Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mendy yuko kila mahali golini, watafungaje hapo?
1646065728766.png
 
Kepa anawashukuru kwa support yenu kwake
Asema tunaanguka na kuinuka, kazi iendelee

1646066162937.png

1646066050164.png
 
Tumejitoa
tumepigana hadi dakika ya mwisho
lakini hatukupata kabahati ka goli
Toni Rudiger

1646066319631.png
 
VVD asema goli la Matip lafanana na lile la Vareane Man United walipocheza na Southampton kwenye ligi. Magure alimzuia mchezaji wa Southamton kwenye build up akiwa offside. Ila aksema hakuelewa inakuwaje wakati yeye hajashiriki kwenye movement ya hilo goli. Amedai ni eneo ambalo watalifanyia kazi msimu ujao.
Picha chini VVD akimzuia James asicheze huku akiwa offside
Kwa wasiojua kumzuia mchezaji asicheze inaruhusiwa lakini ukiwa kwenye legitimate position. Ukiwa offside hairuhusiwa ni foul na ndicho kilichotokea jana kwa goli la Matip. Hizi shria zimejificha maana hazijitokezi mara kwa mara
1646066690583.png
 
"Chelsea haina hata mchambuzi mmoja wa kuwatetea kwenye media, Wachambuzi wote ni liverpool na Man united,Siku moja nikistaafu nikuwa na umri wa miaka 75 nitakuwa mchambuzi ili niwatetee Chelsea"
Mourinho mwenyewe aliwahi kusema kuna campaign against Chelsea misimu ya nyuma huko.....lkn pia naona supersport kuna kina Jimmy Floyd halsebaink, demba ba ..au alikuwa anazungumzia wachambuzi wq skysports nn?
 
Mourinho ni mtu wa falsafa wewe umeshindwa kumuelewa sio kwamba ajui kuna Wachambuzi ambao ni malegend wa Chelsea anachomaanisha hao Wachambuzi wa chelseafc hawaitetei team yao inavyopaswa tofauti na Wachambuzi wa liver na man u ndio maana anaona hawana tofauti na hao wa liverpool na Man u.Mourinho alitaka kuona malegend wa Chelsea ambao niwachambuzi walitakiwa wapaze sauti zao sana kuhusu mwamuzi alichofanya kwanza kutompa red card Keita na kukataliwa kwa goal la Lukaku
 
Nahisi kuna ule umaarufu
Kitu atakachoongea neville or carragher kitasambaa zaidi kuliko na atakachoongea jimmy flod hasselbaink or joe cole atleaat mtu kama terry or lampard hawa wangeongea kitu kingesambaa zaidi nao ndio hivyo hawajajilkita kwenye uchambuzi wameenda kwenye ukocha
 
Nitajie timu nyingine iliyoweka benchi wachezaji wake wawili mmoja wa 100M na mwingine wa 70M
Hivi game za barce ushawah angalia
Dembel n coutinho wameigharim barce sh ngap, kabla coutinho ajatolewa kwa mkopo .

City Grealish anaanzia bench au ndio kichwa umekaza
 
Nitajie timu nyingine iliyoweka benchi wachezaji wake wawili mmoja wa 100M na mwingine wa 70M
Acha upuuzi wewe bei haina uhusiano na benchi
Grealish aliuzwa bei ghali kuliko Lukaku mara ngapi anawekwa benchi na kipara
Man united wanalazimisha Ronaldo acheze kwa sababu ni main man sasa inawacost, msimu ujao kuna kila dalili ya Man U kuachana na Ronaldo

Benchi wanakaa wachezaji wafuatao
  1. Aliyeshuka form
  2. Ambaye pecking order yake iko chini
  3. Ambaye amechoka na kwa hiyo yuko under rotation
  4. Mgeni akitokea majeruhi kwa ajili anahitaji muda mfupi tu wa kumpa fitness
Unataka maelezo gani tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom