Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sawa ila kutegeneza timu sio mchezo Liverpool ilichukua miaka 25 ku tegeneza wining team hiyo unao iona, Chelsea ni nzuri hapo ilipo inahitaji only 1 self motivated en talented player kuiongoza tu, kua nafasi ya tatu katika Epl sio mchezo tena kumbuka na uwezekano wa kua mabingwa upo japo sio % kubwa, timu nyingi zinatamani kua nafasi ya tatu, ila zimeshindwa kwahiyo uzibeze timu yetu,.....soccer is all about winning trophies ambacho tumefanikiwa
God forbid njia ya Liverpool NOT RECOMENDED.
Timu yetu imeshajengwa, tunahitaji plan nzuri tu ya kushinda makombe
 
Hata mimi kwenye kiungo hapo calibre ya Fab mbele kutachangamka sana
Lukaku kaja na attitude mbaya. Hatatufaa kivile. Huwezi kuja hata hujapambana unaanza kuwazia Inter. Lukaku naye sub au asepe. Tunahitaki striker au false no. 9 mfungani na mwenye goal scoring hunger
 
Oi mazee mwenye link ya video wakati tunakabdhiwa kombe na kuendlea anipe asee jana Azam waliwahi kukata matangazo
 
Mzee hizo ni shida zako binafsi.
Hao wapinzani nao walikuwa wako vizuri bingwa wa South America ulitegemea acheze kama lipuli Fc match ya final? Au unafikiri na yeye hilo kombe alikuwa halitaki?
Mpira kukaa kwa mabeki ndo njia bora zaidi ya ku defense na ku attack ndo maana Thiago Silva kapewa tuzo ya mchezaji bora wa haya mashindano means alichokuwa anakifanya ni sahihi na ndo sababu ya sisi kuwa mabingwa.

Tumefika final tumebeba kombe kama hauna furaha hizo ni shida zako binafsi... Na next week ujiandae tena kutokufuraiha coz kombe la ligi tuko na Liverpool na uhakika tutacheza hvhv na tutamfunga na kikombe tutakileta Stamford bridge.
Jamaa anaonekana ana stress sana sijui amepatwa nanini,lakini ninawasiwasi bila shaka atakuwa shabiki mamuluki.
 
Wapi Antonio Conte,? njoo ndugu tuongee kuhusu Spurs, i said it, you didnt trust me.
 
Uko sawa ila binafsi naamini Werner & Lukaku kuna kitu wanamiss katika uchezaji wao ili waweze kufunga

Staki kuamini wamesahau kufunga magoli au hawana uwezo wa kufunga magoli.

Tusajili kiungo aina ya fabrigas, winga ya kushoto na kulia zenye uwezo wa kuamua mechi, then tuone Werner & Lukaku hawatafunga?
Na wasiwasi huenda dembele akaja, coz tuchel anamkubal sana

Upande wa kulia wamlete Raphinha wa leeds au Bowen kabla Klop hawajawachukua
 
20220213_223145.jpg
 
Timu lako bovu ,badala upambane na timu lako upo unafuatilia wanaume wanaoenda kuchukua epl
Chukueni tu Epl. Sisi mpaka sasa tuna makombe makubwa 2. Tena msimu huu tu ninyi mna nini?

UEFA Super Cup tumechukua ipo kabatini
FIFA Club World Cup tumechukua ipo kabatini.... kwa mafanikio haya mtaendea kuichukia sana Chelsea .
 
Unapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa unakenua meno kama chizi aliyeona jalala jipya ....

Hivi mtu anayewambia hivo angewagonga nje ndani kwa akili ndogo kama ya pimbi
Mbona sisi tumekukojoza mara tatu Acha kujitoa ufahamu mkuu. Chelsea ni Bingwa wa Club zote Duniani. Husiifananishe na Man City....Man City bado haijafikia Chelsea hata nara tone. Size yenu ni Burnley, Bournemouth Brentford na kina Arsenal huko.

Size ya Chelsea ni Real Madrid, Buyern Munich, Barcelona, Liverpool na Juventus.
 
Mzee hizo ni shida zako binafsi.
Hao wapinzani nao walikuwa wako vizuri bingwa wa South America ulitegemea acheze kama lipuli Fc match ya final? Au unafikiri na yeye hilo kombe alikuwa halitaki?
Mpira kukaa kwa mabeki ndo njia bora zaidi ya ku defense na ku attack ndo maana Thiago Silva kapewa tuzo ya mchezaji bora wa haya mashindano means alichokuwa anakifanya ni sahihi na ndo sababu ya sisi kuwa mabingwa.

Tumefika final tumebeba kombe kama hauna furaha hizo ni shida zako binafsi... Na next week ujiandae tena kutokufuraiha coz kombe la ligi tuko na Liverpool na uhakika tutacheza hvhv na tutamfunga na kikombe tutakileta Stamford bridge.
Umemjibu kimpira zaidi. Apambane na hali yake. Sisi shida yetu ushindi
 
Tunaposema Chelsea mbovu hatuna maana mbovu kuliko Arsenal, Westham, Spurs, Manure, BALI tunasema kwa kuziangalia Man City na Liverpool
Otherwise Chelsea ni timu kubwa, ina mastaa wazuri, just a click of button waanze kufunga magoli na kutoa assists
Pia kuongeza akili chache zinazokosekana kama kwenye kiungo calibre ya Fab
Otherwise we have a great team
 
Tukimleta Jules Kounde, Declan Rice na Aurelien Tchouameni msimu wa kiangazi, tumemaliza angalau kwa msimu wa 2022/23
 
Kijana aliyejiandikisha kwenye taasisi ya wasio na kazi mwaka 2014 ncini Ufaransa, leo hii ndio kipa wa kutegemewa kwenye klabu kubwa kama Chelsea

Mendy hadi sasa ana ubingwa wa Afrika, Ubingwa wa Ulaya na Ubingwa wa Dunia
 
Uko sahihi kabisa Chief.

Ukweli utabaki hatuna kikosi bora cha kukimbia mbio ndefu za EPL.

Ukiangalia wachezaji tulionao ni wa kushinda mechi za mtoano/Chache ndio maana tunafanya vizuri UEFA, ila sio kubeba POINT 3 za EPL mfulilizo.

Tunahitaji kusajili wachezaji haswa Kiungo na ushambualiaji wa mbio ndefu wenye ubinifu wa kila aina, nguvu, kasi, wakatili mbele ya goli.

PULISIC:- Sio mchezaji wa mbio ndefu za EPL ndio maana ukiangalia stats zake za EPL tangu atue darajani ni kama anakula mshahara bure.

ODOI:- Sio mchezaji wa mbio ndefu EPL kuboronga ni kwingi kuliko kukupatia matokeo. Atakufurahisha mechi chache ila nyingi anaboronga sana.

MOUNT:- Kiwango chake kinapanda na kushuka ndani ya msimu. Pale mnapohitaji ubora wake ndio kiwango chake kinashuka.

ZIYECH:- Bado hajatulia kikosini, anahitaji kuimarika na kuaminika.

WERNER:- Binafsi huyu mchezaji nilimpa matumaini makubwa sana, niliona kama tumesajili mtambo wa kufunga magoli.

Ujio wa Lukaku tunasahau madhaifu ya Werner, nilitegemea ujio wa Lukaku, Werner angepata muda wa kujitafakari, kujifunza na kurekebisha makosa yake na kurudisha ubora wake wa bundasliga sioni akifanya hivyo. Time will tell

UHITAJI WA KIUNGO MSHAMBULIAJI MBUNIFU:- No doubt tangu aondoke FABRIGAS, hatujapata kiungo wa aina yake mwenye uwezo wa kupiga pass hatari kwenda mbele. Pass inayoweza kuvuka safu mbili za opponent.

UHITAJI WA KIUNGO MKABAJI:- Joghnho ni mzuri sana ila ana madhaifu yake sio kiungo wa kukaba kwa kujitegemea, bali anahitaji kiungo mwingine ambaye yuko kwenye ubora wa kukaba amsaidie kuficha madhaifu yake.

Rudger, Silva, Chilwell, James, Kante, Kovacic, Harvetz, Lukaku:- Hawa wako tayari kutupatia ubingwa wa EPL, kama wataongezewa wachezaji kama 4 (Wenye uwezo mkubwa)

ALONSO:- For Sale
AZIPI - SUB (Umri)
CHRISTENSEN:- Rotation
CHALOBAH:- Rotation
SARR :- SUB
BARKELY:- For Sale
CHEEK:- For Sale

KAI HARVETZ:- Huyu dogo ana kipaji kikubwa sana, anahitaji kucheza na mafundi wenzake ambao kwa sasa hawapo kikosini.

Angewakuta Fabrigas, Hazard, Willan ange- enjoy sana, Dogo yuko smart kichwani na mguuni. BONGE LA USAJILI

Umeleza vingi kwa kutumia knowledge na uzoefu wa kikosi cha zamani.
Hao wachezaji uliowataja ni ka mfumo wa kocha wa zamani.
Saiv tuchel philosophy yake iko hivi 3421
Huku akitegemea zaidi wingback kushambulia na kufanya build up.
Kufunga kwa chelsea kuna mhitaji Reece james na Chilwell kupandisha timu.

Kuhusu kiungo mkabaji Chelsea haihitaji kiungo mkabaji uwepo wa Kovacic na Kante unatosha kabisa.
Kuhusu JORGINHO sio kiungo mkabaji. Yule ni holding midfielder kama kina basquet. Huyu kazi yake siyo kukaba ila ni kufanya build up na kupunguza pressure ya timu. Na ndo main reason yupo Chelsea na mchezaji bora wa UEFA.

Kwenye kiungo mshambuliaji chelsea inatumia double pivot number 10 yaan nyuma ya lukaku wanakuwa no 10 wawili
Mount/Ziyech au Ziyech/Pulisic au Mount/Harvetz.

Harvets ni world class number 10 akiwa na miaka 21 tu ana goal 85 na assist 45 utasajili mwingine wa kufanya nn?

EPL inabahati pia.
Mfano msimu huu man city hajawa na majeruhi,msimu huu wapinzani wake wamesumbuliwa na Covid 19.
Chelsea amesumbuliwa sana baada ya kuwakosa chilwel na James.

Kaka Cfc siyo timu mbovu. Changamoto tunayoipitia kwa sasa ni suala la muda huu msimu tumefungwa match 4 tu.
 
Umeeleza mengi na facts lakini pia kocha anabadili mfumo ili kwanza kuwatumia vizuri wachezaji alionao. Mfano Ziyech hawezi kucheza vizuri kwenye 343 kama ambavyo hata hao uliowataja wanasumbuka kutoa assist na kifunga kwa sababu wamezoea mfumo wenye winga
Pili kocha anabadili mfumo ili kupunguza madhara yanayoletwa na majeruhi kama ilivyotokea kwa james na Chilwell. Wakati hatuna wingbacks kocha alichanganya mafaili sana mara 4141 mara 4222 mara 4231 kwa sababu 343 haifai kwa wachezaji waliobaki ukiwaondoa james na Chilwell. Mimi nandani bado winga tutawahitaji kama ambavyo tutawahitaji wingbacks wazuri ili kocha awe na flexibility in case of injuries etc
 
Umeeleza mengi na facts lakini pia kocha anabadili mfumo ili kwanza kuwatumia vizuri wachezaji alionao. Mfano Ziyech hawezi kucheza vizuri kwenye 343 kama ambavyo hata hao uliowataja wanasumbuka kutoa assist na kifunga kwa sababu wamezoea mfumo wenye winga
Pili kocha anabadili mfumo ili kupunguza madhara yanayoletwa na majeruhi kama ilivyotokea kwa james na Chilwell. Wakati hatuna wingbacks kocha alichanganya mafaili sana mara 4141 mara 4222 mara 4231 kwa sababu 343 haifai kwa wachezaji waliobaki ukiwaondoa james na Chilwell. Mimi nandani bado winga tutawahitaji kama ambavyo tutawahitaji wingbacks wazuri ili kocha awe na flexibility in case of injuries etc
Sahihi kabisa.
Lakini kuchanganya formation hii ni kawaida..ni lazima kuwa flexible kulingana na mpinzani na aina ya wachezaji.
Mimi naona tunahitaii world class lwb na rwb ili ikitokea majeruhi tuwe na pumzi.
 
Tukimleta Jules Kounde, Declan Rice na Aurelien Tchouameni msimu wa kiangazi, tumemaliza angalau kwa msimu wa 2022/23
atuwez leta CDM wawil akat atuna CAM mi naona apo kati ya rice au auriel atakuja mmoja kwasabab tayar una cova kante jorginho tatzo kubwa liko either kwenye winga tukipata mtu kama kounde, dest au cucurela tutajiweka kwenye position nzur
 
Sasa chief unasema THE BLUES hatuitaji kiungo mkabaji kwa sababu tuna Kante na Kova. Saul aliletwa kufanyaje?

Binafsi nadhani kuna ulazima wa kusajili kiungo mkabaji kwa sababu:-

1. KANTE amekuwa injury prone, umri umesonga Kante yule wa juzi, jana sio wa leo. Nani ni mbadala wake?

2. KOVACIC:- Ana tatizo la misuli kuwaka moto, ni kawaida yake na muda wowote anaweza kukaa nje kwa tatizo la misuli wiki 2 mpaka mwezi, haswa akicheza mechi mfulilizo zaidi ya 10.

3. JOGHNHO:- Umesema ni Holding midfielder kazi yake ni kupunguza presha ya timu, back pass milioni 1 na sio kukaba.

Kweli hakuna haja ya kusajili kiungo mwingine mkabaji? Mwenye uwezo wa kukaba na kucontrol game?

Kwa hoja hizo nimekuelewa why tunahitaji viungo wapya.
Ni kweli kabisa Kante hawezani tena na ile speed ya EPL.
na huyu akiwa sokoni hatukosi 60 million euro.

Kovacic sisemi kitu.

Ila tunamhitaji Declan Rice huyu dogo ni muhimu sana pale kati.

Ila msimu ujao hapo kati tutamleta GALLEGHER pia.
 
Kwa hiyo hizo nimekuelewa why tunahitaji viungo wapya.
Ni kweli kabisa Kante hawezani tena na ile speed ya EPL.
na huyu akiwa sokoni hatukosi 60 million euro.

Kovacic sisemi kitu.

Ila tunamhitaji Declan Rice huyu dogo ni muhimu sana pale kati.

Ila msimu ujao hapo kati tutamleta GALLEGHER pia.
callagher sidhan kama anatofaut kubwa sana na mount kwasabu na yeye form yake inashuka na kupanda chelsea ya sasa inaitaj m2 ambae mda ote anakua anakitu cha kukuoffer kama hazard oscar fab awa madogo kina rlc kunasku wanaperfom ila mueke gem ijayo uone ndo ule msemo wanasema class is permanent form is temporary
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom