Na ana nini cha kujivunia?
Achana.wajinga wa aser8 hawana hadhi hata ya kugusa gidamu zetu hao wapuuzi wako daraja moja na shelfield Wednesday huko
 
Roman Abramovich

Kama hizi taarifa ni za kweli, basi hana tofauti na hawa matajiri wetu uchwara wahindi koko

""The Chelsea owner is reported to have made billions by buying an oil company from the Russian government in a rigged auction in the 90s.

Mr Abramovich paid around $250million for company Sibneft - but later sold it back to the Russian government for $13billion in 2005.""
What's wrong with that?........tutafutia taarifa zinazo jenga timu sio za propaganda ya waingereza zilizo jaa wivu na fitina ligi ni ya kwao ila timu sita bora hamna ya kwao kwahiyo wanaumia sana
 
Ofa Yao imeshapokewa kama walikuwa hawatakiwi ofa Yao isingepokewa hao hawana hela watatuharibia timu.
Bids zote huwa zinapokelewa, mchujo ndio utawaondoa. Sababu kuu wana mahusiano na serikali ya Saudia ambayo ina almost 80% ya umiliki wa Newcastle. Hapo ndipo ugumu unaanzia. Na ndio maana wamekazana kusema hawana uhusiano na government
 
TT said,
FB_IMG_16473438760608453.jpg
 
Bids zote huwa zinapokelewa, mchujo ndio utawaondoa. Sababu kuu wana mahusiano na serikali ya Saudia ambayo ina almost 80% ya umiliki wa Newcastle. Hapo ndipo ugumu unaanzia. Na ndio maana wamekazana kusema hawana uhusiano na government
Hawana uhusiano na serikal ya saudia,

Jaribu kupitia tena
 
Premier League rivals concerned Chelsea will gain 'unfair advantage' by Roman Abramovich writing off £1.5bn loan

-Telegraph
 
Nick Candy leo kafanya mazungumzo na Marina na Bruce Buck kwa suala la kuinunua Chelsea, inawezekana labda maoni ya Bruce na Marina ina nafasi kubwa kwenye kuamua nani awe the next Chelsea Owner
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom