ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,056
Unateseka ukiwa wapi mkuuUshindi wa mchongo.
Unateseka ukiwa wapi mkuuUshindi wa mchongo.
Mimi ningekuwa kocha, huyu ningemchukua, ni creative kwenye attack kuliko hawa tulio naoChelseafc haina huwitaji wa Tielemans sisi shida yetu ni no 6 mchezaji wa chini Jorginho kacheza game nyingi kwasababu hatuna mchezaji anayecheza kwenye nafasi yake Kovacic analazimishwa sometimes kuchezea nafasi hiyo lakini sio nafasi yake
Kwa unafiki na unazi tumelibeba sasaUnafiki na unazi tuweke kando kombe hatubebi hata kwa kuliiiba timu mbovu imeoza haichezi chochote
Madrid inakuajeChelsea yawa timu ya tano kushinda makombe yote makubwa
Zingine ni
Kama timu yako haiko kwenye list kula wembe na pilipili mbuzi ukalale
- Juventus
- Ajax
- Manchester United
- Bayern Munich
Elewa mada kwanzaMadrid inakuaje
Nyie ndo Mashabiki ambao hatuwatakiUnafiki na unazi tuweke kando kombe hatubebi hata kwa kuliiiba timu mbovu imeoza haichezi chochote
Kombe tumebeba kwa kubahatisha, Ukweli Chelsea mbovu hakuna jina jingineNyie ndo Mashabiki ambao hatuwataki
Hili lililobebwa na nini sasaUnafiki na unazi tuweke kando kombe hatubebi hata kwa kuliiiba timu mbovu imeoza haichezi chochote
Ana assist ngapi mpaka useme ni creative?Mimi ningekuwa kocha, huyu ningemchukua, ni creative kwenye attack kuliko hawa tulio nao
Ana uwezo mkubwa kwenye kubuild up mashambulizi yenye kuleta magoliAna assist ngapi mpaka useme ni creative?
Bado hatufahiAna uwezo mkubwa kwenye kubuild up mashambulizi yenye kuleta magoli
Through balls - very strong
Passing - strong
Long balls - strong
Anayemfikia Chelsea labda Kova tu
Timu lako bovu ,badala upambane na timu lako upo unafuatilia wanaume wanaoenda kuchukua eplMan shit wana wivu sana, wameanza kusema sisi tunakazana kushinda Micky Mouse wakati wao wanapanua....
View attachment 2117750




Timu lako bovu ,badala upambane na timu lako upo unafuatilia wanaume wanaoenda kuchukua epl![]()