Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hiv Tottenham anamuwezeaje Pep kwa jinsi unavyoona kampiga nje ndani
City mwepesi tu ndio mana ole sabaya alikua anajipgia tu kila siku, wale wakimbize tu basiii. Hata liva kw uchezaji wake ni rahisi sana kumpga city ila kw uchezaji wa chelsea wa Rudger kupewa mpira na kutuliza then akae nao amesimama dk.5 then ampasie beki mwenzie nae atulie nao dk.5 then arudishe kw kipa,sioni tukimfunga city.
 
Hamna mchezaji mle, lile ni takataka. Sijui mnalipendea nn lile zigo, mm ndio mtu wa kwanza kupinga usajili wake
Sijui anakwama wapi, yaani kashindwa kutafuta/kukaba apate mpira.

Hata kushuka kwenye eneo la Midfielder ili akabe kashindwa
 
Kwa sasa naona tutacheza bila presha, huku presha ikiwa kwa Man shit na wale kuku broila. Tuna mchezo mmoja mkononi tukishida zinabaki pointi 10 ili kumpata kinara. Nimeangalia fixture ya game zetu tutikaza tutarudi kwenye mbio za ubingwa
 
Kikubwa hapa tufocus kwenye top 4, mengine yatajileta.
 
Kwa soka la sasa EPL striker aina ya Lukaku kusubiri pass moja ya mwisho ili afunge ni wastage of time.

Hapo lazima Lukaku uguse mpira mara chache. Hii aina yake ya ushambualiaji kwa EPL ya sasa haina nafasi tena labda huko Italy.

Mastriker wa EPL wanapambana, wanashuka chini kuchukua mpira, wanachezesha washambuliaji wengine na wanapopata nafasi yao ya msingi wanafunga haswa.

Lukaku kusimama pale mbele kama sanamu kusubiria pass ya mwisho ni kucheza pungufu.

Ukimuangalia Kane anavyocheza pale Spurs under Conte sidhani kama Conte atamtaka mchezaji aina ya Lukaku pale spurs. Kane anafanya mambo mengi sana (full package) zaidi ya Lukaku.

Aisee Newcastle walete pesa tuwauzie Lukaku.

WERNER anafanya mambo mengi sana zaidi ya Lukaku, ila ndio hivyo upepo umemkalia vibaya.

Werner angekuwa kwenye ule ubora wake wa bundasliga kwa nafasi nyingi zinazotengnezwa the blues ungekuta anaongoza kwa ufungaji EPL
Huyu sijui atauzika kwa sh ngapi, hata Newcastle nao sizani kama wanaweza kumuwazia
 
Huyo Lukaku tuwape ata bure tu, tuhesabu kuwa tumekula hasara. Aisee Kane ni hatari sana, jana nimetizama uchezaji wake uko good sana ile combination yao na Son ni hatari sana
Kwa soka la sasa EPL striker aina ya Lukaku kusubiri pass moja ya mwisho ili afunge ni wastage of time.

Hapo lazima Lukaku uguse mpira mara chache. Hii aina yake ya ushambualiaji kwa EPL ya sasa haina nafasi tena labda huko Italy.

Mastriker wa EPL wanapambana, wanashuka chini kuchukua mpira, wanachezesha washambuliaji wengine na wanapopata nafasi yao ya msingi wanafunga haswa.

Lukaku kusimama pale mbele kama sanamu kusubiria pass ya mwisho ni kucheza pungufu.

Ukimuangalia Kane anavyocheza pale Spurs under Conte sidhani kama Conte atamtaka mchezaji aina ya Lukaku pale spurs. Kane anafanya mambo mengi sana (full package) zaidi ya Lukaku.

Aisee Newcastle walete pesa tuwauzie Lukaku.

WERNER anafanya mambo mengi sana zaidi ya Lukaku, ila ndio hivyo upepo umemkalia vibaya.
 
Kwa soka la sasa EPL striker aina ya Lukaku kusubiri pass moja ya mwisho ili afunge ni wastage of time.

Hapo lazima Lukaku uguse mpira mara chache. Hii aina yake ya ushambualiaji kwa EPL ya sasa haina nafasi tena labda huko Italy.

Mastriker wa EPL wanapambana, wanashuka chini kuchukua mpira, wanachezesha washambuliaji wengine na wanapopata nafasi yao ya msingi wanafunga haswa.

Lukaku kusimama pale mbele kama sanamu kusubiria pass ya mwisho ni kucheza pungufu.

Ukimuangalia Kane anavyocheza pale Spurs under Conte sidhani kama Conte atamtaka mchezaji aina ya Lukaku pale spurs. Kane anafanya mambo mengi sana (full package) zaidi ya Lukaku.

Aisee Newcastle walete pesa tuwauzie Lukaku.

WERNER anafanya mambo mengi sana zaidi ya Lukaku, ila ndio hivyo upepo umemkalia vibaya.
Akiwa mobile haina shida, akisimama kama mlingoti hapo ndipo penye shida
Mechi na Aston Vila kama mfano Lukaku alikuwa mobile na alicheza vizuri. Mechi nyingi anasimama kibolingoli hapo ndipo huwa anaudhi
 
Kwa soka la sasa EPL striker aina ya Lukaku kusubiri pass moja ya mwisho ili afunge ni wastage of time.

Hapo lazima Lukaku uguse mpira mara chache. Hii aina yake ya ushambualiaji kwa EPL ya sasa haina nafasi tena labda huko Italy.

Mastriker wa EPL wanapambana, wanashuka chini kuchukua mpira, wanachezesha washambuliaji wengine na wanapopata nafasi yao ya msingi wanafunga haswa.

Lukaku kusimama pale mbele kama sanamu kusubiria pass ya mwisho ni kucheza pungufu.

Ukimuangalia Kane anavyocheza pale Spurs under Conte sidhani kama Conte atamtaka mchezaji aina ya Lukaku pale spurs. Kane anafanya mambo mengi sana (full package) zaidi ya Lukaku.

Aisee Newcastle walete pesa tuwauzie Lukaku.

WERNER anafanya mambo mengi sana zaidi ya Lukaku, ila ndio hivyo upepo umemkalia vibaya.
Conte anajua namna ya kumtumia Lukaku subiri Kane auzwe ndio utajua.

Kama hajaja kubisha hodi Darajani.
 
bure hapana aisee.

Thamani ya Lukaku sokoni kwa sasa sio chini £85M.

Marina ni mwepesi sana kuuza wachezaji watakaoleta faida sokoni, kuliko apate hasara yuko tayari kumtoa mchezaji kwa mkopo labda thamani yake itapanda tena.

Batshuayi mkataba wake ulikuwa umeisha, Marina alimuongeza mwaka 1 then mkopo kuendelea kuitafuta faida ya kumuuza.

Keppa alivyokuwa anavurunda balaa na baada ya Mendy kutua, Sevilla walileta 60M kwa Keppa, Marina akaipiga chini anataka ile £80M tuliyomnunua.

Hivyo hivyo anawakumbatia wakina Barkely, Drink water. Amewaachia wakina Bakayoko, Zappacosta baada ya makubaliano ya faida loan with an option to buy.

Lukaku kuuzwa kwa hasara tusahau under Marina administration. Atamaliza mkataba wake Stanford Bridge
Tuletewe tu Director wa sport mwingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom