Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Game ilikua komedi. Two clowns fighting you dont see shit you only see two clowns swaying left to right with no shit in between.

Mmeonewa na VAR? Get used to it, na mshua ndiyo anaondoka inabidi muweke timu sokoni.
 
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]Game ilikuwa komedi Ile? Trash from a gooner

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Poleni sana Chelsea
Mlipigana sana ingawa VAR ndiyo iliwasaidia kufika kwenye penati,lile bao la Matip ni bao halali
Mwaka huu hamtapata kombe lolote
Mbona tushapata au kombe lipi unalomaanisha.

Van dijk interfering with play before the ball reached Matip kwa kumzuia james
 
Game ilikua komedi. Two clowns fighting you dont see shit you only see two clowns swaying left to right with no shit in between.

Mmeonewa na VAR? Get used to it, na mshua ndiyo anaondoka inabidi muweke timu sokoni.
Kwamba game ilikuwa comedy aisee mashabiki wa arsenal bhana, ushabiki huwamnaweka mbele

Penda mpira kabla hujapenda tim,
 
Nawashangaa Sana mnaomlalamikia tuchel kumwingiza kepa na hii ni kwasababu tumekosa kombe Ila Kama tungelibeba Basi wote mnaomlalamikia mngekaa kimya

Kepa ni Bora kuliko Mendy kwenye mikwaju ya penalties rejeeni safari ya kuchukua Europa kipindi tunakutana na Frankfurt toka kipindi tunakutana na frankfurt

Njooni kwenye sepercup dhidi ya Villarreal kepa alisave penalties tukachukua ubingwa

Hapo sikumbuki ni dhidi ya timu gani Ila hapa katikati nahisi ni kwenye kombe Holi la karabao au fa kepa ametufanya tushinde mechi mbili mfululizo kwa changamoto za mikwaju ya penalties

Aisee hata Kama kocha ni mimi lazima tu nitampanga kepa kutokana na fom yake ya kuokoa mikwaju ya penalties

Na hata ikitokea tukaingia tena kwenye changamoto ya mikwaju ya penalties Basi Tuchel atakua akimtumia kepa Kama kawaida

Kuna mashabiki maandazi humu walitaka kocha aote..Sasa kwa mfano kocha angemwacha Mendy tukafungwa wangemlaumu na kusema "kwanini asingemuingiza kepa maana yeye yupo vizuri kwenye penalties?"

Wewe unaesema Mpira ni sayansi ulitaka kocha aote kwamba kipa tegemezi wa kuokoa penalties Jana asingedaka penalt yoyote na kuikosesha timu ubingwa ??
Kwenye Carabao match dhidi ya Southampton Keppa alituokoa na mikwaju ya penati.

Watu ni wehu, wameangalia tu match ya jana halafu wanatoa Judgement juu ya sub ya Keppa.
 
Kwenye Carabao match dhidi ya Southampton Keppa alituokoa na mikwaju ya penati.

Watu ni wehu, wameangalia tu match ya jana halafu wanatoa Judgement juu ya sub ya Keppa.
Southhampton carabao
Aston villa carabao
Villareal super cup

Zote hizi Kepa katuokoa kwenye penalt, Haters ndio wanaongea
 
Poleni sana Chelsea
Mlipigana sana ingawa VAR ndiyo iliwasaidia kufika kwenye penati,lile bao la Matip ni bao halali
Mwaka huu hamtapata kombe lolote
Wewe hujui sheria za football JUST SHUTUP itapendeza zaidi
 
Kwamba game ilikuwa comedy aisee mashabiki wa arsenal bhana, ushabiki huwamnaweka mbele

Penda mpira kabla hujapenda tim,
Ulianza kupenda mpira mwaka gani hadi ukaipenda chelsea hiyo 2009?
 
Hii mechi ya Fainali mpango mzima ni sisi kwenda kwenye mikwaju ya penati, Keppa akatutoe kimasomaso.

Liverkuku wako bora kila mahali zaidi yetu, tukicheza kama wao wanavyotaka tutaumia.

Twendeni na ulinzi shirikishi, tufunge njia zote, nafasi zote.

------------- PULISIC ------ HARVTEZ --------------

ALONSO - KANTE - JOG - KOVACIC - AZIP

---- RUDGER --- SILVA --- CHRISTENSEN ---
Naona Keppa kawatoa kimasomaso.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom