Duu bado dk ngapiHavertz kafunga Penalty
120+3Duu bado dk ngapi
Chelsea won Club World CupLeo na jambo langu kwenye madhabau yangu na jambo zito sana lakuongea na miungu yangu kuhusu game ya chelsea ya leo.
mizimu yangu ya ukoo itakuwa ni jambo jema na la busara sana hii timu ikifungwa leo maana wana mdomo sana hawa fanya jambo miungu yetu hawa takataka ili kombe walisikie tu naomba baada ya kufungwa usiwavunje moyo tu ikiwezekana uwavunje hata shingo aminu.



































Unafiki na unazi tuweke kando kombe hatubebi hata kwa kuliiiba timu mbovu imeoza haichezi chochote



Na wameshindw kweli kweliTangu lini shabiki wa shetani naombi yake yakasikilizwa mshindwe kwa jina la Yesu
Labda Kombe la Chupa la Chai.Kombe linaenda kwetu Brazuka
Kama hamtaki mjinyonge.
Mkuu ulibeti Chelsea ashindeUnafiki na unazi tuweke kando kombe hatubebi hata kwa kuliiiba timu mbovu imeoza haichezi chochote

?????