lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,717
- 25,961
Hii ndio tofauti ya Chelsea na Arsenal, Chelsea inaweza nunua mchezaji wa ghali na sipoperform anakaa benchi kama KEPA nkHivi game za barce ushawah angalia
Dembel n coutinho wameigharim barce sh ngap, kabla coutinho ajatolewa kwa mkopo .
City Grealish anaanzia bench au ndio kichwa umekaza