Umemjibu kisayansi sana huyo jingaNyie mtaendelea kushabikia wavunaji mmekaa pembeni mafukara wakubwa nyie
Wenzenu tukibadilishana kubeba makombe nyie mnameza udenda tu
Yaani kuna muda watu wanaongea kama wamekatwa vichwa.Kuna save pia ya penalti kwente FA aliifanya mwishoni dhidi ya Plymouth
Kama unahisi chelsea mbovu lete Arsenali yako.Tulia bwana sabri huo ndiyo ukweli
Siyo mbaya naamini mtafurahi sana.Game ilikua komedi. Two clowns fighting you dont see shit you only see two clowns swaying left to right with no shit in between.
Mmeonewa na VAR? Get used to it, na mshua ndiyo anaondoka inabidi muweke timu sokoni.
Tuchukue mara ngapi mkuu. Acha kujisaulisha.Poleni sana Chelsea
Mlipigana sana ingawa VAR ndiyo iliwasaidia kufika kwenye penati,lile bao la Matip ni bao halali
Mwaka huu hamtapata kombe lolote
Utakua miongoni mwa hao wasiojitambua kama ndiyo upuuzi ulioamua kuniandikiaArse Anal hawajitambui kabisa, mwaka huu hata ligi haijaisha wamenusa top 4 mara moja tu wameona ni mabingwa wa EPL!
Chelsea ni mbovu na Arsenal itakujaKama unahisi chelsea mbovu lete Arsenali yako.
Sasa we jamaa ni unaota saa hiiSiyo mbaya naamini mtafurahi sana.
Kama ilivyo kawaida ya mtanzania afurahii maendeleo ya Mwenzake anamsubir ashuke aanze kumcheka.
Sisi watanzania ni mashabiki tu wa mpira ila hatujui chochote kuhusu mpira. So ushabiki usikutie upofu mkuu. Meanwhile hatuna tunachofaidinacho kutoka club zote wanaofaidi ni wazungu walioajiriwa kwenye vilabu vyao.
Wewe pambana na Arsenal yako Chelsea haikuhusu.
Na mpaka sasa kwa taarifa yako. Chelsee imeshabeba UEFA Super Cup, Club World Cup. Makombe ambayo arsenal haiwezi kubeba baada ya miaka 200 ijayo[emoji3][emoji3]
Halafu hawa livakuku wanaitaga haya makombe ya mbuzi, au Micky mouse cup sio size yaoTuchukue mara ngapi mkuu. Acha kujisaulisha.
UEFA Super Cup tulichukua mwaka gani kama si msimu huu
Club World Cup hata wiki haijaisha.
Pamoja na kuchukua Carabao lakini ninyi bado ni under dog kwa Chelsea. Hamna uwezo wa kumfunga ndani ya dk 90. Uwanjani labda mvizie penalty kama jana basi.
Ndio maneno ya kishabikiUtakua miongoni mwa hao wasiojitambua kama ndiyo upuuzi ulioamua kuniandikia
Nazungumzia goli la lukaku mkuuIssue ya goli la Matip sio la mstari, kwenye build up ya goli VVD alimzuia James asimove akiwa offside. Hii ilkuwa wazi na ndio sheria ya football
Lembu ni kinaboNdio maneno ya kishabiki
Arse = a stupid, irritating, or contemptible person.
Zile maana zingine mbaya zaidi ya hii potezea tu
Kama hutaki hizi lugha tuache tujadili mambo yetu ya kubeba ubingwa wakati ninyi mnajadili kurudi top 4 ambayo nayo sidhani kama mtaweza
Katika siku ambayo umeongea mambo ya maana basi leo umezidisha.Hii kwangu ni best comment kuzidi zote nilizosoma kwakoHONGERENI CHELSEA KWA MECHI BORA KABISA KUWAHI KUTOKEA
- Jana Chelsea walicheza vizuri sana, style ya uchezaji wa Chelsea kwa wasiojua ndio hiyo ya jana
- Kwetu kipa alituokoa, kwa wao Liver washambuliaji wetu ndio waliowaokoa Liver
- Alonso jana alicheza kwa kukaribia uchezaji wa Chilwell alipokuwa kwenye form, alikuwa sharp kwenye kukaba na mbele alikuwa anapeleka mashambulizi vizuri
- Washambuliaji wetu (Havertz, Mount, Pulisic na baadaye Werner na Lukaku) walikuwa na shauku ya kufunga na walijiposition vizuri except hawakuwa clinical enough kwenye kufunga
- Lukaku jana alipoingia alikuwa mobile na ilisaidia mbele kuendelea kuwa threat kwa liverpool
- Chance tulizocreate jana zilikwua nyingi na quality tofauti na za Liver
- Difence yetu iko kwenye ubora wake kama mwaka jana tulipobeba UEFA
- Timu imerudi kwenye ubora wake kama tulivyoanza ligi mechi 10 za mwanzo na kwa ubora huu uhakika wa kubakia kwenye no. 3 upo kwa asilimia 80
- Huko nyuma tulipokuwa tunalalamika na wengine kuanza kutushambulia kuwa sisi ni mamluki tulikuwa tunakosa vionjo kama hivi vya jana
- Mimi binafsi furaha yangu ya jana iko 90%, huzuni ya 10% ni kwa sababu tumepoteza kikombe cha mbuzi kile kwa Liver
Umesikia kauli ya Mourinho aliyotoa leoVAR waliona aibu hata hawa kucheza marudio tena kwenye screen aibu aibu ile ilikua goli halali kabisa, sijui FA inasemaje kuhusu hilo goli
Kabisa nakubaliana na weweKinachomtofautisha Lukaku na hawa washambuliaji wetu wengine ni yuko clinical kwenye kushoot na pia shots zake ni very powerful
Kinachomuangusha Lukaku tofauti na wenzake ni kubaki kuwa static kule mbele badala ya kutengeneza movement za kucreate chances
Kabisa nakubaliana naKinachomtofautisha Lukaku na hawa washambuliaji wetu wengine ni yuko clinical kwenye kushoot na pia shots zake ni very powerful
Kinachomuangusha Lukaku tofauti na wenzake ni kubaki kuwa static kule mbele badala ya kutengeneza movement za kucreate chances
Wametudhuluma kabisa ukichanganya na red ya Keita lembu umesikia kauli ya Mourinho aliyotoa leo?Ukweli usiopingika ni kwamba Lukau alikuwa onside. mstari mwekundu wa beki wa Liver na mstari wa blue ni wa sehemu ya mkono wa Lukaku ambao kisheria unaruhusiwa kucheza mpira
View attachment 2133761