Itakuwa bomba sana tajiri akifanya ivyoKuna ripoti zinazodai Abramovich anapanga kumuajiri Sporting Director. Chelsea imekuwa ikijiendesha bila Sporting Director tangu 2017
Kama taarifa ni za kweli na kama umakini utatumika kumuajiri huyo gwiji wa usajili basi Chelsea itakuwa Hatari sana
Roman Abramovich is considering bringing former Barcelona technical director Ramon Planes to the club to help with the Blues' sporting project, according to reports.Itakuwa bomba sana tajiri akifanya ivyo
Sijui lakin naona timu za UEFA wana kasi ya hatarii, kama hii bayern ni hatari. Tunamshindwa man city huyu bayern tukikutana nae tutakula nyingi.The Blues uchezaji wetu wa konokono kwenye UEFA hauna shida, mechi za mtoano huwa ni tamu kwetu, TT anapanga mbinu zake vizuri, mechi ya kwanza tunashinda goli 1, marudiano bila bila tumevuka.
Huu uchezaji wa slow kwenye EPL ndio haufai kabisa tunadondosha points kirahisi sana.
Tunaposhambulia slow wapinzani wetu huwa wanapaki bus, zinafuata back pass Milioni 1, Kupata draw au kufungwa inakuwa rahisi kuliko kushinda mechi.
EPL mbio ndefu unapodosha points nyingi sahau ubingwa.
Kwamba Chelsea ni kama yanga?..Unasafari ndefu na wewe mwenyeweNipo naangalia mechi ya salzburg na bayern, chelsea tunasafari ndefu sana kuweza kutetea ubingwa, Tatizo la chelsea wanafanya build up slow sana kama konokono mpaka magepu yote yanafungwa. Kwa hili tukikutana na city au liva tutakua tunapgwa tu kila siku.
Hizo nyingi zinapitia wap? Hiyo kasi unayoiona ni kulingana na mifumo unayokutana nayo kutoka kwa mpinzani,Sijui lakin naona timu za UEFA wana kasi ya hatarii, kama hii bayern ni hatari. Tunamshindwa man city huyu bayern tukikutana nae tutakula nyingi.
Uchezaji wa chelsea unaboa sana.
Ushabiki usikufunge macho kuona.Kwamba Chelsea ni kama yanga?..Unasafari ndefu na wewe mwenyewe
Game za mtoano huwa hazihitaji mambo mengi, ni mbinu tuSijui lakin naona timu za UEFA wana kasi ya hatarii, kama hii bayern ni hatari. Tunamshindwa man city huyu bayern tukikutana nae tutakula nyingi.
Uchezaji wa chelsea unaboa sana.
Bora hata acheze Kennedy kuliko alonsoThe Blues vs Palace
------ HARVETZ ---- LUKAKU ---- ZIYECH -----
ODOI ---- KANTE ------ KOVACIC ---------- AZIP
----- RUDGER --- SILVA --- CHRISTENSEN-----
Kwa kikosi hiki sioni Palace watatokea wapi, Odoi anavuta pembeni, Kai anaingia ndani ya box kuungana na Lukaku kushambulia
Ziyech anatuma yale makombora yake ya masafa marefu, Kai mzuri kwenye kupiga vichwa.
Kai mzuri kwenye penetration pass, Lukaku anaweza kuzimalizia nyavuni.
Kante & Kovacic lazima wote waanze kucontrol dimba la katikati, na Kante ksaidia pia Odoi kukaba, Odoi ambaye atakuwa na jukumu la kushambulia zaidi.
Leo ushindi muhimu.
Kumpanga Alonso &Jognho ni kutafuta DRAW, ball position laki 3 na back pass milioni 1.
Pulisic kaifunga Crystal Palace goli 5The Blues vs Palace
------ HARVETZ ---- LUKAKU ---- ZIYECH -----
ODOI ---- KANTE ------ KOVACIC ---------- AZIP
----- RUDGER --- SILVA --- CHRISTENSEN-----
Kwa kikosi hiki sioni Palace watatokea wapi, Odoi anavuta pembeni, Kai anaingia ndani ya box kuungana na Lukaku kushambulia
Ziyech anatuma yale makombora yake ya masafa marefu, Kai mzuri kwenye kupiga vichwa.
Kai mzuri kwenye penetration pass, Lukaku anaweza kuzimalizia nyavuni.
Kante & Kovacic lazima wote waanze kucontrol dimba la katikati, na Kante kumsaidia pia Odoi kukaba, Odoi ambaye atakuwa na jukumu la kushambulia zaidi.
Leo ushindi muhimu.
Kumpanga Alonso &Jognho ni kutafuta DRAW, ball position laki 3 na back pass milioni 1.