Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tunaweza kuwa tunamlalamikia lukaku ila kuna wakat wachezaj wetu nao unakuta hawampi mipira, kuna mda kabisa unaweza ona lukaku akinyoosha mkono ili apate mpira ila cha ajabu utakuta huo mpira unapigwa back pass or unapelekwa pembeni.

Tunajaribu kumpa pale anapokuwa ashazungukw ila akiwa yuko na bek mmoja unakuta hapati,

Hatuna mid aina ya kina lampard or fab mwenyejicho la kumuona striker amekaa wapi

Kwa wachezaj tulionao hata drogba or costa nao wangestruggle kufunga
Lukaku ana mchango kwenye ukame wake wa magoli ila kwa asilimia kubwa hatuna wapishi wabunifu kwenye kiungo na kwenye wing-backs au winga ukiwaondoa Chilwell na James ambao wako majeruhi. Kante role yake kubwa kwenye kiungo ni kufanya recoveries na interceptions ambazo msimu huu zimepungua sana. Tulikuwa na Mason Mount ila siku hizi kapoa, kova na jorgi wanacheza mipira ila sioni wakiwa wabunifu wa kujenga mashambulizi ya goli au kuassists. Havertz, Pulisic, Werner ni washambuliaji. Lukaku yeye ni natural no. 9 wa kusubiri apikiwe. It is a puzzle that need TT and the scouting team to resolve
 
Kuna shida mbili zinazomzunguka LUKAKU
1) Lukaku anakuwa static, kandanda la sasa hivi linamuhitaji kila mchezaji awe na movement za kimkakati kwenye space ili apewe mpira, akiwa static wenzake inakuwa ngumu kumpasia mpira. Game na Aston Vila mwezi wa 12 alikuwa na movement nzuri na alibadilisha kule mbele.
2) Tatizo lingine wachezaji wa Chelsea hawajui kuwachezesha forwards akiwemo Lukaku. Back and sideways passes ndizo zinazoharibu game. Unakuta mshambuliaji (Mara nyingi imetokea kwa Lukaku, Havertz hata Pulisic) kajiweka vizuri kule mbele mara pu jamaa anapokea pasi mara mpira huo umerudishwa kwa Rudiger naye anaupoza kwa maringi huku akimtafuta Silva. Mount alikuwa akijitahidi kuwaona washambuliaji ila naye sasa kapoa. Tusajili tu wachezaji wenye kujua nini maana ya kuwapatia mipira mizuri washambuliaji.
Haya makosa mawili ni ya kocha, kocha ampush Lukaku awe an movement na wenzake wajue kupeleka mipira mbele, Ziyech anajitahidi wengine hakuna kitu. Hizi shida zinawazunguka pia washambuliaji wengine wa Chelsea. Hakuna movement za maana kule mbele
 
Line up ya leo
3-4-3

Werner -----------Havertz-------------------Ziyech

Alonso---------Kovacic---------Jorginho--------Azpilicueta

Rudiger --------Silva --------------Christasen

Mendy
 
Sio lukaku akibadilika style yake ya uchezaj,
Kingine wachezaj wetu hawataki kutake risk ndio maana unaona back n sideways pass hichi nacho kinatuathiri

Maana kuna chance unaweza ona mtu anaweza shoot or kupiga penetration pass unakuta anaogopa hapo atapiga sideways pass

Naona shida ni wachezaj tulionao, tunaweza kuwa na kikos kipana ila quality ndio shida

Kikos tulichonacho kinahitaj overhaul ya kutosha na kuleta wachezaj ambao wanaoendana na mfumo wa kocha,

Tim tuliyonayo inaweza shinda vikombe(fa/carabao/ucl/uel) ila haiwez shinda epl haina uwezo wakucheza game 7-10 inashinda

Liverpool n City wanaweza cheza 10+ game wanashinda tu ila sisi hatuwezi.
 
Lukaku hawezi badili style yake, na mimi sioni ubaya kwenye style ya uchezaji wa Lukaku. Tatizo lake ni kusimama kama nguzo kule mbele. Ajiongeze, anaona hapo hapenei awe anamove ili kucreate chances, yeye asipofunga wengine watafunga. Nafasi zinatengenezwa kwa movement. Ukisimama kama nguzo hakuna nafasi unatengeneza. Ziko game anakuwa mobile ila ziko game tena nyingi hasogei kaganda tu apelekewe mpira alipo. Kama uliwaangalia Palace walipress sana game ya juzi tofauti na game za huko nyuma na ndio maana Chelsea ilikuwa ikinyang'anywa mipira mara nyingi
 
Here we go
Screenshot_20220222-153558_Twitter.jpg
 
Angekuja huyu tungecheza hivi...

Winga ya Kushoto Hazard, Winga ya kulia Ziyench

Mbele anasimama Striker mmoja, Nyumba yake Kai Havertz

Kati viungo wawili

Nyumba beki wanne.

Hapo hakuna Kenge itatamani kukutana na Chelsea.
Hazard wa Leo siyo yule wa Chelsea. I love the man ila kwasas ni injured prone
 
Kila timu au group ina motivation factors tofauti inayomfanya mchezaji acheze vizuri au vibaya. Unaweza kuta Hazard kashindwa kucheza kwa sababu ya mazingira ya Barnabeu na Laliga. Akirudi huku usishangae yule Hazard wetu akafufuka
 
Sio lukaku akibadilika style yake ya uchezaj,
Kingine wachezaj wetu hawataki kutake risk ndio maana unaona back n sideways pass hichi nacho kinatuathiri

Maana kuna chance unaweza ona mtu anaweza shoot or kupiga penetration pass unakuta anaogopa hapo atapiga sideways pass

Naona shida ni wachezaj tulionao, tunaweza kuwa na kikos kipana ila quality ndio shida

Kikos tulichonacho kinahitaj overhaul ya kutosha na kuleta wachezaj ambao wanaoendana na mfumo wa kocha,

Tim tuliyonayo inaweza shinda vikombe(fa/carabao/ucl/uel) ila haiwez shinda epl haina uwezo wakucheza game 7-10 inashinda

Liverpool n City wanaweza cheza 10+ game wanashinda tu ila sisi hatuwezi.
Hili jambo ndio huwa linanikasirisha sanaa. Wachezaji hawawezi kupga penetration pass, silva zamani ndio kidogo alikua anajitahid nae siku hiz nae kawa boya.

Halafu tatizo linaweza likawa kwnye link up y bek na viungo,wakati mabek wakiwa na mipira viungo hawafungui nafasi ili kupewa mipira, bek anaishia kurudisha kw kipa au kutoa sideways pass. Kwa hali hii mipira itakua inafika mbele mara chache sana, ndio mana lawama kwa mafoward hazitokaa zikaisha. Huyu Lukaku tunmchukulia poa ila mpeleke pale City ndio tutajua tatizo kubwa lipo kwetu.

Ukiangalia game za man city au liva mtanielewa. Beki ikiwa na mpira wachezaji wengine wanahangaika kukimbilia kwnye gapes tayar kw kupokea mpira, inakua rahis kw mwnye mpira kuwa na options nyingi za kutoa pasi. Chelsea hicho kitu hakipo, ndio mana tunapata shida sana kupata matokeo kwenye timu inayopak basi.
 
Wachezaj waliokuwa wanafanya mikimbio ni chilwell,Havertz n Werner n james ila kwa sasa hamna kitu,

Kwa kifupi hatutake risk yani tunacheza safe tu, wachezaj wanaogopa kufanya maamuzi ya hatari
 
Line up ya leo
3-4-3

Werner -----------Havertz-------------------Ziyech

Alonso---------Kovacic---------Jorginho--------Azpilicueta

Rudiger --------Silva --------------Christasen

Mendy
Lukaku hachezi leo?
 
Line up ya leo
3-4-3

Werner -----------Havertz-------------------Ziyech

Alonso---------Kovacic---------Jorginho--------Azpilicueta

Rudiger --------Silva --------------Christasen

Mendy
Tuchel angejaribu hiv mbele
Havertz Lukaku
Werner Ziyech
 
Confirmed Line up ya leo
3-4-3

Pulisic -----------Havertz-------------------Ziyech

Alonso---------Kovacic---------Kante-------Azpilicueta

Rudiger --------Silva --------------Christasen

Mendy​
 
Nimependa kikosi Cha leo Pulisic kawekwa kwenye nafasi yake sahihi Lukaku kukaa benchi safi Sana Leo ndio tutashuhudia soka tamu la chelseafc kama wachezaji watakuwa kwenye ubora wao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom