Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Leo ni kichapo mnawajua palace nyie..Zaha anawatamani
 
Nasimama na crystal palace.
20220106_131359.jpg
 
Ni rahisi TT kuchukua champions league msimu hu kuliko kuchukua pl mfumo wake wa pasi fupi fupi na speed ya konokono hawezi kuchua PL, hatuna mchzaji wa passes ndefu, paka rudiger ndo atoke nyuma kutoa diagonomy passes, hapana, lzma kama tunahitaji Pl msimo ujao tupate mchezaji kama Paul pogba.
 
Kwangu mimi leo Havertz kacheza kwa kuchangamka, ule umlenda lenda wake kauacha kabisa. Akiendelea hivi na Ziyech akaendelea kuwa kwenye form (kafunga mechi tatu mfululizo) basi pale mbele itabidi kocha awe anawaweka bechi kwa sub tu

Mbele namshauri TT iwe hivi

Havertz ------------Lukaku Bolingoli----------------- Ziyech

Rotation ikibidi

Werner ------------Lukaku -------------------- Mount
 
Chelsea bila Reece James na chilwell nichangamoto kwakweli
Ile Chelsea iliyochangamka ilijengwa kwa ma wing-backs ambao ni Jam es na Chilwell
Alonso yuko ON/OFF
Uongozi wa Chelsea wangewatafuta ma wing-backs wengine wawili wa kufanya rotation na James na Chilwell ingekuwa tamu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom