Lukaku inabidi abadili uchezaj wake, tofauti n hivyo no bora tuuze or tumpe nafas broja ambae anaonekana na potential na anaweza kuadapt mfumo wa tuchelKama Lukaku akiendelea kuwa static kama alivyofanya kwenye mechi ya juzi ya FA basi huyo ni bora aachwe kupangwa kabisa. Mechi na Aston Villa alikuwa mobile na alicheza vizuri sana. Nafikiri Lukaku bado anahitaji kukumbushwa na kusukumwa na kocha namna anavyotakiwa kucheza otherwise tusitegemee matokeo yeyote kutoka kwa Lukaku kwa attitude kama ile aliyoonyesha dhidi ya Plymouth
Tunawaona mnavoupiga mwingiNyie takataka mna karibishwa kuona kosi la dunia linakichafua.
Msijikaushe man utd tunacheza leo
Google karipoti saa 19.30, namuamini google kwa sababu script yake huwa inaripoti kulingana na eneo husika. Ukitafuta ukiwa East Africa anakuletea saa za East AfricaMbona nimeisikia ni saa 9 na nusu alasiri
Unawataja wanaume walichukua wewe mbona hujiweki?Siku zote li timu linalochukua CL kwa kubahatisha haliwezi chukua CWC.....
Madrid alichukua ..
Liverpool alichukua ...
Buyern alichukua ....
ila nyie mbumbumbu hamuwezi chukua .....
2012 mlibahatusha kwa buyern Munich kuchukua CL lakin club world cup mliangukia msumari mkali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Timu la kifala Sana ....
Futa basi hii postNyie takataka mpo mje muone wanaume nini tunafanya wale watoto leo.
sawaMsijikaushe man utd tunacheza leo
Yah upo sahihi nimeshajilizishaGoogle karipoti saa 19.30, namuamini google kwa sababu script yake huwa inaripoti kulingana na eneo husika. Ukitafuta ukiwa East Africa anakuletea saa za East Africa
Bahatisheni na nyinyi bana Yan ni SAWA na kusema mo amebahatisha kua tajiriKumbe kushiriki tu ,nyie mbumbumbu mnaenda kuaibika ,timu zote zinazochukuaga CL huwa zinachukua CWC lakin nyie kunguni daaa uwezo mdogo ,CL mmechukua kwa kubahatisha huko mnaenda kuchapwa na vitimu vya kawaida ....
Leo tuu mnafunga vilago na kuondoka uarabuni huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu ni mda sasa wa Pep na rafu kukaa kwenye Tv kuona wanaume wanavyopiga kazi
Chelsea for FIFA
Leo tuu mnafunga vilago na kuondoka uarabuni huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Timu imeoza hyo[emoji23]Nyie takataka mkuje muone timu la dunia linavyo sakata kabumbu safi msilale.
Hatuondoki mpaka Jumapili.Kaingie wewe basi fainali make kama imekuuma mimi kuwa pale kwa mabwenyenye zako warabu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]