Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[emoji599] Muhsin Bayrak has made an offer to Abramovich to buy the club.

“ We are in the negotiation phase with signatures, we will fly the Turkish flag in London soon! “

[via Yeni Safak]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Je Boris Johnson na washirika wake wataruhusu hadi muda huo kabla hawajampiga bao Roman?
Labour part ndio wanaongangania, ila inaweza chukua miezi

Hii ni jana taarufa ilikuwa inasema hivi

It could take months of legal work before the the U.K. is ready to even consider sanctioning Roman Abramovich and some other wealthy Russians, because government lawyers have still to lay the foundations of a watertight case against them, a person familiar with the matter said.
 
kuna mmoja pia bwanyenye kutoka uturuki inaonekana likely ndo atainunua Chelsea ....mi binafsi naona Bora huyu Kwanza networth yake NI kubwa kuliko hao kina Todd n wyss Afu pia ... inasemekana wyss sio mpenzi WA mpira Sana ....tuone itakavyokuwa Ila Kwa tetesi inaonekana ana percent kubwa kufinalise deal

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Tod Boehly ndie atakaekuwa mwendeshaji ila huyi kibabu wyss yuko pale kwa ajili ya faida tu hana lolote
 
Chelsea ready to reject politically sensitive bids which is a boost to Boehly-led offer.

Source-Telegraph

Naona Boehly-Wissy consortium wnasafishiwa njiwa
 
Labour part ndio wanaongangania, ila inaweza chukua miezi

Hii ni jana taarufa ilikuwa inasema hivi

It could take months of legal work before the the U.K. is ready to even consider sanctioning Roman Abramovich and some other wealthy Russians, because government lawyers have still to lay the foundations of a watertight case against them, a person familiar with the matter said.
Hii karma waingereza itajawageukia mungu atalipa hapa hapa dunian
 
Reports

Chelsea wamdhaminisha Broja ghali zaidi ya Lukaku
Broja (€70m (£57.8m).
Lukaku €50m (£41.3m)
 
Na itaua kwa sababu watakavyomfanya Abramovich itawaogopesha na hao Waarabu pia
FA wajue kwamba 75%ya mashabiki wa Epl ni kutoka third world countries sio ulaya au America, ndo hao hao mashabiki wameipa Epl hadhi na pesa za rights za TV, ulaya na Amerika wana league zao nzuri pia, FA wakicheza vibaya siasa kwenye hi Issue Epl ina shuka vibaya, tena kumbuka timu zao nyingi zina milikiwa na wageni waziuza na kutafuta masirahi yako wapi tena kuwekeza.
 
Ina maana wale Waarabu wanao miliki visima vya mafuta hawaitaki timu yetu.!?
 
Ina maana wale Waarabu wanao miliki visima vya mafuta hawaitaki timu yetu.!?
Umesikia kauli ya Roman Abramovic ungeisikia nadhani mashabiki wote wa Chelsea tungemuunga mkono Tajiri yoyote atakaye chaguliwa na Roman kuwa mmiliki mpya wa Chelsea
 
Wyss anamchukia Roma na Putin, hana mapenzi na mpira, uamuzi wake wa kununua Chelsea umekuja kama suprise lengo lake kuu ikiwa ni kumuondoa Abramovich darajani. Hivyo tutegemee akiinunua Chelsea inaweza kuzorota na kuwa kama akina Crystal Palace
 
Hivi umemsiki kauli aliyotoa Abramovic? Abramovic kasema hivi atamchagua Tajiri ambaye anamipango mizuri ya kuifanya Chelsea iwe shindani kwa kufanya vizuri michuano ya ulaya pamoja na ligi kiujumla me nashangaa mnavyokuwa na wasiwasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom