Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,598
- 81,591
Yataje wewe mimi sina mudaYataje.
Yataje wewe mimi sina mudaYataje.
Soma kilichoandika. "Tangu FSG wameichukua Liverpool".Acha matusi tangu Abramovic aichukue chelseafc hakuna team yeyote kutoka uingereza iliyochukua mataji mengi (21) zaidi yake na pia hatujawahi kupita misimu miwili bila kuchukua kombe lolote
Alikua kashaanza kuwa kwenye ubora wake hasa kile kipindi cha Sarri alitengeneza combination nzuri sana na Hazard. Alipopata majeraha tu naona ili mdrain confidence yake yote mpk bado anajitafuta ila so far anaperform vizuri sanaAbsolutely kiukweli wanakera Sana RLC ni mchezaji mwenye talent kubwa Sana ila kuna vitu anatakiwa avifanyie kaxi kama kuachia mpira kwa haraka, kuwa na consistency na kujituma atakuwa bonge la mchezaji
FSG wameichukua liverpool kuanzia 2010 haya piga hesabu kuanzia 2010 mmechukua makombe mangapSoma kilichoandika. "Tangu FSG wameichukua Liverpool".
Anzia hapo mzee.
Hasa ukiangalia jinsi alivyokua anacheza chini ya Sarri. Alikua offensive midfield na aliitumia vizuri sana hiyo position.RLC jana kacheza vizuri sana Ila kocha asimpange kwenye central defense tena tukicheza na timu zenye kupress halafu akacheza namna ile, ataruhusu magoli ya kizembe sana. Jana tungecheza na Liverpool au City tungefungwa sana kwa uchezaji wa Loftas cheek karibu na goli
CB haimhitaji mtu anayependa kudrible. Dribling ni kwenye advance position kama attacking midfielder au forward
CB inamhitaji mtu anayeweza kupiga pasi tena za harakla haraka, hii ya kupokea mpira na kuanza kupiga chenga golini ni very very risky
Nahisi RLC huenda akauzwa or akatolewa kwa mkopoHasa ukiangalia jinsi alivyokua anacheza chini ya Sarri. Alikua offensive midfield na aliitumia vizuri sana hiyo position.
Hapa nawaza kwa jinsi huyu Conor Galagher anavyouwasha moto huko Crystal Palace hivi akirudi Tuchel si ataumiza sana kichwa namna nzuri ya kuwatumia hawa watu hasa kwenye offensive midfield.
Mount, Kova, RLC, Gallagher, Havertz,
RLC sio wa kwe da mkopo tenaNahisi RLC huenda akauzwa or akatolewa kwa mkopo
hamna kitu unakijua boya wewe, RLC we unaona kuna mchezaji mule?RLC sio wa kwe da mkopo tena
Hata wew huwezi mfunga Chelsea. Sahau kabis.
Ila Liverpool alibebwa haswa kuhusu goli la Lukaku maana halikuwa offside kabisa daaah...! Hakika waamuzi wa UK ni pasua kichwa.
Au nao wanabeti nini?
Wee fuatilia handball ya city evertin wakadhulumiwa ile mbayaIla Liverpool alibebwa haswa kuhusu goli la Lukaku maana halikuwa offside kabisa daaah...! Hakika waamuzi wa UK ni pasua kichwa.
Au nao wanabeti nini?
Matip hakuotea ila VVD alimzuia James akiwa Offside. Kumzuia mcheza inaruhusiwa ila inatafsiriwa kuwa mchezaji anayemzuia mwenzake naye kashiriki kwenye build up play na kwa hiyo VVD angemzuia James akiwa onside isingekuwa shida ila alimzuia akiwa offside so it was offside. Usifananishe hiyo scenerio na ile ya goli la LukakuMechi ilikuwa iishe dakika ya 90
Lile bao la Matip ni halali
Natafakari sana katika hili, asije akaja Tajiri akawa na mipango yake kama ya Arsenal ilhali tumezoea Mataji.Mnapata wapi nguvu ya kujadili wachezaji wakati timu ipo sokoni?
Anaweza kuja tajiri mpya akaachana na habari za kuvunja rekodi za usajili, plan yake kuu ikawa ni kupata wachezaji kutoka academy.
Hapo tutaimba yelooo yelooo namba saba kitani
Kuna Tajiri wa kiarabu mwingine pia amejitokeza kununua chelseafc hadi sasa wamefika matajiri 7 wanaotaka kununua chelseafc binafsi nataka hao waarabu wawili mmoja wake awe ndio mmiliki wa chelseafc hatutaki maisha kama ya Man u na ArsenalNatafakari sana katika hili, asije akaja Tajiri akawa na mipango yake kama ya Arsenal ilhali tumezoea Mataji.
Matip hakuotea ila VVD alimzuia James akiwa Offside. Kumzuia mcheza inaruhusiwa ila inatafsiriwa kuwa mchezaji anayemzuia mwenzake naye kashiriki kwenye build up play na kwa hiyo VVD angemzuia James akiwa onside isingekuwa shida ila alimzuia akiwa offside so it was offside. Usifananishe hiyo scenerio na ile ya goli la Lukaku
Wewe ndie hujanisoma, nimesema VVD kaotea alipojaribu kumzuia jame hivyo hiyo ni OFFSIDE PLAYUnapingana na FA?
FA wanasema VVD aliotea