Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahahahaha ......... nacheka sana watu mlivyomgeuka Lukaku, wakati anataka kununuliwa tupo wawili humu tulikua tunamkataa kwamba tutapgwa ila watu walikua wabishi. Muda ndio umeongea.
Halafu pia Lukaku sio mbovu hivyoooo. pale chelsea hata akija Halland bado ataonekana mzigo.na pia hata aje mchezaji mithili y Fab bado kuna tatizo. Naanza kupata mashaka na ufundishaji wa TT.
Shida haiko kwa TT
 
TT sjui amekuaje. I know he is better than what he is currently doing. Asipoangalia hii mambo ya kujaribu kum fit Lukaka itam cost kazi
You never know kwanini anajaribu kumfiti....

Sababu alishamuweka sana Benchi akawa anaingia Sub unakumbuka.
 
Fans wa Simba jamani Simba anapambana huko Nigeria
Goli ni 1-1 dk ya 90+3
Morison kaisawizishia Simba na sasa wanaongoza group baada ya RSB kufungwa 3-1 na vibonde wa Simba ASEC
 
Ili tufanikiwe kwenye ligi msim ujao, tim imsikilize tuchel mchezaj yupi anamtaka na yupi hamtaki na auzwe

Tim yetu now imejaa wachezaj wa makocha watatu tofauti(Conte/Sarri/Lampard) na hapa kila kocha alikuwa na system yake iloyosuit wachezaj wake

Pep na Klop wote hawa waliwatoa wachezaj waliowakuta na kuweka wachezaj wao

Pep alikuta tim imejaa wakina, kompany,yaya toure,silva,fernandinho,joe hart,aguero,silva ila akawapunguza wote na wakabakia wanne tu (david silva,fernandinho,kompany na aguero) tena hawa wakawa sio wachezaj wa uhakika kwenye first eleven, then akaanza kusajil wachezaj wake watakaondana na mfumo wake, same to Klopp

Sasa huku kwtu ni tofauti wachezaj wengi ambao hawafit kwenye mifumo ya kocha kila kocha akijaribu mfumo flani unakuta unamfavour mchezaj flan kwa mfano sasa hivi tunavyocheza unakuta huu mfumo unamfavour ziyech ila akirudi kwenye back 3 ziyech anaonekana ni takataka.

Siku tukicheza na kai kama false no 9 unaona kabisa tunacreate nafasi same akiwa werner, ila tukiwa na lukaku tunastruggle

Uongoz umpe tuchel wachezaj anaowahitaj watakaoendana na vision yake na mifumo atakayokuwa anatumia.

Vinginevyo tutaendelea fukuza makocha kila kocha atakaa mwaka mmoja anashinda kikombe chochote msim unaofata cycle inajirudia wakat huo city n liverpool wakizidi kutanua gap kati yao na sisi.
 
Roman Abramovich is considering bringing former Barcelona technical director Ramon Planes to the club to help with the Blues' sporting project, according to reports.

Several top clubs in Europe are 'probing' Planes according to Sport in Spain, via Sport Witness, with several 'offers on the table' already for the 54-year-old.

Planes left his role at Barcelona in November 2021 after requesting to depart following two years at the club.

Since being out of work, Planes has been linked with many clubs including in La Liga, but it's claimed that it is 'almost certain' he won't return to another club in Spain in his next role.

Abramovich, who was in attendance for Chelsea's Club World Cup final win over Palmeiras on Saturday in Abu Dhabi, is looking to improve the club's sporting project and is thinking of bringing Planes to Stamford Bridge.

Chelsea have already met with Planes for discussions, as per reports, as have another unnamed English club.

Abramovich currently leans on Marina Granovskaia, Chelsea's director, as his right-hand woman to run the day-to-day show at Stamford Bridge.

His choice has paid off with Granovskaia becoming one of the most respected names in the boardroom in world football.

Planes has been labelled as instrumental in 'discovering' young talents like Gavi, Pedri and Ronald Araujo.
Aje mapema bhana ili next season tuwe imara zaidi tuchukue epl
 
Hahahahaha ......... nacheka sana watu mlivyomgeuka Lukaku, wakati anataka kununuliwa tupo wawili humu tulikua tunamkataa kwamba tutapgwa ila watu walikua wabishi. Muda ndio umeongea.
Halafu pia Lukaku sio mbovu hivyoooo. pale chelsea hata akija Halland bado ataonekana mzigo.na pia hata aje mchezaji mithili y Fab bado kuna tatizo. Naanza kupata mashaka na ufundishaji wa TT.
Kwan Ufundishaji wake upoje ?
 
Mimi niliwambia tumchukue ata Ivan Toney badala ya hilo kubwa jinga mkazingua
 
Tunaweza kuwa tunamlalamikia lukaku ila kuna wakat wachezaj wetu nao unakuta hawampi mipira, kuna mda kabisa unaweza ona lukaku akinyoosha mkono ili apate mpira ila cha ajabu utakuta huo mpira unapigwa back pass or unapelekwa pembeni.

Tunajaribu kumpa pale anapokuwa ashazungukw ila akiwa yuko na bek mmoja unakuta hapati,

Hatuna mid aina ya kina lampard or fab mwenyejicho la kumuona striker amekaa wapi

Kwa wachezaj tulionao hata drogba or costa nao wangestruggle kufunga
 
Ni mara ngapi anapewa cha ajabu anashidwa ata kutuliza mpira wenyewe. Mle hamna mchezaji ni mwili tu amejaza, straka gani anapokea mpira huku kamlalia beki tena goli kalipa mgongo. Yule jamaa anakera sana

Tuliwaambia chelsea mmesajili furushi lile ila hamkutaka kusikia
 
Tunaweza kuwa tunamlalamikia lukaku ila kuna wakat wachezaj wetu nao unakuta hawampi mipira, kuna mda kabisa unaweza ona lukaku akinyoosha mkono ili apate mpira ila cha ajabu utakuta huo mpira unapigwa back pass or unapelekwa pembeni.

Tunajaribu kumpa pale anapokuwa ashazungukw ila akiwa yuko na bek mmoja unakuta hapati,

Hatuna mid aina ya kina lampard or fab mwenyejicho la kumuona striker amekaa wapi

Kwa wachezaj tulionao hata drogba or costa nao wangestruggle kufunga
Mkuuu lukaku wala si wa kumtetea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom