Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Siku zote li timu linalochukua CL kwa kubahatisha haliwezi chukua CWC.....

Madrid alichukua ..

Liverpool alichukua ...

Buyern alichukua ....

ila nyie mbumbumbu hamuwezi chukua .....

2012 mlibahatusha kwa buyern Munich kuchukua CL lakin club world cup mliangukia msumari mkali


Timu la kifala Sana ....

Roho inakuuma Chelsea baba lako linaposhiriki makombe makubwa makubwa eee. We saizi yako ni Hull city
 
Kumbe kushiriki tu ,nyie mbumbumbu mnaenda kuaibika ,timu zote zinazochukuaga CL huwa zinachukua CWC lakin nyie kunguni daaa uwezo mdogo ,CL mmechukua kwa kubahatisha huko mnaenda kuchapwa na vitimu vya kawaida ....

bora utulie kuliko kupiga kelele humu unajiabisha tu. Wanaume wanacheza Club World Cup ninyi huku mnacheza na timu daraja la tano huko
 
Tumeingia fainali kwa taabu sana hasa kipindi cha pili wachezaji wamechoka sijui kwa nini TT aliwaruhusu kwenda beach na jangwani kustarehe
Chelsea wakiendelea kucheza kivivu hivi jumamosi, tutafungwa na Palmeiras hakika
 
Tumeingia fainali kwa taabu sana hasa kipindi cha pili wachezaji wamechoka sijui kwa nini TT aliwaruhusu kwenda beach na jangwani kustarehe
Chelsea wakiendelea kucheza kivivu hivi jumamosi, tutafungwa na Palmeiras hakika
Mzee angalia hali ya hewa nayo huwa inachangia mtu ashazoea kucheza kwenye 5-10°C leo anacheza kwenye 35°C unahisi atacheza kweny kiwango kile kile kwa dakika 90??

Kingine hii michuano kaangalie hata matokeo ya misim iliyopita matokeo yake huwa yakoje, hakuna tim inayopata matokeo rahisi kwenye hatua ya nusu fainal na fainal
 
Mzee angalia hali ya hewa nayo huwa inachangia mtu ashazoea kucheza kwenye 5-10°C leo anacheza kwenye 35°C unahisi atacheza kweny kiwango kile kile kwa dakika 90??

Kingine hii michuano kaangalie hata matokeo ya misim iliyopita matokeo yake huwa yakoje, hakuna tim inayopata matokeo rahisi kwenye hatua ya nusu fainal na fainal
Hope not, Plymouth ilikuwa hivi hivi kwenye FA cup round 4. Kilichobadilika naona leo Lukaku kachangamka
 
Nimeamini viporo vikiwa vingi vinachacha halafu inakuwa ngumu kulika
Spurs viporo vimewachachia ile mbaya
 
Katika fainali ya 2013 Chelsea ilifungwa 1-0 na timu ya Corithians huku Carhill akipewa red card. Uchezaji wa Brazil inahitaji high level of concetration uwanjani. Ukiwa na wachezaji kama Alonso wanasinzia uwanjani usitegemee kushinda unapokutana na timu za Brazil ambayo Samba na Mpira ni kitu kimoja. Huu uchovu pia unaoonekana hasa baada ya HT inaweza kutuweka nje tena ya kombe hili kwa mara ya pili. Palmeiras FC imeshika nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi ya Brazil.

Natamani kwenye hiyo mechi Alonso asicheze

Nashauri Kepa acheze hata kama Mendy atakuwepo kwa sababu Kepa hajatuangusha hadi sasa, tukimkatiza na kumuweka Mendy tutakuwa tuymemvunja moyo. Lukaku akiacha kukaa kama nguzo ya umeme anafanya kule mbele mabeki wawe busy kwa hiyo hata asipofunga yeye anawatengenezea wengine nafasi ya kufunga

Line up iwe hivi
formation 4-1-4-1

Lukaku

Havertz ------ Kovacic ----- Kante -----Ziyech

Jorginho

Sarr ------Rudiger ------ Silva ----- Azpilicueta

Kepa


kama tutacheza formation yetu pendwa ya 3-4-2-1 iwe hivi

Lukaku

Havertz ------ ----Ziyech

Sarr-----Kovacic ----- Kante----- Azpilicueta

Rudiger ------ Silva --- Christansen

Kepa
 
Mateo Kovacic akiri udhaifu wa Chelsea kwa sasa ni uwezo mdogo wa kuua game baada ya kufunga goli
-"I am of course talking about our lack of ability to finish teams off, press on and get that second goal, and again we were wasteful in front of goal and made the second half really hard for ourselves"
-“We could have scored a second goal early and this is our biggest problem, we don’t close the games when we have the opportunity and then you get in trouble. You’re just 1-0 up and the opposition has nothing to lose, they go all in so it is a difficult game.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom