Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wengi mnashindwa kuelewa, wala siasa haijaingilia mpira kilichotokea serikali ya UK wamemuwekea Roman vikwazo yeye na Chelsea ni mali yake kwahiyo lazima Chelsea nayo iguswe tena bado wamepewa na special license kuendelea kufanya kazi ila ndiyo hivyo Roman hakuna faida atatengeneza katika kipindi chote hicho.

Hii ishu kimichezo tunaweza kuona UK government wanaionea Chelsea lakini kumbuka upande mwingine kuna vita inayoendelea na inaharibu maisha ya watu kila siku na Chelsea inamilikiwa na mtu wa karibu wa na Putin ambaye anaweza kuwa ni mmoja wa watu wanao-fund vita kuendelea. I believe UK government knows more.

Halafu kuhusu kuwa shabiki wa soka na kufurahia anguko la Chelsea kuna watu kwetu hizi ni habari njema kabisa na hata Chelsea ikipotea bado itarudi tu.
Wakati US akivamia Libya, Iraq,Vietnam nani alimuwekea vikwazo? Western propaganda bado mnaziabudu nyinyi ng'ombe mliofungwa pin puani,analysis yako imejaa emotions kisa unaiogopa Chelsea as unaonekana umeteseka for 20 years na more years to come utaendelea kuteseka. Uzuri mistari ya mwisho imedhihirisha uliyoandika juu ni pumba.
]
 
Kwhy we unaona ni bora kuingia vitani ili watu wasio na hatia wapoteze maisha.
Sasa Chelsea ndio wanapigana vita huko? Kuna vita gani dunia hii vimetokea bila watu kupoteza maisha? Siasa toka lini na mambo ya michezo kama wao Serikali ya UK wana uchungu sana kinachowashinda nini kuingia vitani nakuokoa watu wasio kuwa na hatia. wanakimbilia soft target Chelsea kuonesha wanajali. Wao UK waliuwa watu wangapi nchi za watu au wale walikuwa hawana macho ya blue sio binadamu.
 
Uk hawaja sanction Chelsea bali R.A, ndio maana Chelsea as a club wameruhusiwa kuendelea na normal footballing activities.
 
Uk hawaja sanction Chelsea bali R.A, ndio maana Chelsea as a club wameruhusiwa kuendelea na normal footballing activities.
Wamezuia hata washabiki kununua ticket kuingia kuangalia team zao hakuna kununua jezi hakuna kununua au kuongeza mkataba wa mchezaji kama huna nia ya kuuwa team ni nini? mfungie huyo owrner ambaye miaka 19 walifunga macho hata wakati Russia wanapiga Syria na kuuwa watu walikuwa kimyaa leo macho ya blue ndio binadamu hawa wengine mbwa. Hakuna mtu anapenda vita ila sote tunapenda kuona haki na maisha yote kuwa sawa. Russia kauwa sana watu Syria walikuwa wapi hawa UK? Double standard inaumiza sana usiombe ya kukute kuona huthaminiwi kwa sababu ya uraia wako au rangi yako inauma. Watuachie mpira wetu kama wao wanaume waende kupigana. Kama wana jeuri wapokonye Man city na Newcastle maana Saudia na UAE mwaka wa saba wanapiga Yemen na ndege watu kibao wamepoteza maisha hao sio watu?
 
If sanctioning Chelsea will pay for the innocent blood shaded due to ongoing war then am proud of Chelsea.

Because to blues lives of our fellow humans matter than football glory. All the trophies that we have won should now be taken and given to Man u, Liverpool, Tottenham and Arsenal. The club should totally be destroyed to compensate for Ukrainians and Russians war victims.
 
Wamezuia hata washabiki kununua ticket kuingia kuangalia team zao hakuna kununua jezi hakuna kununua au kuongeza mkataba wa mchezaji kama huna nia ya kuuwa team ni nini? mfungie huyo owrner ambaye miaka 19 walifunga macho hata wakati Russia wanapiga Syria na kuuwa watu walikuwa kimyaa leo macho ya blue ndio binadamu hawa wengine mbwa. Hakuna mtu anapenda vita ila sote tunapenda kuona haki na maisha yote kuwa sawa. Russia kauwa sana watu Syria walikuwa wapi hawa UK? Double standard inaumiza sana usiombe ya kukute kuona huthaminiwi kwa sababu ya uraia wako au rangi yako inauma. Watuachie mpira wetu kama wao wanaume waende kupigana. Kama wana jeuri wapokonye Man city na Newcastle maana Saudia na UAE mwaka wa saba wanapiga Yemen na ndege watu kibao wamepoteza maisha hao sio watu?
Afu kuna punguwani watakuja kuyasifia mabeberu eti yana akili sana, sasa hapo kuna haki gani iliyotendeka zaidi ya chuki tu dhidi ya Mmiliki wa klabu ya Chelsea" Abrahamovich"?
 
Talks to sell Chelsea are continuing, UK Government want the sale and everyone involved wants this done as soon as possible.

{@GraemeBailey}
 
Naona tukiangukia kwa bwana wyss-boehly

Matatizo kama hayo yasipotatuliwa haraka yataaffect performance yetu.
Hasa hasa katika kipindi hichi tunachopigania ucl,fa cup n top 4.

Itatuchukua mda kukaa sawa, I feel sorry kwa Tuchel naona kabisa leo wanahabar wakimuuliza maswal ambayo hayapaswi yeye kuulizwa
Klabu isipouzwa kwa haraka, cashflow itascrumble na hata pesa za kushiriki mashindani na kuendesha klabu zote mbili itakuwa matatani. Kwenye akaunti sasa kuna paundi mil 150 tu
 
Chalobah sijui kwa nini anatabia ya kucheza mpira wa chin kwa kichwa,

Wa kwanza kaukosa silva akaclear
Wapili kasababisha penalf
Chalobah hajatulia, bado ana kiherehere. Jana Nor waliporudi kipindi cha pili waliulemea upande wake hadi akasababisha penalti
 
The UK government views the British property tycoon Nick Candy and a consortium headed by Todd Boehly and Hansjörg Wyss as serious contenders to buy Chelsea after inviting potential bidders to approach it with takeover proposals.

The current situation is 'urgent' from #Chelsea’s perspective. Fears are growing that the Blues could fall into administration if a sale is not agreed soon due to income streams being restricted.

[via @JacobSteinberg]

- @guardian_sport
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom