juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Wyss ni kama mmoja wapo. Ila mwenye nia ni Todd Boehly ambaye mwaka 2019 alijarib kutununua ila Roman akamkataliaWyss anamchukia Roma na Putin, hana mapenzi na mpira, uamuzi wake wa kununua Chelsea umekuja kama suprise lengo lake kuu ikiwa ni kumuondoa Abramovich darajani. Hivyo tutegemee akiinunua Chelsea inaweza kuzorota na kuwa kama akina Crystal Palace
Hawa ni consortium so maamuzi hayawez ya kuwa ya mtu mmoja