Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huna akili kenge ww

Mahakama : ndugu pain killer chagua kuhukumiwa kunyongwa mpaka kifo au kuachiwa huru na kushabikia team ya Chelsea

Pain killer : mheshimiwa hakimu Niko tayari kunyongwa Hadi kifo kuliko kuvaa Uzi wa wavimba macho Chelsea
 
Leo na jambo langu kwenye madhabau yangu na jambo zito sana lakuongea na miungu yangu kuhusu game ya chelsea ya leo.

mizimu yangu ya ukoo itakuwa ni jambo jema na la busara sana hii timu ikifungwa leo maana wana mdomo sana hawa fanya jambo miungu yetu hawa takataka ili kombe walisikie tu naomba baada ya kufungwa usiwavunje moyo tu ikiwezekana uwavunje hata shingo aminu.
 
Duh, hao wachezaji wetu wanakosa scoring mentality sijui why?. Hata mchezaji wa kawiada akienda Liverpool au Man City wanakuwa na morale kubwa ya kushinda na kufunga magoli. Hapa kwetu labda kuna shida nyuma ya pazia
1/Tunasajili ilimradi tuonekane tunasajil, ukiangalia liverpool n man city wanasajil mchezaj kutokana na matakwa ya kocha(wanampa kocha mchezaj wanaomtaka) ila huku kwetu tunasaj mchezaj ambae kocha hamtaki(mfano kocha anamtaka tchouamen/rice we unampa saul )

2/Scouting yetu tangu kaondoka Emiliano tumekuwa tukifanya sajil za hovyo, Marina ni mzuri kwenye negotiation ila sio mzuri kwenye kusajil

3/ ukiangalia wachezaj wa city na liverpool ni almost wote wamesajiliwa na makocha hao ila huku kwetu ni tofauti, kocha anarith wachezaj ambao hajawasajil yeye

3/Ukiangalia guardiola n klopp wakat wanakuja taratib walianza kuwapunguza wachezaj ambao hawawatak na kuleta ambao wataendana na mifumo yao
 
Leo na jambo langu kwenye madhabau yangu na jambo zito sana lakuongea na miungu yangu kuhusu game ya chelsea ya leo.

mizimu yangu ya ukoo itakuwa ni jambo jema na la busara sana hii timu ikifungwa leo maana wana mdomo sana hawa fanya jambo miungu yetu hawa takataka ili kombe walisikie tu naomba baada ya kufungwa usiwavunje moyo tu ikiwezekana uwavunje hata shingo aminu.
Haya maombi Hadi shetani amekaa pembeni ,anahisi Kuna sheteni mwingine zaidi yake
 
1/Tunasajili ilimradi tuonekane tunasajil, ukiangalia liverpool n man city wanasajil mchezaj kutokana na matakwa ya kocha(wanampa kocha mchezaj wanaomtaka) ila huku kwetu tunasaj mchezaj ambae kocha hamtaki(mfano kocha anamtaka tchouamen/rice we unampa saul )

2/Scouting yetu tangu kaondoka Emiliano tumekuwa tukifanya sajil za hovyo, Marina ni mzuri kwenye negotiation ila sio mzuri kwenye kusajil

3/ ukiangalia wachezaj wa city na liverpool ni almost wote wamesajiliwa na makocha hao ila huku kwetu ni tofauti, kocha anarith wachezaj ambao hajawasajil yeye

3/Ukiangalia guardiola n klopp wakat wanakuja taratib walianza kuwapunguza wachezaj ambao hawawatak na kuleta ambao wataendana na mifumo yao
TT naye si afanye hivyo
 
Leo na jambo langu kwenye madhabau yangu na jambo zito sana lakuongea na miungu yangu kuhusu game ya chelsea ya leo.

mizimu yangu ya ukoo itakuwa ni jambo jema na la busara sana hii timu ikifungwa leo maana wana mdomo sana hawa fanya jambo miungu yetu hawa takataka ili kombe walisikie tu naomba baada ya kufungwa usiwavunje moyo tu ikiwezekana uwavunje hata shingo aminu.
Tangu lini shabiki wa shetani naombi yake yakasikilizwa mshindwe kwa jina la Yesu
 
Tielemans 'rejects' new Leicester contract​

Chelseafc haina huwitaji wa Tielemans sisi shida yetu ni no 6 mchezaji wa chini Jorginho kacheza game nyingi kwasababu hatuna mchezaji anayecheza kwenye nafasi yake Kovacic analazimishwa sometimes kuchezea nafasi hiyo lakini sio nafasi yake
 
Huyu Broja kiwango chake ndio hiki? Au mechi ya leo imemkataa? Kama ni hivyo basi anasafari ndefu sana ya kuwa striker wa timu kubwa
 
Tofautisha kati ya HEAD COACH vs MANAGER.

Nyumbu, City, Aser8, Liverkuku kocha wao ni Manager anayo madaraka makubwa ya kuamua kumsajili mchezaji gani au kumuuza mchezaji gani, management inamsikiliza na kutenda.

The BLUES kocha wetu sio manager ni Head COACH, mambo ya usajili na kuuza yanaamuliwa na Managers huko juu.

Unaomba uletewe Lukaku unaletewa Morata, unamtaka Halland unaletewa Lukaku.

Management inasaka Kocha mpya huku wakina Pulisic, Ziyech wanasajiliwa.

Nadhani pia falsafa yetu ya kufukuza makocha mara kwa mara labda management wanaona kocha akiwa manager tutakuwa na wachezaji kachumbari.

Bora hilo jukumu la usajili management walisimamie wajenga timu wanaoitaka wao kwa falsafa ya club, kocha abaki na kazi ya kuwaongoza wachezaji uwanjani.

Oky sio shida Basi tupate Mkurugenzi mwenye jicho la usajili kama Emanelo.

Marina anatuletea wachezaji wenye kwashakoo

Sasa utaongozaje wachezaji ambao kwenye mfumo wako hawafit?

Yaani we ukae tu kuongoza mazoezi huko unashangaa unaambiwa kesho Asante Kwasi anakuja bila kujali anafit kwenye mfumo wako au la.

Swala la Usajili nadhani Chelsea wangempa madarala tuchelewe la kuamua nani aje na nani aondoke, akiboronga yes mna haki ya kumfukuza.

Mpandisheni Tuchelewe cheo awe Manager.

Ume refer vizuri kazi anayofanya Pep, Klopp na hata Mikel Arteta.

Hiyo ndio solution iliyobaki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom