Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wakati Chelsea wanacheza acheni wazi Hilo Stamford bridge wahuni tuinguie bure hata kushangilia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
#Chelsea are in dicussions with the government regarding the next steps.

[via @NizaarKinsella]
 
Sale of Chelsea can still go through if Roman Abramovich agrees to allow Government to take over the process | @Matt_Law_DT

Kwa chuki zao wanaweza wakawauzia watu Kariba za kina kroenke watu ambao wapo kibiashara zaidi n sio soka n mwshoe tukaishia kuwa midtable team km Southampton. Dagh kmmke walai...

CHELSEA FAN TILL I DIE

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Bila shaka Sasa mtarudi kwenye timu zenu halisi hasa Liverpool na arsenal

Haiwezekani jitu Lina miaka 50 eti shabik wa Chelsea huo n uwongo mkubwa

Karibuni Sana hata mashabiki wa newscastle waliikimbia timu Yao

Mashabiki wa man u nanyi mda wenu bado

SERIKALI YA UINGEREZA SHIKILIENI HAPO HAPO HAD KIELEWEKE

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Bila shaka Sasa mtarudi kwenye timu zenu halisi hasa Liverpool na arsenal

Haiwezekani jitu Lina miaka 50 eti shabik wa Chelsea huo n uwongo mkubwa

Karibuni Sana hata mashabiki wa newscastle waliikimbia timu Yao

Mashabiki wa man u nanyi mda wenu bado

SERIKALI YA UINGEREZA SHIKILIENI HAPO HAPO HAD KIELEWEKE

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kumbe nuna fans walitoka team zingine kuja Chelsea! Ndio hao wanaitwa plastic fans, anyway Chelsea is there to stay. Endeleeni kufurahia mkidhani ndio mtashinda makombe.
 
Kwa chuki zao wanaweza wakawauzia watu Kariba za kina kroenke watu ambao wapo kibiashara zaidi n sio soka n mwshoe tukaishia kuwa midtable team km Southampton. Dagh kmmke walai...

CHELSEA FAN TILL I DIE

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nahisi tu hapa, Wyss-Boehly hawa ndio watakaoenda kununua kama uk gvt ndio itakayoratib mchakato wa mauzo
 
Shirt sponsors Three are 'reviewing the situation and in discussions with #Chelsea' following Roman Abramovich's sanctioning.

[via @TheAthleticUK]
 
Kwishnei.. Ain't no business!
IMG_20220310_155359_693.jpg
 
Unapotoa comment yako ya kimama kama hii zingatia umri tofauti tofauti wa mashabiki wa timu yoyote duniani

1. Wakati Roman ananunua Chelsea kuna watu wa umri mkubwa lakini walikuwa hawaangalii ligi kuu ya England wala hawashabikii timu yoyote England

Stori na Mafanikio ya Chelsea ndio yaliwavuta kushabikia the blues kufuatilia ligi ya epl.

Wala walikuwa hawafahamu chochote kuhusu mafanikio ya Liverpool wala Man u

2. Mwaka 2003 Roman anaichukua Chelsea kulikuwa na vijana wadogo teannagers ambao walianza kuipenda Chelsea moja kwa moja bila kujua historia za Liverpool na Man u.

Mfano umri wangu ni 30+, kabla ya mwaka 2015 sikuwahi kuangalia, kusikiliza wala kufuatilia mechi ya ligi kuu Tanzania, wala sikuwahi kuangalia timu ya Simba au Yanga ikicheza iwe kwenye Tv au live, wala nilikuwa sifahamu mchezaji yoyote wa timu hizi kubwa nchini.

Lakini mwaka 2015 nilivutiwa na timu ya Simba nikaanza kuishabikia.

3. Kwa hiyo usilamishe kusema mashabiki wote wa Chelsea walihama Man u na Liverpool. Labda wa umri wako grandpa
mashabiki wa liverpool wao ndo wanaona ndo mashabiki halisi wa mpira kila mtu lazima awe liverpool au arsenal na unakuta mtu msomi kabisa anashindwa kufikiria kuna watu wamezaliwa 90 s kuendelea wamekuja kupenda mpira chelsea ikiwa inafanya vizuri
 
Chelsea sale: Talks to continue with prospective new owners.

Belief is that sale will still happen - Government confirm they want sale.

As long it is proven that the funds don't go to Roman Abramovich - a sale will go through.

[emoji3578]@90min_Football

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom