Kichwa maji, unataka ujadiliwe wewe?Yan mnavyowajadili hao matajiri utafikiri mtaweza kubadilisha chochote.
Binafsi yangu sitaacha kuishabikia Chelsea kwa namna yoyote ile. Hakuna mtu aliyeomba hili ila ndio ishatokea sisi kama fans tunafuata kitakachokuja mbele yetu. Pamoja na yote maisha lazima yaendelee na ndio jana kuamkia leo tulicheza mechi yaFA na tulicheza vizuri sana
Waache wabwabwaje tu na KUONESHA mahaba yao juu ya matajiri hasa waarabu.Yan mnavyowajadili hao matajiri utafikiri mtaweza kubadilisha chochote.
Binafsi yangu sitaacha kuishabikia Chelsea kwa namna yoyote ile. Hakuna mtu aliyeomba hili ila ndio ishatokea sisi kama fans tunafuata kitakachokuja mbele yetu. Pamoja na yote maisha lazima yaendelee na ndio jana kuamkia leo tulicheza mechi yaFA na tulicheza vizuri sana
Unajidanganya...!! Yeye asepe tu na mpunga wanaweza wakamdhulumu na hamna kitu atafanya ...!! Atakuja tycom mwingine timu itaenda , ikizingua kuna nyingine itaibuka , ukweli ni kuwa mpak sasa upepo wa mafanikio umewekwa mikononi mwa wazungu , hata wawaonee vip still upepo wa mafanikio upo kwao, hata miaka 100 ijayo sioni wakianguka, kilichopo ni wewe kuzichanga karata zako vizur , utembee nao ule mema ya nchi au ujikate ufe kibudu..full stopWaingereza toka mwanzo hata kabla ya vita hawampendi abramovich kwa chuki zao waingereza ni wabaguzi sana wanatabia yakubagua hadi wazungu wenzao hilo suala la vita ndio unafiki wakaukoleza ila kiukwel huko palestina kulikuwa na vita wapaleastina waliuliwa hata libya kule lkn hatukusikia #we stand with palestina tena ukijaribu kufanya basi utafungiwa mechi hata 10 kingine Hata wao FIFA na uefa walisema hawatoingiliana na siasa lkn imekuwa tofaut jamaa wana unafiki wa kiwango cha juu sana . abramovich walishaanza kumuwekea vikwazo pia asikanyage pale UK .
Waingereza wanaenda kuliua soka lao kwa kuingiza siasa kweny mpira
, Team zenye ushawahi mkubwa nje ya uingereza kama hzi zikimilikiwa na hawa wamarekan na waingereza hazifik popote
Waingereza wanawivu sana hawapend wageni wakiwa wanaziongoza team zao kubwa
Timu bado haijauzwa hao new owners wametokea wapi?Just in:
According to sources!
New Chelseafc owners will ask their high earners to take pay cut to line up with the current market.
Big changes incoming at #CFC[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waliichukua 2010 mataji kama sita tuSoma kilichoandika. "Tangu FSG wameichukua Liverpool".
Anzia hapo mzee.
Ni kweliAcha Uboya wewe Jamaa! Unadhani hizi hela tunazolipia Dstv zinaenda Kijijini kwenu kulima Majaruba?
Heshimu sana Washabiki hata kama wapo Tanzania haimaanishi hawachangii chochote kwenye Timu.
Mshabiki wa Chelsea anapolipia Dstv hizo hela ndiyo wanazilupwa Chelsea kama haki ya Matangazo ya TV na ikumbukwe bila ya hizi fedha za haki za matangazo ya TV hizo timu zisingekuwa hapo zilipo kwasababu bila ya TV hizo Fanbase wasingekuwanazo na wangekosa Wadhamini wengine kama NIKE, ADIDAS, PUMA n.k. wanaotoa hela zao kulingana na Fanbase.
Hivyo jenga heshima kwa Washabiki wanaoichangia Timu kupitia Dstv either kulipa wao directly au kupitia Jero zao za Vibanda Umiza.
Pia wanaostream online zile MB zao usidhani kuwa wamehongwa bali wamenunua kustream kwenye Channel ambayo imenunua matangazo, hizo hela walizonunulia Matangazo ndiyo zinarudi kwa Chelsea.
Waombe Radhi washabiki wa Chelsea wanaoichangia Timu yao.
Na mashabiki wanataka kuinunua timu iwe yao,Acha Uboya wewe Jamaa! Unadhani hizi hela tunazolipia Dstv zinaenda Kijijini kwenu kulima Majaruba?
Heshimu sana Washabiki hata kama wapo Tanzania haimaanishi hawachangii chochote kwenye Timu.
Mshabiki wa Chelsea anapolipia Dstv hizo hela ndiyo wanazilupwa Chelsea kama haki ya Matangazo ya TV na ikumbukwe bila ya hizi fedha za haki za matangazo ya TV hizo timu zisingekuwa hapo zilipo kwasababu bila ya TV hizo Fanbase wasingekuwanazo na wangekosa Wadhamini wengine kama NIKE, ADIDAS, PUMA n.k. wanaotoa hela zao kulingana na Fanbase.
Hivyo jenga heshima kwa Washabiki wanaoichangia Timu kupitia Dstv either kulipa wao directly au kupitia Jero zao za Vibanda Umiza.
Pia wanaostream online zile MB zao usidhani kuwa wamehongwa bali wamenunua kustream kwenye Channel ambayo imenunua matangazo, hizo hela walizonunulia Matangazo ndiyo zinarudi kwa Chelsea.
Waombe Radhi washabiki wa Chelsea wanaoichangia Timu yao.
Mama kaongea ukweli lakini watatoka huko utasema kauwa mtu atakavyoshambuliwa. Jana JT kamposti Abrahmovic na kamsifia best president wala hakujali kelele za watu imekuwa shida mtu kusema ukweli kila mtu anataka uwe team Ukraine.
Yote hayo najua lakini kusudi la kuuza timu haiangalii hayo uliyosema kwa sababu sababu kuu ni kuogopa kuwekewa vikwazo na kunyang'anywa timu bila hata senti. Mimi naona halitachukua muda. Kuhusu matajiri kuwa na plan za muda mrefu ni sawa lakini hilo lina uhusiano gani na kununua Chelsea. Wako matajiri pesa zao zimekosa pa kuwekeza ziko benki tu na wengine walikuwa wakivizia fursa kama hizi zitokee na ndani ya muda mfupi wafanye mavituzKuuza timu sio rahisi kama kuuza mtumba soko la karume, wateja wanagombania.
Kuuza/kununua timu yenye thamani kubwa kama THE BLUES ni process ndefu.
Na ikumbukwe wanunuzi ni wachache kulingana na bei tajwa sokoni 7 trillion.
Na uuzaji wa timu umekuja ghafla, matajiri wanaishi katika malengo ya muda mrefu katika uwekezaji wao.
Sasa hii fursa imekuja ghafla sokoni lazima kuwe na michakato mirefu ya kufanya kwenye ununuzi.
Deadline ya kupokea bids ni tareh 15 marchRoman Abramovich alisema itachukua siku ngapi kabla ya kufungua tenda, nimesikia kama siku 5 au 7?
Leo ni siku ya 3
Tunasubiri kwa hamu ili tujue tunakuwa chini ya nani?
Je Boris Johnson na washirika wake wataruhusu hadi muda huo kabla hawajampiga bao Roman?Deadline ya kupokea bids ni tareh 15 march
kuna mmoja pia bwanyenye kutoka uturuki inaonekana likely ndo atainunua Chelsea ....mi binafsi naona Bora huyu Kwanza networth yake NI kubwa kuliko hao kina Todd n wyss Afu pia ... inasemekana wyss sio mpenzi WA mpira Sana ....tuone itakavyokuwa Ila Kwa tetesi inaonekana ana percent kubwa kufinalise dealHawa jamaa (Todd Boehly and Hansjorg Wyss) wako serious na wamedai watatoa dau zuri ili kuimiliki Chelsea na mali zake zote
Inadaiwa pia kuna mshirika wa tatu ambaye bado hajulikani ambaye naye atakuwa na ahsare kwenye huu ununuzi
Wyss took a plane (probably private) yesterday from New York to California to meet with Boehly to finalise paperwork and the finer details of the strategy.