Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Urusi imeanzisha mashambulizi dhidi ya Ukraine
Miji minne hadi sasa imeshambuliwa kwa mabomu hasa maeneo ya kijeshi
Majeshi ya NATO nayo yanajiimarisha kwa kile kinachitwa kujilinda
Je mashambulizi haya yatakuwa na madhara gani kwa Chelsea?
Urusi imeshaanza kuwekewa vikwazo kuzia katika mabenki inayohusiana na Urusi. Kuwawekea vikwazo matycoon wa Kirusi NK
Nchi zilizanza kutangaza hivyo vikwazo ni Marekani, Uingereza, Kanada, Ujerumani, Australia, Japan

Je Chelsea yetu itapona kweli?

Maelezo ya vikwazo kama ilivyoripotiwa na Aljazeera
The United States, the European Union, Britain, Australia, Canada and Japan announced plans to target banks and wealthy individuals while Germany halted a major gas pipeline project from Russia in one of the worst security crises in Europe in decades.

Waliolengwa (Taasisi za fedha na tycoons wa karibu na Putin)

Matajiri

  1. Gennady Timchenko
  2. Igor Rotenberg
  3. Boris Rotenberg
Babenki
  1. Rossiya i
  2. Black Sea Bank
  3. General Bank
  4. Promsvyazbank
 
Hii mechi ya Fainali mpango mzima ni sisi kwenda kwenye mikwaju ya penati, Keppa akatutoe kimasomaso.

Liverkuku wako bora kila mahali zaidi yetu, tukicheza kama wao wanavyotaka tutaumia.

Twendeni na ulinzi shirikishi, tufunge njia zote, nafasi zote.

------------- PULISIC ------ HARVTEZ --------------

ALONSO - KANTE - JOG - KOVACIC - AZIP

---- RUDGER --- SILVA --- CHRISTENSEN ---
Hii formation ilishafeli kwenye match kubwa.

Litakuwa ni jambo la ajabu kuendelea kuitumia.
 
Chief James alivyokula umeme vs Liverkuku, KOVACIC aliingia SUB kipindi cha pili tukacheza na viungo wote 3 basi la kufa mtu, ile mechi ikaisha draw.

Hao viungo wakicheza kwa pamoja style ya kufunguka inakuwa disaster ila wakicheza style ya kupaki basi hiyo combination inakuwa moto. Kumbuka mechi na Madrid UEFA
Match ya kwanza ya City... Uliiangalia?
 
Lukaku anaweza pangwa kupambana na Vidgk msuli kwa msuli.

Kai anaweza vunjwa mguu na Vidgk. Joke
Kai kacheza dhidi ya Ramos na akamvurugavuruga ile mbaya mpira sio nguvu ni akili angalia mfano Lukaku dhidi ya kina Bonuci na chiellin kwenye game ya kwanza walimkaba Sana na alishindwa kufurukuta kwasababu hao defenders Wana enjoy physical battle angalia game ya pili ambapo Lukaku hakucheza kina james, Benchilwell,odoi na kai walivyowavuruga kisawasawa mpaka tukashinda 4 goals
 
Kai kacheza dhidi ya Ramos na akamvurugavuruga ile mbaya mpira sio nguvu ni akili angalia mfano Lukaku dhidi ya kina Bonuci na chiellin kwenye game ya kwanza walimkaba Sana na alishindwa kufurukuta kwasababu hao defenders Wana enjoy physical battle angalia game ya pili ambapo Lukaku hakucheza kina james, Benchilwell,odoi na kai walivyowavuruga kisawasawa mpaka tukashinda 4 goals
Mechi ya pili na Juve Kai hakucheza wala benchi hakukaa
 
Hapo Kwa Alonso n lawama ...Reece James km angekuwa fit zaidi kuanza angeanza upande WA kulia Afu cezar anakaa huo upande WA kushoto....Labda TT aamue kumrush Reece. Aliyetoka kwenye injury..vinginevyo hapo Kwa Alonso nikuangalia game ya final huku umebana mbupu
Tena una bana na Spana ile yenye kutu
 
baadhi ya viongozi uingereza wanataka mali zinazomilikiwa na abrahamovic zishikiliwe na serikali ikiwemo na timu ya chelsea
 
Roman Abramovich alikataa £2bn kutoka kwa bilionea wa kiingereza (Sir Jim Ratcliffe) sasa anajuta, zinaweza zikapotea zote
 
Hili lifanyike haraka sana
Screenshot_20220224-203057_1.jpg
 
Game ambazo huwa tunaingia kama underdog ndizo huwa tunashow mpira wa maana na tunapata matokeo mazuri. Hapa ndio unaoiona akili kubwa ya Tuchel.

Bila wasiwasi na bila kupepesa macho naona tunaenda kuongeza kombe lingine kabla hatujaingia rasmi kwenye migogoro ya kisiasa.

Homework aliyonayo TT ni kwa namna gani atawazuia fullback wa Liver. Kama atafanikiwa hapo tu jogoo kaisha ndani ya dkk 90'
 
Being siezed aimanishe kwamba club aiwezi kuendelea itaendelea kwa pesa inao tegeneza yenyewe paka pale mzozo utakapo isha, wanao faidika na Chelsea ni waingereza na FA kuna ma share holder ambao ni waingereza wanamiliki 49% kwahiyo sio rahisi kihivyo
Huu mzozo hautaisha kesho wala keshokutwa. Urusi kuipiga Ukraine tayari imeshaingia kwenye mzozo na nchi rafiki na Ukraine na NATO kwa ujumla including US. Madhara yake yanaweza kuwa mabaya kwa Chelsea kwa sababu wakisieze baadaye wanaweza weka kwa mmiliki mwingine, kama hana mapenzi na maendeleo ya Chelsea ndio kuishinei
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom