johrobby
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,066
- 2,253
ndo ukwely uo maana tuna kikosi kikubwa ila injury za wanaume wawili zmetutoa kwenye njia inatakiwa ue na watu ambao wanaitafuta namba na so kuridhika kama wanavofanya wakina barkley ata waspocheza wanaona poa2Kwa kweli chief kwa sasa tunahitaji wachezaji wanaume kweli kweli mashine za kazi, la sivyo EPL tutaisikia kwa jirani.
Tuachane na wachezaji wa kupapasa mpira, urembo mbele kila saa kushika na kutengeneza nywele kichwani.