42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,874
Acha tuone ila Kane ana kinyongo.Na levy alisema Kane bado ana mkataba aliousign juzi atautumikia wote ndio aondoke. Hata akiamua kukaa benchi.
Acha tuone ila Kane ana kinyongo.Na levy alisema Kane bado ana mkataba aliousign juzi atautumikia wote ndio aondoke. Hata akiamua kukaa benchi.
walikuwa na agreement kwamba Kane angeuzwa msimu huu. Lakini ndio Levy alimgeuka.Swali linabaki kwanini KANE alisign mkataba mpya kama alikuwa anataka kuondoka spurs?
Harry Kane signed a 6 year / £62,400,000 contract with the Tottenham Hotspur F.C., including an annual average salary of £10,400,000. In 2021, Kane will earn a base salary of £10,400,000, while carrying a cap hit of £10,400,000.
bure hapana aisee.
Thamani ya Lukaku sokoni kwa sasa sio chini £85M.
Marina ni mwepesi sana kuuza wachezaji watakaoleta faida sokoni, kuliko apate hasara yuko tayari kumtoa mchezaji kwa mkopo labda thamani yake itapanda tena.
Batshuayi mkataba wake ulikuwa umeisha, Marina alimuongeza mwaka 1 then mkopo kuendelea kuitafuta faida ya kumuuza.
Keppa alivyokuwa anavurunda balaa na baada ya Mendy kutua, Sevilla walileta 60M kwa Keppa, Marina akaipiga chini anataka ile £80M tuliyomnunua.
Hivyo hivyo anawakumbatia wakina Barkely, Drink water. Amewaachia wakina Bakayoko, Zappacosta baada ya makubaliano ya faida loan with an option to buy.
Lukaku kuuzwa kwa hasara tusahau under Marina administration. Atamaliza mkataba wake Stanford Bridge
Swali linabaki kwanini KANE alisign mkataba mpya kama alikuwa anataka kuondoka spurs?

Hii assist imepimwa kweliZiyech GoalView attachment 2124192
Nasikia bosi ndo alipush mchongo....TT machaguo yake kabisa yalikuwa chaguo la 1 halaand ikashindikana la 2 lewandowski ikawa ngumu na ya tatu ilikuwa dusan vlahovic ...Ila inter walivyomuweka lukaku sokoni kutokana na changamoto z uchumi ndo wakapush dealHapa Marina aliingia cha kike haswa ingawa yeye ni mwanamke pia.
Kwa data hizi sijui kama anaweza kuuzika kwa sh ngapi.
Kane atauzwa msimu huu wa kiangazi tena watakaomnunua ni kipara, jinsi alivyowanyanyasa Manshit jana lazima watamfuatiliaKANE auzwe? Levy hajachanganyikiwa kiasi hicho cha kumuuza Kane. Conte anaweza kufukuzwa Kane akabaki
Huo mkataba umenaki miaka miwili tu, utaisha msimu wa kiangazi 2024. Kwa mchezaji kama Kane huu ndio msimu wake wa kumboreshea mkataba au kumuuza kwa faida hasa ukichukulia pia umri wake wa miaka 28 sio rafiki kwake na kwa timuSwali linabaki kwanini KANE alisign mkataba mpya kama alikuwa anataka kuondoka spurs?
Harry Kane signed a 6 year / £62,400,000 contract with the Tottenham Hotspur F.C., including an annual average salary of £10,400,000. In 2021, Kane will earn a base salary of £10,400,000, while carrying a cap hit of £10,400,000.
Hahahahaha ......... nacheka sana watu mlivyomgeuka Lukaku, wakati anataka kununuliwa tupo wawili humu tulikua tunamkataa kwamba tutapgwa ila watu walikua wabishi. Muda ndio umeongea.Watubadilishie tuwape Lukaku
Hilo zigo mtaliuza kwa hasara kubwaWatubadilishie tuwape Lukaku
Msim uliopita with werner tulikuwa na uwezo wa kucreat nafas zaidi ya 3 kwa kila mech ila shida ilikuwa kwenye kufunga,Hahahahaha ......... nacheka sana watu mlivyomgeuka Lukaku, wakati anataka kununuliwa tupo wawili humu tulikua tunamkataa kwamba tutapgwa ila watu walikua wabishi. Muda ndio umeongea.
Halafu pia Lukaku sio mbovu hivyoooo. pale chelsea hata akija Halland bado ataonekana mzigo.na pia hata aje mchezaji mithili y Fab bado kuna tatizo. Naanza kupata mashaka na ufundishaji wa TT.
Mchezaji yeyote anageukwa na atageukwa akicheza vibayaHahahahaha ......... nacheka sana watu mlivyomgeuka Lukaku, wakati anataka kununuliwa tupo wawili humu tulikua tunamkataa kwamba tutapgwa ila watu walikua wabishi. Muda ndio umeongea.
Halafu pia Lukaku sio mbovu hivyoooo. pale chelsea hata akija Halland bado ataonekana mzigo.na pia hata aje mchezaji mithili y Fab bado kuna tatizo. Naanza kupata mashaka na ufundishaji wa TT.
Lukaku ni mzingo kwenye timuNjia pekee ya kumfunga city ni no 9 wako kuwa na uwezo wa kushuka chini nakuchukua mpiria na hii hufungua na fasi kwa wengine
Msim uliopita tulimfunga city coz ya werner,kai,mount,
Werner alikuwa hakai kama target man,bal alikuwa anazunguka pote,
Ila kwa sasa target man hatuwez shinda against city kwa sabab mtu wetu hawez shuka chin akaomba mipira zaidi ya yeye kusubir, n hawez zunguka pale mbele pote,
Nafikiri aaamue ampige chini au amkumbatie kibarua kiote ndotoTT sjui amekuaje. I know he is better than what he is currently doing. Asipoangalia hii mambo ya kujaribu kum fit Lukaka itam cost kazi
Daahh, Boss aliingia cha kike hapaNasikia bosi ndo alipush mchongo....TT machaguo yake kabisa yalikuwa chaguo la 1 halaand ikashindikana la 2 lewandowski ikawa ngumu na ya tatu ilikuwa dusan vlahovic ...Ila inter walivyomuweka lukaku sokoni kutokana na changamoto z uchumi ndo wakapush deal
Mendy alisajiliwa summer ,Keppa alivyovurunda alipigwa benchi na £80M yake.
Iweje Lukaku akumbatiwe?
Usajili ni Gambling hata kama ni wa pesa nyingi, atawekwa benchi kiaina, anaweza hata akawekewa Broja hapo yeye akasugua benchi mpaka arudi tena kupiga magoti Inter. Na inter sidhani kama watamtaka hata bure. Bosi wao alishasema Dzeko na Lukaku wako sawaMendy alisajiliwa summer ,
Kepa aliendelea kucheza mpka pale msim ulipoisha na mendy kusajiliwa
Kwa lukaku unahisi unaweza muweka bench mchezaj wa 100m kwa tim kama chelsea, ambayo wachezaj wana power kuliko kocha
Lukaku angefanya vile kwa pep ndio ilikuwa mwisho wake kucheza, hata kwa arteta asingecheza ila kwtu kumpiga bech mchezaj aliyenunuliwa kwa gharama kubwa kocha siku zote huwa anapay the price
Torres kwa ancellot
Shevchenko kwa mourinho