Huyu anarudi lini, mbona muda hauendi!
1644492153142.png
 
Kufunga goli kwenye fainali ya UCL haimaanishi kuwa yeye si takataka, ana ujinga sana yule pimbi. Huyo Lukaku ni takataka haswa
Havertz alitupa UCL
LUKAKU anahitaji tu kuweka conection na Kocha na wachezaji wenzake ili aweze kufunga magoli ya kutosha kubeba makombe. We are not too late
 
Katika fainali ya 2013 Chelsea ilifungwa 1-0 na timu ya Corithians huku Carhill akipewa red card. Uchezaji wa Brazil inahitaji high level of concetration uwanjani. Ukiwa na wachezaji kama Alonso wanasinzia uwanjani usitegemee kushinda unapokutana na timu za Brazil ambayo Samba na Mpira ni kitu kimoja. Huu uchovu pia unaoonekana hasa baada ya HT inaweza kutuweka nje tena ya kombe hili kwa mara ya pili. Palmeiras FC imeshika nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi ya Brazil.

Natamani kwenye hiyo mechi Alonso asicheze

Nashauri Kepa acheze hata kama Mendy atakuwepo kwa sababu Kepa hajatuangusha hadi sasa, tukimkatiza na kumuweka Mendy tutakuwa tuymemvunja moyo. Lukaku akiacha kukaa kama nguzo ya umeme anafanya kule mbele mabeki wawe busy kwa hiyo hata asipofunga yeye anawatengenezea wengine nafasi ya kufunga

Line up iwe hivi
formation 4-1-4-1

Lukaku

Havertz ------ Kovacic ----- Kante -----Ziyech

Jorginho

Sarr ------Rudiger ------ Silva ----- Azpilicueta

Kepa

kama tutacheza formation yetu pendwa ya 3-4-2-1 iwe hivi

Lukaku

Havertz ------ ----Ziyech

Sarr-----Kovacic ----- Kante----- Azpilicueta

Rudiger ------ Silva --- Christansen

Kepa

Werner aanze.
 
Hii issue ya zouma aisee hawa wazungu n wangese Sana duh...faini kubwa na klabu + kapoteza sponsorship n Adidas na huenda akapewa kifungo....ukijaribu kulinganisha na issue ya Suarez n ubaguzi Kwa evra hata haikuwekewa uzito km hv
Kurt Zouma yuko kwenye changamoto kubwa, Uafrika wa kupiga wanyama bado upo damuni kwake na akajisahau kuwa yuko Ulaya na sio Afrika. Kama RSPCA wakijiridhisha kuwa ni kweli Paka alipigwa na kuonewa, Kurt Zouma na Yoan Zouma wanaweza kufungwa jela na taaluma yake ya Mpira ikaishia hapo. Upelelezi unaofanyika sasa hivi ni ili kupata ushahidi wa kumpeleka mahakamani
Itakayomuokoa ni kwamba tu iwe hiyo video imeeditiwa na kwamba hilo tendo halikufanyika ila kwenye edited video tu. Tofauti na hapo itakuwa ni Changamoto kweli
 
Wachezaji Westham wanataka nyongeza ya mshahara baada ya kugundua kuwa Kurt Zouma ndie mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa pale kilabuni. Zouma alipigwa faini ya mshahara wake wa wiki mbili sawa na paundi 250,000.00 hii ina maana kuwa Zouma analipwa paundi 125,000 kwa wiki na hakuna mchezaji anayelipwa zaidi yake hapo. Mshahara huu umegundulika baada ya faini ya Zouma kuweka hadharani na kila mtu kujua
 
Lakini mkuu mshahara ni makubaliano binafsi
How come now ugomee while uliingia mkataba wa kulipwa kiasi hicho
Itakuwa ngumu kwao

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wachezaji Westham wanataka nyongeza ya mshahara baada ya kugundua kuwa Kurt Zouma ndie mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa pale kilabuni. Zouma alipigwa faini ya mshahara wake wa wiki mbili sawa na paundi 250,000.00 hii ina maana kuwa Zouma analipwa paundi 125,000 kwa wiki na hakuna mchezaji anayelipwa zaidi yake hapo. Mshahara huu umegundulika baada ya faini ya Zouma kuweka hadharani na kila mtu kujua
Wana nini cha ziada

Zouma yuko ni decorated player

Ameshinda silverwares kibao na medals

Wao wana nini zouma katoka klabu duniani.

They have to prove themselves sio kulilia mshahara mkubwa
 
Back
Top Bottom