Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

POLEN CHELSEA ,HIZI SIASA NI MBAYA
Three: suspended sponsorship

Hyundai: “currently assessing”

Zapp: “under review”

Telegraph Sport knows of at least one other sponsor considering ending its partnership with Chelsea. Club’s commercial revenue in latest financial accounts was £153.6m
 
Bado naamini Chelsea itaangukia mikononi salama, hakuna mpumbavu duniani atakayeharibu mafanikio iliyofikiwa na Chelsea. Na hakuna serikali pumbavu duniani itakayoharibu vyanzo vya mapato. Mpira ni chanzo cha mapato UK, wawekezaji wa micheza wakiona UK gov imecheza rafu inaweza ikaharibu uwekezaji mkubwa na mpana zaidi. So let be faithfull kwamba UK Gov wataitendea haki Chelsea iendelee kuwa stable na strong. Hizo restrictions zilziowekwa ni kwa wakati huu wa mpito tu ikiisha hapo, maisha yatarudi normal
Naona tukiangukia kwa bwana wyss-boehly

Matatizo kama hayo yasipotatuliwa haraka yataaffect performance yetu.
Hasa hasa katika kipindi hichi tunachopigania ucl,fa cup n top 4.

Itatuchukua mda kukaa sawa, I feel sorry kwa Tuchel naona kabisa leo wanahabar wakimuuliza maswal ambayo hayapaswi yeye kuulizwa
 
performance itashuka ni ngumu wachezaji kuweka akili zao michezoni huku mambo yakiwa mazito
 
Mimi Liverpool lakini nimepitia hapa kutoa pole na hasira juu ya hawa wanasioasa kutuingiza ligi yetu katika mambo yaliyowashinda kama kweli wanauchungu wangeingia vitani sio kudhulumu mali za watu kuturejesha miaka ya wa comunist kutaifisha mali za watu na wao ndio kwanza walikuwa mbele kupinga. Waingereza ni wanafiki wa kiwango cha lami fitna dunia nzima mbwa hawa. Mambo ya siasa ya nini kutuletea kwenye starehe zetu. Kwani alinunua chelsea jana? miaka 19 hawakujiuliza pesa katoa wapi. washenzi wakubwa hawa. Poleni wana Chelsea na hili litapita tu. Mpenzi wa EPL na Liverpool
Asante mkuu kwa kutupa pole umeongea kama mshabiki halisi wa soka wengine wanaleta utani kwenye vitu serious
 
Serikali ya UK ni ya kipuuzi sana. Wanasemasiasa haiingiliani na mpura sasa hii maana yake nini? Wamemuekea vikwazo Roman wanaona haitoshi mpaka club yenyewe.

BorisJohnson na washirika wake wanawaza kwa kutumia makalio yao wapuuzi wale. Hawana maana yoyote mburukenge tu
 
Mimi Liverpool lakini nimepitia hapa kutoa pole na hasira juu ya hawa wanasioasa kutuingiza ligi yetu katika mambo yaliyowashinda kama kweli wanauchungu wangeingia vitani sio kudhulumu mali za watu kuturejesha miaka ya wa comunist kutaifisha mali za watu na wao ndio kwanza walikuwa mbele kupinga. Waingereza ni wanafiki wa kiwango cha lami fitna dunia nzima mbwa hawa. Mambo ya siasa ya nini kutuletea kwenye starehe zetu. Kwani alinunua chelsea jana? miaka 19 hawakujiuliza pesa katoa wapi. washenzi wakubwa hawa. Poleni wana Chelsea na hili litapita tu. Mpenzi wa EPL na Liverpool
Kwhy we unaona ni bora kuingia vitani ili watu wasio na hatia wapoteze maisha.
 
Serikali ya UK ni ya kipuuzi sana. Wanasemasiasa haiingiliani na mpura sasa hii maana yake nini? Wamemuekea vikwazo Roman wanaona haitoshi mpaka club yenyewe.

BorisJohnson na washirika wake wanawaza kwa kutumia makalio yao wapuuzi wale. Hawana maana yoyote mburukenge tu
better wangemuwekea abramovich vikwazo ila club ikaendelea kuoperate as normal,

Wakahakikisha Abramovich hafaidiki na chochote kuanzia sasa,

Ila kuzuia uuzaji ticket, kutorenew mikataba etc imetudhoofisha sana.

Tutegemee kupoteza baadhi ya wadhamin kama hii issue isipotatuliwa haraka.
 
Unapotoa comment yako ya kimama kama hii zingatia umri tofauti tofauti wa mashabiki wa timu yoyote duniani

1. Wakati Roman ananunua Chelsea kuna watu wa umri mkubwa lakini walikuwa hawaangalii ligi kuu ya England wala hawashabikii timu yoyote England

Stori na Mafanikio ya Chelsea ndio yaliwavuta kushabikia the blues kufuatilia ligi ya epl.

Wala walikuwa hawafahamu chochote kuhusu mafanikio ya Liverpool wala Man u

2. Mwaka 2003 Roman anaichukua Chelsea kulikuwa na vijana wadogo teannagers ambao walianza kuipenda Chelsea moja kwa moja bila kujua historia za Liverpool na Man u.

Mfano umri wangu ni 30+, kabla ya mwaka 2015 sikuwahi kuangalia, kusikiliza wala kufuatilia mechi ya ligi kuu Tanzania, wala sikuwahi kuangalia timu ya Simba au Yanga ikicheza iwe kwenye Tv au live, wala nilikuwa sifahamu mchezaji yoyote wa timu hizi kubwa nchini.

Lakini mwaka 2015 nilivutiwa na timu ya Simba nikaanza kuishabikia.

3. Kwa hiyo usilamishe kusema mashabiki wote wa Chelsea walihama Man u na Liverpool. Labda wa umri wako grandpa
Achana na hao vinyogoli wanajionaga wao ndio football ancestors na kila mtu lazima awe ivyo. Selfishness minds
 
Naona tukiangukia kwa bwana wyss-boehly

Matatizo kama hayo yasipotatuliwa haraka yataaffect performance yetu.
Hasa hasa katika kipindi hichi tunachopigania ucl,fa cup n top 4.

Itatuchukua mda kukaa sawa, I feel sorry kwa Tuchel naona kabisa leo wanahabar wakimuuliza maswal ambayo hayapaswi yeye kuulizwa
performance itashuka
 
better wangemuwekea abramovich vikwazo ila club ikaendelea kuoperate as normal,

Wakahakikisha Abramovich hafaidiki na chochote kuanzia sasa,

Ila kuzuia uuzaji ticket, kutorenew mikataba etc imetudhoofisha sana.

Tutegemee kupoteza baadhi ya wadhamin kama hii issue isipotatuliwa haraka.
Shida yao ni kuikomoa timu na mashabiki. Nahisi pia walichukizwa ile siku mashabiki walipoimba jina la Roman mechi dhidi ya Burnley
 
Naona Man Utd pamoja na vilabu vingine vikimtaka Tuchel endapo ikitokea akaondoka.
 
soon mnakuwa banter club na botler wenu lukaku 😂😂😂
 
Chelsea captain César Azpilicueta tells
@emma_saund
: “I have to admit this has not been a normal day. We cannot control this matter”, he said on Chelsea situatio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom