juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
BBC sport wanasema walio serious wamefika 20Sasa hivi walioonyesha nia ya kun unua Chelsea yetu wamefikia 300 ila bado walio serious ni 10 tu
BBC sport wanasema walio serious wamefika 20Sasa hivi walioonyesha nia ya kun unua Chelsea yetu wamefikia 300 ila bado walio serious ni 10 tu
Huyo mbwiga anatafta popularityNasubili siku Chelsea itakabobadilishwa jina kuwa "kongolo FC "...
Watu Wana dharau aise[emoji16][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
itakuwa huyo tajiri alikunywa supu ya kongolo sio bure kabisa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji22][emoji22][emoji22]
Serikali ya UK itahakikisha tu wafanyakazi wanalipwa basiSAD NEWS TO CHELSEA FC
Hatimae Chelsea haiuzwi tena, Serikali ya U.K imemuorodhesha Boss wa chelsea kwenye orodha ya matajiri/makampuni yaliyoshikiliwa dhamana zake. Lakini shughuli kadhaa za kimichezo zitaendelea ndani ya club ingawa boss imekula kwake tayari.
Hapa maisha yamefika ukomo ya kufanya vizuri kwenye michuano ya Ulaya na ndani ya Ligi kuu Uingereza kwa kipindi hiki cha mpitoSerikali ya UK itahakikisha tu wafanyakazi wanalipwa basi
Shughuli zingine zimesimama hata kuuza tickets hairuhusiwi labda kwa wale waliokata mapema tickets za msimu mzima..
Kwenye sheria tunaita Assets seizedSerikali ya UK itahakikisha tu wafanyakazi wanalipwa basi
Shughuli zingine zimesimama hata kuuza tickets hairuhusiwi labda kwa wale waliokata mapema tickets za msimu mzima..
Hii haitomaliza matatizo ya Nyumbu FCDah kongolo fc kwisha habari yenu.[emoji16][emoji16]View attachment 2145500